Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
I see jamaa yangu, kupenda ni utumwa flani hivi au adhabu.Hahahaha. No it ain't. Maybe when it goes sour.:eyebrows::eyebrows: lol
Phantom love or puppy love!?What kind of love? Phantom love or puppy love?
am afraid I cant.........
Acha hizo bishosti, niliogopa umande ndo maana sijaelewa..chill out basi..
...Unrealistic Expectations zikizidi Common sense matokeo yake ndio hayo,
bahati mbaya wengi wetu inabidi yakukumbe kwanza kabla ya kuelewa somo,
Minority few wao wana expectations zao kwamba somebody out there is meant to be theirs tll death do them part
halafu kuna majority waliojikatia tamaa.
I see jamaa yangu, kupenda ni utumwa flani hivi au adhabu.
Mimi sijawahi ila huwa nawaona walio in love wanateseka sana, kila saa visimusimu, vimeseji, honey, uko wapi dear, darling, sweet, miss you, sijui nini, yaani ni shiida, simu sipopatikana nawaonaga wanahangaika kama wanataka kufa vile, akipita ameongozana na mtu inakuwa shida.
Kwa hiyo pande zote za mapenzi ni mateso, yawe sweet au sour kote ni adhabu tu.
Mimi nilishawahi kuwa kwenye uhusiano na msichana mmoja akawa ananipigia simu mara tatu kwa siku, tuligombana, ilikuwa ni usumbufu mno kwangu, uko busy na ishu flani inayohitaji concentration simu inaita, inakuoffset, halafu mtu anasema nakusalimia tu, sikuweza.
Kwa hiyo best, you better fall from a tree, than to fall in love.
Teh teh teh!!I once fell from a roof top smoking my weed. It was a better fall.:nod:
inawezkana mimi ni kiumbe wa ajabu kidogo maex wangu wote nilioachana nao hakuna hata mmoja ambae nina chuki nae wote tumeachana kwa amani tu na napiga nao stori mpk leo.na wengine mpk kutaniana kabisa.
Teh teh teh!!
Yaani wewe kusmoke ma weed upata mzuka hadi unapanda kwenye mapaa!?, umetisha.
Kumbe wazinguka haraka ivo!!!!hahaa nikajua wataka kunizingua tu............
BTW lini utakuja Kiembe mbuzi!!!!!!!!!
Sawa. Am I getting an ass whooping behind the keyboard? Sounds like the last resort to force my retreat.
Asante! Ole hajambo Lkn?
Aje mfanye nini???!!!hahaa nikajua wataka kunizingua tu............
BTW lini utakuja Kiembe mbuzi!!!!!!!!!
Aje mfanye nini???!!!
Kumbe wazinguka haraka ivo!!!!
Kiembe mbuzi nitakuja, tufanye mwisho wa wiki basi.... ama ataku keep busy?
Baaas hiyo ndio kata mzizi sio leo mna access na.mipira ya pichu halafu kesho mko friends ati!!!!
Nani kasema? ???!!!!Mapenzi yakiisha chapa lapa for gud mkikutana salamu inatosha misiba kama kuna nafasi not bad ku attend sio mpange dinner ati just for fun!!!!!!
Uchochoro wa multiple concurrent partners!!!!!!
....una hakika sitapata dhoruba??nahitaji wewe ndio unikeep busy huo mwisho wa week
..mkuu, mbona wivu...tuna dili la biashara, twapeana ushauri.Aje mfanye nini???!!!