SILENT ACtOR
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 627
- 181
waache waone aibu halafu wafe.
hii inanikumbusha kisa changu cha ukweli nilikuwa na mama moja alikuwa naishi na mama yake nikwa wakati mwingine naenda kwake na kulala huko siku ya siku akaamka asubuhi akataka nipige kimoja kabla ya kuondoka mazee sijui siku hiyo mzuka ulitoka wapi utafikiri nilikuwa na pepo mimi mwenyewe nilijishangaa maana hapo usiku nilikuwa nimeshapiga kadhaa .
mazee nilipeleka moto wa asubuhi mama akaanza kulia mara kikawa ikawa na mayowe ya kisambaa mama akaanza kulia tumbo linauma anasema nimemsukuma kizazi akaazna kumwita mama yake mzazi ilibidi nifungue mlango mama mkwe akaingia kuja kumuhudumia mwanae , kwavile ni mara yangu ya kwanza kutokewa na kitu kama hicho niliogopa sana maana niliona kama huyo mwanamke anataka kufa kilichonishangazisha mama mkwe alikuwa anacheka wakati mtoto wake anaugulia maumivu nikamuuliza kulikoni akaniambia hongera kila akiniangalia ananiambia hongera nilikuwa naina aibu sana. baada ya mama mkwe kumuhudumia ikashindikana akaitwa jirani wakachukua gari akapelekwa hospitali daktari akamwambia kizazi kimesogezwa akampa hudumu na dawa tangu wakati huo nimekuwa nikimwonea mama mkwe aibu vibaya
Uwe unaweka kitu kinaitwa ngata (kizuio) mzee, utauwa!