Thea: sakata la matiti na utumiaji wa dawa za kichina

......Umesahau size yangu leo? Mbona wewe ndio mnunuaji wa bra zangu.

Loh! bebi hapo kweli umeniweza maana sikutegemea jibu hili...

Kuna bra moja nimeiona pale Victoria's Secret najua utaipenda tu. Ila itabidi uvute subira hadi Valentine's day...
 
hapa ndio utakuta mtu anatimuliwa hivi hivi chumbani; inaitwa bait and switch! Kama mtu huna manyonyo piga magoti, funga na kuomba ujaliwe (mahali fulani panasema Ombeni nanyi mtapewa).

Mwanakijiji hata manyonyo makubwa nikumuomba mungu ataniongezea ??kizunguzungu tafadhari
utafuteni kwanza ufalme wa bingu mengine yote mtapewa kwa ziada
 
Sidhani kama kuna mipaka ya kuomba kwa Mungu ili mradi iwe ni kwa ajili ya mapenzi yake. Isije kuwa mkaomba manyonyo makubwa halafu ikawa murder case kwa mtu! Inabidi uombe na hekima kama ya Mfalme Selemani!
 
Cuzin you are nasty! whaaaat?....yaani bado nasoma huku naku-imagine wewe hahahahahah!......mweeeh yaani na Zena tena?.....God have mercy on yo cuzin you do need jesus....

cuz.. I'm serious. Kuna majinamizi mengine yana ruin kabisa real life. Mimi nikimuona mtu mwenye manyonyo makubwa naogopa hata kuangalia. Yaani I'm suffering from PTSD...!! I need a shrink!
 
naomba ufafanuzi hapo kwenye red....
 
unajua yawezekana hajajipanga kimavazi,hivyo ndio yuko kwenye kumake aanze kushona vitenge na kununua madela lakini pia lawezekana maana makanisa ya walokole huwa kunawakati waumini wanakuwa na mzuka fulani hivi sasa kama mtindi wake ulikuwa umezidi uzito sidiria wakati wakushangilia likacholopoka,asemeheme tu ndio anajiweka sawa wajameni
 
hehehehehehehe....
 
Sidhani kama kuna mipaka ya kuomba kwa Mungu ili mradi iwe ni kwa ajili ya mapenzi yake. Isije kuwa mkaomba manyonyo makubwa halafu ikawa murder case kwa mtu! Inabidi uombe na hekima kama ya Mfalme Selemani!

kha mie naridhika hivi nilivyo kama my milk is stand poa kama ndo zimelala kama barabara hakuna noma nisipojiependa mie nani atanipenda ...?
 
you have no idea what men find appealing!

Kusema ukweli hii thread sasa kila nikianza kufungua lazima ni scroll down halafu niyaone hayo manyonyo ya huyo dada. NImechoka kufumba macho; hii picha inanikwaza.
 
Haha kiburudisho huna haja ya kukwazika wewe endelea kufurahia uumbaji wa mungu kama si wa mchina !
 
Mimi napenda saizi-ndogo kiasi mpaka medimu size. too much sipendi sana.
 
Back
Top Bottom