yaa islamu ni mavazi but not tabia njema, unaweza ukavaa hijab lakini kumbe usiku ni....maeneo ya ohio, heeheeeee mavazi siyo tabiaMimi ndio maana napenda Islam kwa sababu mafunzo yake yako wazi hasa kwenye mavazi, upende usipende hiyo ndio sheria ya islam
Hata ukristo pia una dress code kama uislam, lakini kutokana na udhaifu wa wachungaji kanisani na uchu wao wakibinadamu wanashindwa kukemea, as result makanisa sasa hayana tafauti na Night clubs.
Wachungaji wanaogopa kuhubiri ukweli kwa sababu watawagusa wafuasi wao na watkapo kasirika wataamia kanisa jingine kwahiyo kumfanya mchungaji wakanisa la msimamo kukosa fungu la kumi.
Mtakapo fuata mafundisho ya Bible bila kujali kuwaridhisha wafuasi, mambo machafu kama haya hayatatokea na litlifanya kanisa kuwa na heshima zaid.
hahhahahahahaha.....sidhani kama tatizo liko kwa huyo binti; tatizo liko kwa wanaomuangalia! Mbona macho yake kayafumbua, kapaka wanja, katia lipustiki, na kajipodoa vizuri tu (angalia nywele).. sasa mbona mwakodolea macho kifua tu kwani nyie watoto mwataka nyonyo!?
Badala ya kumshukuru Mungu kwa uumbaji wake wa ajabu na kusema "amen" mnabakia kutuvurugia tunaomshukuru kwa hayo.
sidhani kama tatizo liko kwa huyo binti; tatizo liko kwa wanaomuangalia! Mbona macho yake kayafumbua, kapaka wanja, katia lipustiki, na kajipodoa vizuri tu (angalia nywele).. sasa mbona mwakodolea macho kifua tu kwani nyie watoto mwataka nyonyo!?
Badala ya kumshukuru Mungu kwa uumbaji wake wa ajabu na kusema "amen" mnabakia kutuvurugia tunaomshukuru kwa hayo.
teteteteteteeeh katika siku ulizoniacha hoi ni leo ..
MJJ kumbe yale manyonyo ndo kwisha habari yako
ubarikiwe
unajua kwanza hii tabia ya kupenda manyonyo makubwa kwa wabongo imeanza lini? Tangu enzi na enzi.. manyonyo yamekuwa kitu cha kawaida tu na yale makubwa kama matikiti maji watu walikuwa hata hawayaangalii mara mbili wanapenda tule tuembe sikio!
Sasa leo tumejifanya Wamarekani sana tumeanza kuwa kama yule kichaa wa Soko Kuu la Songea enzi zile.. !
sijaona connection na utumiaji wa dawa za kichina. kwa alieiona tafadhali anijulishe.
Huwezi kujifanya u-msafi kwa ndani ya moyo kwamba Mungu anaangalia moyoni wakati nje u mchafu. Matendo ya mtu yanaonekana ndani au nje? dhambi inatendwa na mwili au roho? Matendo ya mtu ndiyo hupimwa mbele za Mungu. na matendo hutendwa na mwili kutokana na msukumo wa moyo au akili.
Ukiokoka hasa huwezi kuwa hivyo, maana badiliko litakuwa ni la kutoka ndani na litaathiri influence ya akili na decisions zako hivyo huwezi hata kuvaa hivyo, dhamiri yako itakataa.
roho ikiwa chafu nawe utakuwa mchafu tu.
NB: siku hizi kuna bra ambazo unaweka kama Extension zinaongeza hayo manyonyo
muwe na siku njema
unajua kwanza hii tabia ya kupenda manyonyo makubwa kwa wabongo imeanza lini? Tangu enzi na enzi.. manyonyo yamekuwa kitu cha kawaida tu na yale makubwa kama matikiti maji watu walikuwa hata hawayaangalii mara mbili wanapenda tule tuembe sikio!
Sasa leo tumejifanya Wamarekani sana tumeanza kuwa kama yule kichaa wa Soko Kuu la Songea enzi zile.. !
hapa ndio utakuta mtu anatimuliwa hivi hivi chumbani; inaitwa bait and switch! Kama mtu huna manyonyo piga magoti, funga na kuomba ujaliwe (mahali fulani panasema Ombeni nanyi mtapewa).
Mimi tokea niko vidudu nilikuwa napenda nyonyo kubwa. Nakumbuka mimi na washikaji zangu tulikuwa tukiziita nyonyo kubwa "nido" (tuki reference yale maziwa ya nido enzi zile..
heri yako bwana.. nilipokuwa mtoto nilikuwa napata jinamizi la jimama linanipa manyonyo kwa kunilazimisha hadi nina suffocate. Since then, manyonyo makubwa yananitisha kweli yanakuwa kama yule Zena.. I'm ogoparing to be safoketedi. Givu mi ze smoli wani (not too small hadi utafute tochi!)..
........Duniani hapa kuna mambo, wengine wanapenda matiti makubwa, wengine wanapenda matiti madogo. Muhimu kuridhika na jinsi Mungu alivyokuumba.
Ila huyu Thea ana matiti makubwa toka zamani tu, nakumbuka ile michezo yake ya kuigiza ya zamani alikuwa amejaa tu kifuani........siku hizi matiti yake yanaonekana makubwa sana kutokana na style ya nguo aliyovaa, vile vile kuna bra zinaongeza ukubwa wa matiti.