They are killing their own children..

They are killing their own children..

Idour

Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
23
Reaction score
1
Wanawake lazima wabadilike,ukiamua kuwa na mtoto hakikisha unamnyonyesha mtoto mpaka umri husika unapofika wa kumuachisha,jaman watoto wanateseka hawawezi kuongea lakini wanateseka sana!
 
In ths world Preta,watoto wanazaliwa hawanyonyeshwi maziwa ya mama na unakuta mama hana sababu ya kutomnyonyesha mtoto jaman
 
In ths world Preta,watoto wanazaliwa hawanyonyeshwi maziwa ya mama na unakuta mama hana sababu ya kutomnyonyesha mtoto jaman

lakini mbona habari yako bado haijavaa nguo...iko uchi kabisa....unataka kuniambia mtoto asiponyonya anakufa?...au unamaanisha nini?
 
Preta mtoto akianzishiwa chakula mapema anapata madhara makubwa especially intestinal bleeding..magonjwa mengi yawapatao watoto ni kutokana na mtoto kukosa kinga kutoka kwa mama kupitia maziwa ya mama..
 
yaani jamaa kaandika heading kali kweli kweli halafu ndani sijui kaweka vitu gani,...aongeze nyama ili tuelewe
<br />
<br />
ni ngumu kuelewa inaonekana,vitu vidogo mwaona
 
Majukumu ya kazi husababisha yote hayo na wengine ugonjwa hvyo hawaruhusiwi kunyonyesha..
 
Back
Top Bottom