Theories 3 za minyukano ya vijana CHADEMA

Theories 3 za minyukano ya vijana CHADEMA

Mimi nakubaliana na nadharia ya pili.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Inaezekana kabisa. Na ikiwa hivyo basi hawa wote hawako smart na hakuna mwenye uzalendo na chama kama mtu unavyoweza kufikiria they are. Wote wana ubinafsi wa hali ya juu hakuna anaefaa kwa uongoz.
 
Ben anatumika kuwangoa Zitto na Juliana kwenye nafasi zao za uongozi.Huu ni mkakati una baraka zote za viongozi wa juu CDM.
 
Acha ukabila wewe, unamtetea ZZK kwa UHA wake na wako.
hapana, sikubaliani kwa hilo, ktu ambacho naweza kukubali huyu bwana ni tatizo hapo CDM. nasema haya kwa sababu huyu ni mgomvi na mtumika, na kila mtu ndani ya jf, aliyekuwa anajitokeza akiwa hajui, chochote juu ya matabaka ya CDM, kama ukiwa maoni yako hayaringani na watu wa upande wake, basi atakushambulia saana, mimi niliingia jf, na kuanza kumsifu saana ZZK, bila kutambua nawaudhi wengine, nilionekana siko kundi lao, kumbe mimi sjui lolote, ndo maana sasa nafumbuka macho. naaaaaamini sasa Ben si akili yake kuna REMOTE somewhere nadhani KASKAZINI.
 
Ben anatumika kuwangoa Zitto na Juliana kwenye nafasi zao za uongozi.Huu ni mkakati una baraka zote za viongozi wa juu CDM.

So Ben ndio anamuongoza Zitto kuchemka na kufanya mambo ya ajabu ajabu? If that is the case anayefaa uongozi hapo ni Ben, anahitaji right cause tu!
 
Ben anatumika kuwangoa Zitto na Juliana kwenye nafasi zao za uongozi.Huu ni mkakati una baraka zote za viongozi wa juu CDM.

Ukosawa mkuu na yoyote atakaeiangalia vizuri hii movie bila kuwa na chuki ya mtu fulani ataliona hilo. Ben Saanane ni mnafiki anaetumikia ujinga wa mabosi wake.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Na CHAUMA ni Slaa kawaundia ili waende?
Kundi la Slaa ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo kama mtendaji mkuu.

Na kundi la Zitto ni PM7 kama muasisi, technical advisor na mfadhili

Ben ametumiwa na kundi la Slaa kutafuta Ushahidi wa kumfukuza ZITTO Chamani. So akaanzisha movement nyingine ili walengwa wajiunge nae na kuwa-record. Pigia mstari maneno yangu, ushahidi wa kupikwa wa Ben Saa Nane utatumika kumuondoa Zitto.Zitto ana bahati, by chance or design hakuwahi kukutana na Ben ana kwa ana, so ushahidi ni circumstantial tu sio Hard Evidence.!Conclusion. Zitto hatakiwi ndani ya CDM, anatafutiwa justifications za kufukuzwa!
 
Ben ametumiwa na kundi la Slaa kutafuta Ushahidi wa kumfukuza ZITTO Chamani. So akaanzisha movement nyingine ili walengwa wajiunge nae na kuwa-record. Pigia mstari maneno yangu, ushahidi wa kupikwa wa Ben Saa Nane utatumika kumuondoa Zitto.Zitto ana bahati, by chance or design hakuwahi kukutana na Ben ana kwa ana, so ushahidi ni circumstantial tu sio Hard Evidence.!Conclusion. Zitto hatakiwi ndani ya CDM, anatafutiwa justifications za kufukuzwa!

kumbuka zitto hatajwi na ben pekee yake ametajwa wengine washiki wa hy pm7. Achilia kutajwa zitto anaonekana wasiwasi akiwa na misimamo tofauti (misimamo isiyojenga) kweny chama.
 
Hata sijui mta wasafisha hao kwa dodoki gani ili niwaone wasifi hasa Zitto! Kwa maneno yake ameonesha wazi kuwa ana chochea propaganda za ukabila zidi ya chadema!

Mtu anapo jibu hoja ya mtu ana mtaja alafu ana sema ana tokea sehemu fulani
mfano ben kijana kutoka moshi, hivi kwa mtu timamu si anajua huyu kiongozi ana taka tujue kuwa watu kutoka sehemu fulani ndio wana mpiga? Na huu ujinga sikutegemea kutoka kwake!

Alipo niacha hoi zaidi ni kuonesha ishara za ushirikina waziwazi badala ya kujibu hoja, hivi ndivyo chama kina jengwa? Huku ni kubomoa na kupaka matope chama!

Tafuteni madodoki yote kwangu mimi hawa wasaliti hawa safishiki kamwe hata kamati kuu hiki hamua kuwa safisha!
 
Last edited by a moderator:
So Ben ndio anamuongoza Zitto kuchemka na kufanya mambo ya ajabu ajabu? If that is the case anayefaa uongozi hapo ni Ben, anahitaji right cause tu!
Kama utakuwa umefuatilia maelezo yao Ben,Mchange na Juliana hapa JF ugundua dhumuni kubwa la Ben lilikuwa ni kuwa karibu na Zitto.Haujiulizi maswali kwa nini alikuwa na shauku ya kumtafuta Zitto, kwa dhamira gani?kwa maslahi ya nani? alijitolea au alitumwa? kwa gharama gani? Ben ni mtu safi kiasi gani? Usichoke kujiuliza pia tafakari leo Ben anaonekana shujaa kwa sababu kujiondoa kwenye kundi la uasi la PM7 ama kwa kuifanya kazi aliyotumwa kwa umahiri.Vile vile wanauhakika gani kama jasusi Ben sio nyoka anaerudi kuwamaliza.TAFAKARI
 
Acha ukabila wewe, unamtetea ZZK kwa UHA wake na wako.
aaaaaah,umekosea saaana , mimi ni mnyamweezi pureeeee, mzaliwa na mkulia DSM, nimetembea karibu tz nzima. ni mzalendo kamili kila mtu anayesimamia utaifa niko pamoja naye.
 
Kama kweli CHADEMA sio CCM B kama tunavyosikia kuanzia viongozi wao wa juu mpaka vijana wao wa chini. Basi MFUKUZE wote mnaowaona ni maadui wa chama chenu. Kupiga kelele hapa haisaidii. Inaongeza tu hofu kwa sisi tulioamua kutokuwa na chama chochote kwamba CDM ni magamba B wanaojipanga kupokezana kijiti na Magamba A ili kuendelea kuihujumu nchi yetu.
 
i have never liked zito kabwe..he is fake..so phony
 
Mimi naona unachanganya watu. Sipendi kuongelea ZZK, Kasikazini wa Dr Slaa. Lakini unaonesha wewe sio OBJECTIVE. Kwa nini nasema hivi, suala la kasikazini -linakujaje kwenye uzi wako. I mean hapo ndo unapopotea. By the way, mimi simjui mtu yeyote wa kazikazini, but I do not give a damn endapo kuna mtu anaweza kuondoa utawala wa ccm madarakani na kutuhakikishia wananchi maisha bora (sio kwa maneno). Hata akitokea Kigoma, au Tunduru au Nanguruwe au Katelero au Kibosho! Haya maneno unayoweka kwenye uzi wako, ndiyo yananipatia tatizo---kana kwamba unasema its your choice ipite na wala sio mawazo ya wengine. Nina imani endapo akitokea mtu kutoka Dodoma ambaye ni tofauti na ZZK anataka kugombea kupitia CDM utamwona msaliti, kwa kuwa tayari kwenye mind yako una mtu ambaye ungependa (wewe) apeperushe bendera ya cdm regardless of procedures!
 
Sidhani kama ni busara kumwondoa Zitto kwa hili! Lakini bila shaka disciplinary procedures zitumike kuwaonya wote ambao mwenyezi Mungu ameamua kuwaumbua. NI ukweli usiopingika kuwa wooote ambao wametajwa kwenye sakata hili, kila walipojitokeza kujibu hoja walijikanganya zaidi na kuwafanya wasomaji tuone kuwa wanahusika kwa namna moja au nyingine. Mfano, hakuna hata mmoja ambaye amesema aliposikia tuhuma hizo ama njama hizo (haijulikani zimekuwepo miaka au miezi mingapi) alikwenda kumwona dr Slaa au Mbowe kuwambia what was going on. Kila mtu alikaa kimya, pengine hata kulishana viapo kutotajana!
kumbuka zitto hatajwi na ben pekee yake ametajwa wengine washiki wa hy pm7. Achilia kutajwa zitto anaonekana wasiwasi akiwa na misimamo tofauti (misimamo isiyojenga) kweny chama.
 
Hawa vijana wanatuchezea akili,inabidi wote waadhibiwe kwa kuanika hujuma zao kwa CHADEMA
 
Posts za minyukano ya vijana wa CHADEMAkwa siku za hv karibun zinanifanya nione moja kati ya kanuni 3 zinaeza kua in operation;

1;kwa arguments, mpangilio wa kumbukumbu na majukumu ambayo Ben saa nane anaonekana kupewa ktk vikao mbalimbali alivyovitaja inaonyesha huyu jamaa anauwezo mkubwa wa kueka mikakati na utekelezaji wake, hata wenzake wamekiri hili katika majibu yao dhidi ya hoja zake na hivyo kanuni ya kwanza inaeza kua hii minyukano yoote ndio utekelezaji wa maazimio ya PM7 lengo kuu likiwa kuangamiza CHADEMA ndo mana anatajwa mtu kama Mwigulu, Nape nk.

Hii inashawishi ukiangalia kwann hawa woote waamue kufanyia minyukano yao hadharan badala ya kwe hvyo vkao huku wakijidai kua ushahidi wataweka wazi kwe vikao vya chama. Na hakuna hata mmoja, hata Zitto anaeonyesha dalili ya kua na huruma na chama. Ni kama lengo la hawa wote ni moja nalo ni kukibomboa chama. Wote wanaongea kama hakuna anaetaka kubaki chaman.
Mzalendokweli Kanuni yako ya kwanza kwanini pia usione hichi kinachoendelea hapa katika mazingira haya.
1: Ningejua umri wako ningepata kujua wewe ni aina gani ya group cha kizazi,kwa kuwa kila zama zinavitabu vyake.Yani ndio kusema kizazi cha sasa [New Generation] usikifananishe kamwe na kizazi kilicholithishwa utawala na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kizazi cha siri nyingi mpaka watunza siri wanakosa kupumua na kupata majibu ya kipi kiwe siri na kipi kiendee kwenye jamii kuleta ufahamu mpya.

Ndio kuna mambo ya kujadiliwa kwenye kolido maalumu kwa sababu maalum chini ya viapo vya maalumu [Rules of Engagement-R.O.E] lakini si kila jambo linalohusu siasa au serikali basi liwe chini ya rules of engagement [R.O.E].Kwa mwenendo huo wa R.O.E wazee wetu wamefika sehemu wamestaki kwa kuwa hawana majibu na siri walizo nazo na hakuna jipya.Leo hii na hakika si CDM na hata CCM wamejifunza mambo mengi mapya na kupata hata picha ya mwelekeo wa kizazi kipya, kwenye siasa za Tanzania.

Binafsi nina maclass mate ambao ni viongozi wakubwa ndani ya vyama vya siasa, ambao wao nawaulumia kwa kuwa kupitia binafsi nivyojiskia katika maswala ya uwazi na kupenda hizo R.O.E ziwe ni zile halisi na hakika kweli [Genuine] na si maslahi ya vikundi au matamanio ya madaraka au sifa sikuchagua upande huo wenzangu waliokwenda matokeo yake wameenda wamefundishwa na wazee, sasa nao wamekwama,na bahati wakikutana na wasio penda umaslahi binafsi na siri nyingi za ovyo ovyo wanagota ukuta matokeo kizazi kipya kwa maana ya nyakati na asili [Evolution] kinawalazimisha kufuata matakwa yake pasipo hiari yao.Nani alitegemea haya watu wa MP7 wangeshuhudia yaliyojilia kwao.


Ebu pata ZZK,angekuwa clever na blave,baada ya Mamuya kuibuka na hoja ile ya tuhuma,angeondoka moja kwa moja na kukimbilia kwenye chama chake na bonge ya Ripoti yake mkononi kuomba kikao cha kujadili jambo hilo kwenye vikao halisia hakika Historia ya sasa isingekuwa hii.Lakini kwa kuwa yuko kwenye kizazi kipya halafu anapungukiwa ufahamu [Intellegent Thinking and reasoning] ya madhara na faida ya kujibu thread ambayo hajui impact yake itafika wapi anakurupuka matokeo anakwenda kudondokea kule Ben Sananane alikompangia kudondoka.
Mzee Mwanakijiji kwenye mjadala wake mmoja wa vijana na urais ,kijana mmoja aliuingilia kwa mbwembwe umkamuelemea Mwanakijiji akaingia kumsaidia,nilimuonya MMK kuwa amuache kijana huyo apewe fundisho na jukwaa kwa kuwa hii JF nayo ni shule yenye kila aina ya elimu toka vyuo mbalimbali duniani na vyuo vikuu vya mitaani.

Sio kila msomi ni Intellegent na sio kila smart person ni Intellegent pia.Hivyo kwenye siasa zetu za kizazi kipya kama zama hizo wakina Nyerere walikuwa ni wasomi wazuri wa vitabu na kutafuta ufahamu kupitia maongezi, sasa hivi kijana akiwa ni makini na mwelevu anaweza kuwa na ufahamu na maalifa mengi sana kwa kuwa kuna vitabu vingi, mpaka online information, kuna movie zenye kusharp mind kwenye ufahamu wa mambo mengi sana kama Mwalimu alivyokuwa anawasoma wakina Shakespeare, zama hizo ulimwengu wa sasa nao umepanuka katika kutoa fulsa ya kuongeza maarifa ya binadamu.

Hapa zingatia maneno haya ya Mzee Mwinyi kila zama na vitabu vyake, ndio maana kuna baadhi ya wazee wenye ufahamu wa kujituma kusoma mabadiliko ya vizazi uwa wanajitahidi kutopitwa na mwenendo wa vizazi hivyo.Ebu chukulia DK slaa yuko kwenye jamii forum,kisha tafuta agemate yake kwa baadhi ya senior politician na goverment officer watafute humu kama utawaona.Hawajui chochote waliomo humu ni wachache sana na uwa mnakosea kuwapa mashavu kuwa mnaona ID fulani uenda ni fulani ukweli wengi hawajui hata nini kinaendelea humu zaidi ya kuagiza vijana wa kuwafuatilia nini kinachojili humu.


2;kwamba kweli ni minyukano na imetokea kwa bahat mbaya tu ikafikia hapa kama inavyoonekana moja kwa moja katika posts zao,
Kanuni yako yaweza kuwa pia hawa ni vijana kumbuka pia kuna kufanana mawazo mkatofautiana misimamo.Ebu vijana hawa wa sasa wanatofauti gani na zama za kina Nyerere vs Kambona.Ben kasema yake tukamwelewa na yeye pia akatuelewa sisi wengine.Ndio maana hata kitendo cha Ben kuama kumetokana na kuwa na ufahamu mzuri wa kujua hata madhara ya misimamo mibovu pindi unavyotofautiana na wanajamii wenzako.Kwanini ushange Ben anaonekana kung'aa kuliko wenzie pamoja na yeye kuonekana msaliti kwa kundi la MP7.Ni kwa sababu alikuwa mskivu na mwelevu wa kutafuta njia sahihi itakayomfikisha kwenye point anayotaka kufika ikibidi kwa gharama ya hao wenzake wasio na uelevu.Ndio kusema leo Mwalimu ni baba wa Taifa,lakini kama asingetumia maarifa na umakini kusimamia kile anachokiamini labda leo tusingekuwa na jina Julius Kambarage Nyerere kama Baba wa Taifa,hujui Kambona angekuwa nani kwenye Taifa hili.

Kwa kuwa tulimwambia Ben enzi hizo ajitoe huko hata kabla hatujajua siri zao hizo nyingine.Ila kupitia JF watu wenye ufahamu walishaunganisha dot na kujua kulikuwa kunakitu kinaendelea kati ya Zitto na Beni pamoja na wenzao.Wengine sisi tukawapa majina ya BENZITO ishara ya muungano huo.Mnyukano umezaliwa baada ya Mwenye ufahamu kugundua njia ambayo wanayotaka kuitumia kutaka kusimamia kile wanachoamini ili kutuaminisha nasi wengine kuwa ni sahihi, nasi tuliwaambia sio kweli mbinu hizo ni mbovu na hatarishi kwa chama chao na Taifa lao pia. Hivyo linapokuja swala la misimamo kutofautiana hapo ndipo kunazaliwa COI zinazozalisha hiki tunachokiona sasa,na kwa kuwa kizazi hiki si kile cha kulea siri basi uhamua kufumua ili jibu lipasuke na kuzaliwa kitu kipya na wao wanakuwa wamepumua.

Hii ni sawa na kusema hivi ukisema utoke Mwenge kwenda City centre Azikiwe kuna njia kadha wa kadha kukufikisha kwa mujibu wa uchaguzi wako.Waweza tumia Ally Hassan Mwinyi Road au Kawawa Road, lakini kila njia ina faida zake na hasara zake ila kinachotakiwa upate njia sahihi kukufikisha Azikiwe Posta katika Muda sahihi na kwa usalama zaidi.

3;ukiacha Ben Saanane hawa wengine wote hawajui kwann wamejikuta humo, Ben Saanane kweli ni TISS kama walivyosuggest some members na amepanga mikakat yake kwa umakini na vijana wasio reason wotee wamejikuta kwe this mess na Ben akiona pamepoa anakuja kutupia kuni na kutaja mwingine ili mjadala uendelee.

All in all, kama Mtanzania, hiki ndio chama pekee kinachonipa faraja kuona ndio kwa kiasi kikubwa kinachowapa head ache mafisad. Hivyo kuliko sasa wajiachie, nitaendelea kukiunga mkono pamoja na upumbavu wao hivyo hivyo mradi tu kama wataendelea kuwanyima usingiza mafisad.. Mshirika ni mshirika tu ili mradi mnashirikiana kumpiga adui mmoja.
Hii mambo ya TISS jamani hivi, story hii hawa TISS nini?Kama TISS ndio hao Usalama wa Taifa, basi kumbe TISS basi wanafanya kazi yao vizuri kutulindia Taifa.Kwa kuwa hawa wanasiasa ambao hawajapewa Nchi,kama watapita pasipo vipimo na majaribu ya maana na halisia basi usalama wa Taifa utakuwa mashakani.Kwa kuwa kuna siku basi Taifa litaangukia mikononi mwa watu ambao hawajui hata dhamana zao kwenye mamlaka ya Nchi.

Tufike sehemu tujifunze kuwa tupende tusipende hao TISS ni lazima wawemo humo kwenye vyama vya siasa vikubwa ambavyo vinamamilioni ya wafuasi Tanzania,kwa nia ya kuviimarisha na kuviandaa kuchukua Nchi kwa msingi ya kuaminika na sio kuwapa Nchi watu ambao wanaweza kununulika kwa gharama za chupi za kina dada.Kumbuka wapiga kura wa Tanzania waweza kuwa Millioni kumi na Tano [15Mil] tu na sasa tuna idadi ya watu wapatao millioni 45, hivyo millioni 30 thamani yao ya kutokujishughulisha na dhamana ya kisiasa italindwa na nani?Hivyo yanayojili eti TISS kwenye vyama vya siasa kwa sie tunaongalia katika sura ya kitaifa tunaona ni sahihi na ni lazima kuthamini Nchi kwanza na sio bora madaraka na dhamana za kutawala.Kanuni yako hiyo yaweza kuangalia kuwa uwepo wa TISS kwenye CDM ni kuiandaa kama chama chenye uwezo wa kuaminika kuchukua dola na mamlaka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano.

Na hayo ya kusema eti kuiujumu CDM,kwanini tusione huo ni uzushi.ukija na reference ya vyama vya kama NCCR na TLP historia na mama wa maarifa nimeshasema ndege wenye mabawa uluka pamoja,hivyo yaliyojili zama zile sifa za viongozi wa wakati ule ni matokeo ya kulundika siri kama siri hata kwa mambo yasiyo na msingi,matokeo nao ugeuzwa watumwa wa kutumikia siri.Manake wingi huo wa siri unafika pomoni,na kama ilivyotabia ya binadamu uitaji kupumua, anasiri kibao atapumulia wapi,kama sio kwenye jamii,ili imeze.Leo hii wewe na mimi tunafahamu kwa kufahamishwa viapo vya wana MP7 kwa waganga wa kienyeji hivyo ni jukumu lako wewe kumeza au kuona n story za kizushi lakini tayari raia umeshafaamishwa sasa uamuzi ni wako.Na daima kitendo cha kuongea tu ni tiba,ndio maana waswahili walisema sema usikike.yani ongea wanajamii wakutafutie majibu ya matatizo yako,Mwalimu anasema mficha kidonda harufu itamuumbua.
 
Back
Top Bottom