kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,500
Ninakumbuka wakati Kate Middleton anategemea mtoto wake wa kwanza walimwambia kuwa hata akiwa wa kike au wa kiume na huyo ndie mfalme au malkia anaekuja. Bahati nzuri alipata wakiume.
Unamuona na Obama alivyotulia na binti zake, angekuwa mwengine si mtu angebebeshwa mimba mpaka atokee wa kiume!
Au ndo mtu anapata sababu ya kuchepuka kwa kisa cha kutafuta mtoto wa kiume, halafu kuna wanawake wengine wanaona sawa kumfurahisha mwanaume.
Wanawake wa Kiafrika we go through a lot kwa kweli.