There is no template for relationship

Nimekuelewa sana👏👏
 
Mr Analyse upo sahihi Sana mkuu hii thread yako naipa awards kwa mwaka huu ni miongoni mwa Nyuzi bora Sana nategemea wa kuja kuleta mada mzuri zaidi ili kuvunja record hii


Yote tisa kumi umeongea fact Sana mkuu big I was learn a lot from you're Post Sir I appreciate you
 
Shukran mkuu. Leta hizo nondo na sir tujifunze pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…