Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Comando John kazeeka.
hahaha komando kipensi.ila si wanadai uzee mwisho ubungo maziwa.age mates wake wote wanazeeka siku hizi.rambo, dolf lundgren ,"b.o.l.o" yang,van dame,jack chain, wesley snipe,bruce willis and many more.ila fahamu tu ngo'mbe hazeeki maini, ukitaka kujua hawa jamaa kwenye action movies hawana mpinzani,pamoja na umri kuwatupa,wacheki kwenye expandables.
Expendables 2 & 3Ndio kaka, Expandables mi nimeiona moja tu mwaka juzi. Ngoja nizitafute nyingine, Ziko ngapi? Hao uliowataja ndio tuliokuwa tunawaangalia kwenye video casset enzi hizo, sio movie za siku hizi za kina Ray Kigosi michosho mitupu.
Ndio kaka, Expandables mi nimeiona moja tu mwaka juzi. Ngoja nizitafute nyingine, Ziko ngapi? Hao uliowataja ndio tuliokuwa tunawaangalia kwenye video casset enzi hizo, sio movie za siku hizi za kina Ray Kigosi michosho mitupu.
umenikumbusha enzi za mabanda ya video miaka ya 90 hahaha.kuhusu expendables ,kuna mdau hapo juu kamaliza kila kitu,zitafute.zimejaa tele,za kudownload na za kwenye DVDs.