Chadema tokea kumaliza uchaguzi imekosa muelekeo.
Hakuna lolote walilofanya likawa na muelekeo.
1. Wabunge wanachukua hatua zao watakazo na kujisifia kwenye vyombo vya habari.
2. Slaa na Mbowe misimamo iliyotofautiana.
3. Mdahalo usioeleweka malengo waliofanya na Cuf.
4. Magazeti yanayomilikiwa na Chadema yaliyojaa 'hujuma' dhidi ya Zitto.
5. Kesi za viti vya wanawake na kujitoa baadhi ya watu.
Wanahitaji kukaa chini na kujipanga upya. Inatupa picha kuwa Mbowe hana ubavu mbele ya watu fulani ndani ya chama kama Slaa na Zitto. Kuna hitajika uthabiti kwenye uongozi.
Si kuwa Waberoya anamtetea Zitto nia yake ni kuona viongozi wa Chadema wanavurugana na Zitto, Waberoya ni mmoja wa Zitto haters toka UDSM hapa anajaribu kuwachanganya watu tu ambao hawamjui yeye toka enzi za 'Kubwajinga', soma article yake hii
Si kuwa Waberoya anamtetea Zitto nia yake ni kuona viongozi wa Chadema wanavurugana na Zitto, Waberoya ni mmoja wa Zitto haters toka UDSM hapa anajaribu kuwachanganya watu tu ambao hawamjui yeye toka enzi za 'Kubwajinga', soma article yake hii
Mie sipingi watu hapa kuadhibiwa kwa Zittoma Zitto anastahili hiyo adhabu. Ila kama Mkeo ni Malaya na wewe unaamua Kumuaibisha kwa kuitangazia jumuiya nzima mnayoishi kuwa Mkeo ni Malaya, Mama watoto wako ni Malaya na tena hadi unawaambia wanao "wanangu ehh, mama yenu ambaye ni Mke wangu ni Malaya....." unafikiri utakuwa umemkomoa mkeo peke yake? Ukipita wewe na wanao pia mtaonyeshwa kidole.Acha porojo. Inawezekana speed yako ya kusoma Tanzania Daima na MwanaHALISI ni mara moja baada ya miezi mitatu. Una-judge msimamo wa mtu kwa kusoma article yake moja!!! Madhara ya zitto kwenye chama hayana mfano. Ili chama ki-operate kama taasisi lazima ki-dscipline wanachama wa aina ya zitto wanaodhani kuwa bila wao chama hakisongi mbele. Chadema siyo ccm wanaosema mtaji wake ni jk. Mtaji wa chadema ni kila mwanachama bila kujali nafasi ya mwanachama kwenye chama.
Wajue au wasijue, mimi hiyo hainihusu so longer naona maandishi ya kumsiliba Zitto na Zitto akiendelea kutesa kwenye Media na vimbwanga vyake. Wamchukue Zitto na kumuweka Angle Thita kwa kumuambia yeye si Msemaji wa Chama. Kama hasikii basi waanze kumtenga kidogokidogo hadi mwenyewe ajuwe hatakiwi. Akilalamika, wao wanasema "si kweli" na hamna zaidi.Sikonge
Hivi unafikiri CHADEMA haijui kinachoandikwa kwenye magazeti hayo?
Haya ni Mawazo yako Mkuu. Nina hakika mtu kama Slaa hawezi kukurupuka kwa jambo kama hili lisilo na haraka namna hiyo. Mbowe na Slaa hawajatofautiana ila wewe hujaelewa wanachokisema. Mengine Mbowe anaweza kuwa anakosea kwa sababu hakuwa Bungeni na hivyo hayafahamu vizuri. Magazeti hayamilikiwi na Chadema ila ni Wanachama wa Chadema wanamili hayo Magazeti. Ni sawa na mali za Mo Dewji, Rostam Azziz, Lowassa nk si mali ya CCM kwa sababu tu wao ni wanachama wa CCM. Kesi ya Wanawake iliongelewa sana hapa na kujibiwa.Chadema tokea kumaliza uchaguzi imekosa muelekeo.
Hakuna lolote walilofanya likawa na muelekeo.
1. Wabunge wanachukua hatua zao watakazo na kujisifia kwenye vyombo vya habari.
2. Slaa na Mbowe misimamo iliyotofautiana.
3. Mdahalo usioeleweka malengo waliofanya na Cuf.
4. Magazeti yanayomilikiwa na Chadema yaliyojaa 'hujuma' dhidi ya Zitto.
5. Kesi za viti vya wanawake na kujitoa baadhi ya watu.
Wanahitaji kukaa chini na kujipanga upya. Inatupa picha kuwa Mbowe hana ubavu mbele ya watu fulani ndani ya chama kama Slaa na Zitto. Kuna hitajika uthabiti kwenye uongozi.
Ehhh bwana wee, sasa hivi CCM wanapumua kidogo maana hakuna tena anayelalamika kuhusu Chadema kuzuiliwa Mikutano na maandamano. Hakuna tena anayelia kuhusu Tume mpya ya Uchaguzi, katiba mpya nk nk. Wote tumekaa kumkodolea macho ZITTO. Tunacheza kwa kadri wanavyotupigia mziki. Tukija kukumbuka shuka, kumeshakuwa kweupe na Screen inaonyesha sisi 0 na wao 5. Yes, kama Real Madrid na Barceona, 5 bila mwanawane.Vita ya Panzi=?
Nashawishika kuwa kuna madhara ya Zitto kwa nafasi ya Uenyekiti wa Mbowe na hivyo gazeti lake la Tanzania Daima na nashawishika pia kuwepo kwa harufu ya madhara ya Zitto kwa nafasi ya Mtunza Hazina wa Chadema Antony Komu na hivyo Gazeti lake la Mwanahalisi ni dhahiri, mwanaChadema usikubali kuingizwa kwenye vita hii ya maslahi ya watu binafsi walioifanya Chadema kama kampuni yao binafsi kwa jina la Chama.
Hii inanikumbusha hadithi ya Spika Sita kukihatarisha chama cha Mapinduzi wakati kimsingi nyuma ya pazia ilikuwa ni hatari kwa Lowasa na marafiki zake.
MwanaChadema...beware, usikubali kufuata mkumbo na kukiacha kitovu cha matatizo yaliyopo ndani ya Chadema!!
Unataka avumiliwe mpaka lin?Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa Zitto kwa siku nyingi sana hapa JF na kwenye vyombo vingine vya habari duniani. Nimekuja kuanza kupata mashaka na mwenendo wa Zitto kama wengi wanavyosema pale alipoanza kushangilia kununua kwa mitambo ya Umeme ya wizi. Wengine wanakuja na kusema kuwa tangu aingie kwenye kamati ya Madini, ametoka akiwa siye yule Zitto tunayemfahamu.
Kwani hajui kama anayoyafanya ni kama kansa ambayo mkono usipokatwa mwili wote utaoza?Sipo hapa kuonyesha kama Zitto ana makosa au lah maana hili limeshasemwa sana na sasa linaanza kutia kinyaa. Jana pia niliandika kuwa, tawi lisilozaa, hukatwa na kutupwa motoni ila Mkono Mchafu, haukatwi na kutupwa, bali huoshwa kwa sabuni na kukaushwa huku ukisubiri kuendelea na shughuli utakazopangiwa na Ubongo.
Kwa nini usiseme kuwa n1 mkono wenye kansa unaohitaji kukatwa!!!Zitto ni MKONO, na hivyo bila kujali mabaya aliyoyafanya, hatuwezi kumkata. Kitendo kinachofanywa na akina Kubenea, Kibanda na Ngurumo ni kuukata Mkono. Na kwa sababu wao si madaktari, wanakata huo mkono na kusababisha maumivu kwa mwili mzima na kuvuja damu. Hii inaweza kupelekea Binadamu huyu (CHADEMA) kuvuja damu hadi mwisho akakata roho (soma maelezo ya Waberoya).
Thanks,by then kwa sasa Huwezi ku compea nafasi ya Zitto CHADEMA na kiungo muhimu mwilini kama mkono au mguu,may be "Apendix" ambayo hata ikitolewa mwilini mwili unapata afadhali.wakati mwingine huwa inabidi kuukata Mkono au Mguu au ........ ili kuzuia Kansa isiendee mwili mzima. Ila hii hufanywa na Madaktari baada ya kufanya utafiti wa kutosha na kujua ugonjwa umeanzia wapi na umeishia wapi, wapi wakate ili kuzuia ugonjwa. Ukifanya vibaya, utashangaa kansa bado inaendelea. Pia kuna hata bahati mbaya ambapo kansa hiyo huendelea kuula mwili hadi kumuuwa binadamu kama njia nyingine nzuri hazitatumika kuitibu hii kansa.
Atakuwa handled with care hadi lini?!!!Zitto si wa kukata ila pia si wa kuacha aendelee na tabia yake. Jana nilimalizia kwa kusema "Zitto Kabwe ni kama glass ya Wine - Handle with care."
Zitto si wa kukata ila pia si wa kuacha aendelee na tabia yake. Jana nilimalizia kwa kusema "Zitto Kabwe ni kama glass ya Wine - Handle with care."
naheshimu mawazo yako ndicho kilichopo moyoni hata YESU ALISEMA ....ACHENI MAGUGU NA NGANO VIKUE PAMOJA KISHA MTAVUNA NGANO NA KUWEKA GHALANI NA MAGUGU NI KUCHOMA MOTO hatumzidi ujanja sasa ni wakati wa mavuno.... CDM kama chama kina taratibu zake na malengo yake vivo hivyo wana taratibu za kupembua hii ni ngano na haya magugu Hawakosi Fth colome lakini pia code na anti jaming sytem IISHI CDM IISHI TANGANYIKA WAISHI WATANGANYIKA...
Quinine, mimi siyo najisifu nina mawazo huru sana, Zito simchukii hata siku moja labda wewe wa juzi ndio unafikiri hivyo, maskini kwa article hiyo moja tu!!
Zitto nilikuwa naye na nilisupport sana alipotaka kuwa mwenyekiti wa cdm na chadema walipobaka demokrasia niliwachukia sana, Zitto nilimsupport hata alivyosupport dowans (why not) maana niliwaza kama yeye.
Zito juzi aliporopoka na kumsifia Kikwete nilimpinga!!! na nikapelekea kuandika hiyo article na ukiisoma hiyo article kama mtu mwenye akili, narudia kama mwenye akili, vitu vingi niMESPECULATE NA zito alijibu hizo tuhuma!
sina beef na mtu, sina chuki, situmii jina langu la ukweli, nasema ukweli!!!
sina cha mkumbo, ukinifuatilia kesho nitampinga Slaa kwa hili na kumpa kuddos kwa lile! nitakusifu wewe kwa hili na kesho nitakupinga kwa lile! naamini kwangu inaniweka huru na sina unafiki
siwachanganyi viongozi wa chade,a, soma thread zingine za watu wengine wanavyowaza, siko peke yangu, na ukifikiria sana na pengine niwe mwazi ninamzimikia Zitto ile mbaya!!! na ninapomrarua ni kutaka kuridhisha nafsi kuwa tuko pamoja!!!!
Kama wewe ni kijana na umeishawhi kufanya kazi na Zitto kama mimi ninavyomfahamu.
I repeat I dont hate Zitto, I hate all people who are against the truth, especially you!
Mie niliandika mapema kabisa kuwa sipo hapa Kumtetea Zitto au kusema Zitto hana hatia.
Pia sipo hapa kusema Waandishi wa habari wanasema uongo.
Nafahamu kuwa ukweli siku zote uko katikati.
Ninachosikitika ni kuwa Magazeti yanahusiana na Chadema, kuanza kutumia njia za Zitto. Ni juzi tu hapa watu walimkalia kooni Zitto kwa kwenda TBC na kuongea aliyoongea. Hilo wengi hawakulipenda. Sasa hawa Waandishi, wanafanya hilohilo la kutatua matatizo ya CHADEMA kwenye Media. Hili linaongeza tatizo badala ya kulitatua.
Kila chama kina matatizo yake na hata watu kwenye familia wana matatizo yao. Ila ningelitegemea watu wenye akili zao na Wasomi kama wanavyojulikana Chadema na huku wana wanasheria wazuri sana na wazee wenye busara kama akina Baregu, Slaa nk watakaa na kutatua mataizo yao ndani ya mikutano ya chama na si kuja kushambuliana hapa kama vita ya Iran na Iraq.
Kama mtu anaona kuwa Matatizo ya CHADEMA yatatatuliwa kwa Zitto kwenda TBC na CDM wanamsiliba kwenye magazeti kwa ule msemo "wewe mwaga mboga, mie namwaga ugali........" basi endeleeni hivyo na kila la kheri.