Theresa May ni Nani?

Theresa May ni Nani?

Asanteni kwa imani mliyonayo kwetu baba zetu na kaka zetu. Mkumbuke bila mama familia inayumba.
Upo sahihi kabisa, leo wiki ya 2 wifi yako yupo safari, namhurumia akirudi atakuta nguo zote zinamsubiri, hata shuka za kulalia naona uvivu kuziondoa kitandani
 
Aisee!, Kwa hiyo unalala na shuka chafu, kisa?
Au ndo mwendo wa kukomoana?
 
Lililoniacha hoi ni mume mwanauchumi (investment banker) kuishi kwenye ndoa bila watoto. Angekua mwanaume wa Ki-Afrika saahizi Theresa anaisoma namba.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hujajibu swali....kati yao nani mwenye tatizo la uzazi?

Bi Theresa au mumewe?

Au wanaume huwa hawana matatizo ya uzazi?
Ndio maana nimesema umeuliza swali very logic. Sijafahamu ni nani mwenye matatizo ya uzazi kati yao.
 
Lililoniacha hoi ni mume mwanauchumi (investment banker) kuishi kwenye ndoa bila watoto. Angekua mwanaume wa Ki-Afrika saahizi Theresa anaisoma namba.

Hebu soma hilo bandiko lako hapo juu. Huoni kwamba umesadiki aliye na tatizo la uzazi ni Bi. Theresa? Kwamba huyo mumewe kuishi kwenye ndoa bila watoto limekuacha hoi na kwamba angekuwa ni mwanaume wa Kiafrika Bi. May angekuwa anaisoma namba.

Hapo unahitimisha kwamba aliye na tatizo ni Bi. May na si mumewe.

Ndio maana nimesema umeuliza swali very logic. Sijafahamu ni nani mwenye matatizo ya uzazi kati yao.

Okay...naona umejirudi sasa.
 
Lililoniacha hoi ni mume mwanauchumi (investment banker) kuishi kwenye ndoa bila watoto. Angekua mwanaume wa Ki-Afrika saahizi Theresa anaisoma namba.

Hata hii mie nilishangaa, kwa pande zote mbili lakini. Ina maana hawana hata wa ku adapt?!, unless kama hawataki watoto kabisa.

Mwenzangu Theresa angekuwa kwetu angeisoma number haswa.
Mbona angewashiba ma'mkwe na mawifi!
 
Ndio tofauti ya utamaduni, sisi tunajali sana mtu atakaerithi jina lako, mali zako, atakae kusaidia ukiwa mzee. Mara nyingi culture za wenzetu hawaangalii hayo, unaishi maisha yako to the fullest. Hawa hata elderly people home zao zitakua za high class wameshajiwekea pesa ya kutosha.
 
Hiyo ya kurithi jina kwetu umenikumbusha kuwa jinsia ya mtoto pia bado ina matter somehow. Imagine mume hataishi kwa amani kama hana mtoto wa kiume wa kubeba jina down the path.
Wakati wenzetu hata kuishi bila mtoto sio issue.

We still have a long way to go.
 
Yaani, rafiki yangu ni Mganda, wamezaliwa wanne wa kwanza ni wa kiume lakini ni hopeless flani, yeye ni wapili na amebahatika kuwa na career ya kueleweka, watatu ameolewa ni mama wa nyumbani. Wazazi walikuwa wanaishi kwenye nyumba ya kupanga, alipoanza kazi tu, kitu cha kwanza kufanya ni kuwajengea wazazi wakati last born akiwa mwanafunzi, ilibidi amsaidie last born akiwa mwanafunzi na kujengea wazazi kwa wakati mmoja. Cha ajabu akiwa nyumbani hakuna analoongea yeye asikilizwe kwakua ni mtoto wa kike, kauli ikitoka kwa yule hopeless baba anasema ndio ni sawa kabisa. Inaudhi.
 
Haha, aisee inaudhi!, halafu watoto wa kike for most part huwa hatutupi wazazi wetu. Pamoja na kuwa 2nd citizens in the house.
 
Ninakumbuka wakati Kate Middleton anategemea mtoto wake wa kwanza walimwambia kuwa hata akiwa wa kike au wa kiume na huyo ndie mfalme au malkia anaekuja. Bahati nzuri alipata wakiume.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom