pierre buyoya
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 476
- 163
Kama kuna kipindi amerika na Dunia vinahitaji kiongozi wa namna ya Trump ni sasa, Licha ya kashfa nyingi anazotoa kwa Afrika na nchi nyingine kama Mexico na China ila Dunia ya sasa inamuhitaji sana, Hasa Tanzania kwa kuwa tumepata kiongozi mwenye hulka ya kazi ambayo ni legacy ya Trump mwenyewe basi itakuwa kolabo bora zaidi kama wamarekani watampa Trump urais.
Dunia ya sasa haihitaji Rais wa marekani mnafiki anayepaka nchi nyingine mafuta kwa mgongo wa chupa ili ale nao kama kipofu, Tunahitaji kiongozi wa Marekani aliye straight foward na asiyeogopa nchi yoyote akitaka kufanya biashara.
Moja ya jambo kubwa linalomchukiza Trump ni swala la marekani kujifanya kiranja wa dunia kila jambo lazima aingilie, yeye amesema kufanya hivyo ndio kunaifanya marekani irudishwe nyuma na nchi kama china.
So kama wamarekani watampa uyu jamaa nchi basi dunia itakuwa huru zaid kwenye biashara na nadhani kwa hari ya kazi ya Magufuli Tanzania tutapiga hatua kubwa . . .