There is something to learn

There is something to learn

Liko tumaini mbeleni, there is a hope, a hope for a bright future.!:A S-rose:
 
Polisi wetu wa std 7 sasa,mbona utabtamani ubebe miguu kwa kipigo utakachopata
 
497972_orig.jpg

wanafunzi(1).jpg

17.jpg
 
Bongo hayo hayatatokea labda kije kizazi kingine.
 
Polisi wa Tanzania wanapiga, kama wanaua nyoka. Ni hatari sana
 

nimeipenda sana hii mimi mkristo na nina amini kwenye usawa kwa dini zote.sio bongo mtu akiwa dini tofauti basi inakua ni uadui kama wale jamaa wanaohubirigi pale mwenge.jambo moja tunalopaswa kujua mimi john wa morogoro ningezaliwa pemba ningeitwa juma kwasababu ningekuwa muislam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom