Sikonge, Wabz,
KUna ule wimbo ulikuwa inaimbwa zamani "uliambiwa na wewe ukayapuuza, na leo hii dunia inakucheka".. Mara nyingine huwa nafika hatua kujilaumu kwa kuyaona tangu awali matatizo ya Chadema na nilipoandika kwa muda mrefu na kudhihakiwa na kubezwa na kama laana niliposema wanahitaji mfumo mpya, reforms na hata uongozi mpya, sasa matendo yao yanaonyesha wazi kuwa chama kimedoda na kinahitaji sura mpya kabisa kukinusuru.
Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele, zaidi ya miaka mitatu iliyopita, Chadema imekuwa na msuguano wa kiongozi ndani yake, yako ya kinza Chacha Wangwe, Zitto, Kafulila, BawaCha, vijana na sasa kukosekana kabisa kwa uongozi kukiandaa chama kwa uchaguzi, kuchanganyikiwa kwa baada ya uchaguzi na huu mvutano wa kumsusia Kikwete.
Leo tunamtuhumu Zitto kwa kukosa umoja na kwenda ropoka TBC, lakini si hata Mbowe naye karopoka na kudai wao hawampingi au kumkataa Rais? Then what is Lissu and Slaa doing wasting time and hope za watu kudai eti wanapinga matokeo na leo hii kuna legitimace gani ya kudai wale waliokataa kwenda Bungeni na kufanya matembezi ya mshikamano kumwacha Kikwete Solemba wanapaswa wajieleze?
To me, this is a party in shambles and rather than taking Mwanakijiji advice of comeout clean kwa Watanzania, sasa wanatafurta Bangusilo within.
I have nothing personal against Zitto or Mbowe, but this is a fact, the two can never see eye to eye and they do not have an ounce of repsect towards another one.
Solution is for both to step down from party leadership and stop the internal bleeding.
Sasa kila mmoja wao ana kundi lake ndani ya chama na wafuasi katika magazeti. Then ni slander, smear and whatever crap left and right. Kama watu hawakumuelewa Chacha Wangwe au hata kuelewa kilichotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa viongozi wa Chadema 2009, then wanachama wa Chadema na wafuasi wake ama wameshakuwa kama Wanachama wa CCM wa kuwa na ile blinding trust na kuchukua makundi. Tofauti ya CCM na Chadema ni kuwa Wanachama wa CCM pamoja na tofauti zao, azma zao ni kuhakikisha kuwa CCM inaendelea kushika madaraka na kupewa dhamana na wananchi.
If you ask me today what is Chadema or directly what is Mbowe and Zitto are there for or to gain, I have no clue to equate their bickering fight to the better good of Chadema ir Tanzania rather it is about selfishness and personal interest.
Bottom line, Chadema is becoming a myopic party which does not embrace diversity and it is not inclusive. What we see is artificial image, full of wanja, facial powder, sijui skin foundation lakini ukiwaambia wasafishe uso kama ndio wametoka kitandani, ni mautangotango na chunusi kibao na hawatazamiki.
It has been almost 5 years of lack of cohesiveness ndani ya chama, na wamebakia kuwindana na kufanyiana blackmail and as a result, hakpakuwa na united front hata strong leadership kwa ajili ya huu uchaguzi ambao ni ghadhabu za Watanzania na wala si umahiri wa Chadema ambao karibu almanusra uikoseshe CCM Urais (this is a fact).
So leo watu wanapumua mapavu na Zitto anakaangwa, mnaacha kujiuliza, mbona hii ni Chacha Wangwe part 2?
Umeongea mambo mengi bila data, unakuza tu kutoelewana kwa vongozi wa CHADEMA. But to me ni mgongano wa mawazo ndio unaoleta mabadiliko na sio ndio mzee kama ya CCM unayoisifia.
BTW CCM kinachowafanya wakae pamoja ni madhambi yao na ufisadi. Wasipofanya hivyo wote wataishia jela pindi kiongozi bora atakapoingia madarakani. So CCM sio mfano wa maelewano ambao unaweza ukawaambia CHADEMA waige.