The world needs Donald Trump

The world needs Donald Trump

Kama kuna kipindi amerika na Dunia vinahitaji kiongozi wa namna ya Trump ni sasa, Licha ya kashfa nyingi anazotoa kwa Afrika na nchi nyingine kama Mexico na China ila Dunia ya sasa inamuhitaji sana, Hasa Tanzania kwa kuwa tumepata kiongozi mwenye hulka ya kazi ambayo ni legacy ya Trump mwenyewe basi itakuwa kolabo bora zaidi kama wamarekani watampa Trump urais.

Dunia ya sasa haihitaji Rais wa marekani mnafiki anayepaka nchi nyingine mafuta kwa mgongo wa chupa ili ale nao kama kipofu, Tunahitaji kiongozi wa Marekani aliye straight foward na asiyeogopa nchi yoyote akitaka kufanya biashara.

Moja ya jambo kubwa linalomchukiza Trump ni swala la marekani kujifanya kiranja wa dunia kila jambo lazima aingilie, yeye amesema kufanya hivyo ndio kunaifanya marekani irudishwe nyuma na nchi kama china.

So kama wamarekani watampa uyu jamaa nchi basi dunia itakuwa huru zaid kwenye biashara na nadhani kwa hari ya kazi ya Magufuli Tanzania tutapiga hatua kubwa . . .


1b62fcb528bec1ba8eeff8d36465a7fa.jpg
Nataka awatie ndani mugabe na mseveni.pia wacha atutukane miafrika ndivyo tulivyo
 
Trump is the wright figure to rescue Africans and to end facism/dictatorship in our poor nose
Huko ni kujilengesha kwa Trump. Hajawahi kuzungumza hayo juu ya Afrika. Yamezuliwa tu. Halafu, bado tuna mentality ya kitumwa tunamsubiri mzungu huyo aje atutatulie matatizo yetu? I am disgusted.
 
Am praying for Trump to be president so that he can nuke us we start afresh like Japan it's better that way Tanzania be like Hiroshima
You are sick! You don't seem to understand history. You are insulting people because of your ignorance. Unafikiri Wajapani waliendelea kwa sababu walipigwa mabomu ya atomic? Read a book!
 
Mbona Nyani Ngabu kila siku anayapinga haya matamshi inavosemekana hajazungumzia chochote kuhusu Africa na kama angesema basi kingekuwa ni habari kubwa sana kwenye karibu vyombo vyote ila inaishia mtandaoni
Jiridhishe mwenyewe. Tafuta habari hizo, na hutaziona popote isipokuwa kwenye mitandao ya tashtiti ya hapa Afrika.
 
Very true.. This is a gentleman that can make the world great again not only america.
Pierre, I doubt kama kweli unamsikiliza huyu jamaa unayemsifia. Usije ukachukua tu maneno ya mtaani ukaamini kasema Trump. Kwanza sijui hata kama anajua kama kuna Tanzania. Na hajawahi kuzungumzia Afrika. Najua hapa Bongo watu wanadai kasema hivi au vile. Lakini kama alivyosema Nyani Ngabu tena na tena, Trump hajasema hayo mambo. Na kwa Wabongo ni upuuzi kuanza kujihesabia kwamba Trump atakuwa mkombozi wa Afrika. Ni lini Waafrika tutaacha ukahaba wa kijinga wa kungojea mzungu fulani aje kutukomboa?
 
Speech zake ukizujaji njenje waweza fikiriaa anakoseaa bt if u think twice,, he is right man to lead the nation,, kwa mtazamo wake dunia itakuwa free hasa zle nchi marekan alizozizoeaa kuzinyonyaa,, Mtazamo Wangu
 
You are sick! You don't seem to understand history. You are insulting people because of your ignorance. Unafikiri Wajapani waliendelea kwa sababu walipigwa mabomu ya atomic? Read a book!
Take it easy Bro! Do you know the Japanese were the most ruthless during that time. You read books but me am mingling with them. After the atomic they decided to leave behind aggression and invading and vowed never to engage in wars with other nations and focus concentrate more on education and technology. They took many youths to American colleges and university.

Also when I say we should be nuked doesn't mean necessarily a nuclear bomb should be dropped on us

Note

If you want to learn history more ifficiently it's not only reading history books try to meet mingle with people from different cultures and ask and inquire more about their way of life!

Take it easy dude!
 
Pierre, I doubt kama kweli unamsikiliza huyu jamaa unayemsifia. Usije ukachukua tu maneno ya mtaani ukaamini kasema Trump. Kwanza sijui hata kama anajua kama kuna Tanzania. Na hajawahi kuzungumzia Afrika. Najua hapa Bongo watu wanadai kasema hivi au vile. Lakini kama alivyosema Nyani Ngabu tena na tena, Trump hajasema hayo mambo. Na kwa Wabongo ni upuuzi kuanza kujihesabia kwamba Trump atakuwa mkombozi wa Afrika. Ni lini Waafrika tutaacha ukahaba wa kijinga wa kungojea mzungu fulani aje kutukomboa?



Wacha weee
 
Shida kubwa ya ulimwengu wa leo ni unafiki na huwa tunaliamini sana box la kupigia kura na mbaya zaidi tunaamini kuwa mfumo wa ki demokrasia ndio uko huru kufuata matakwa ya mpigaji kura na umekamilika kitu ambacho si kweli
Trump anakubalika na wamarekani sana ingawa haendani na mikakati na sera za wafadhiri wakubwa wa marekani,unapogombea uraisi wa marekani utatakiwa kwenda na sera zinazoongoza marekani na sio wanavyotaka wamarekani na watu wote walioenda against na hizo sera hawakupewa hyo nafasi,mfano JF Kennedy
Kwanza tunakosea kudhani kuwa marekani imejitosheleza kwa kila kitu so haina wafadhiri, matajiri wa ki israel ndio wafadhir wa chaguz za kimarekani na wanampiga kick kubwa sana Hillary Clinton kwa sababu ya mlengo wake juu ya israel na palestine
Kifupi wao wanaona sisi wala wananchi wao hawakioni kitendo cha Trump kujinadi kuwa hamtegemei mtu yoyote kiuchumi ktk harakat zake za kuingia The white house ni tishio kwake
Kwa bahat mbaya sana wananchi hawaamui nani aongoze Amerika,zile figisufigisu km za NEC hata kwa wenzetu zipo
 
Speech zake ukizujaji njenje waweza fikiriaa anakoseaa bt if u think twice,, he is right man to lead the nation,, kwa mtazamo wake dunia itakuwa free hasa zle nchi marekan alizozizoeaa kuzinyonyaa,, Mtazamo Wangu
Nataka kujua exactly ni nini hicho ambacho kina ukweli ambao yeye Trump hajaupinga na kuuviolate? Have you really listened to this man, au umepata tu maneno ya vijiweni? The man has flipflopped on everything. Analalamikia wahamiaji haramu, yeye mwenyewe ameajiri wengi tu. Umesahau alisema juu ya Iraq kwamba wakamwage mabomu kisha wachukue mafuta yao. Unadhani anataka uhuru wa nchi yoyote? Anataka mali zao. Ni huyo huyo aliyesema kwamba waue familia za magaidi. This kind of collective punishment inaonekana ndiyo mwelekeo wake. Nafikiria aseme tu kwamba Watanzania wote pia wasiruhusiwe kutoka hapa nchini kwa sababu wanaua Albino. Think about it. The man complains about viwanda kwenda nje, ilhali yeye mwenyewe ni namba moja katika outsourcing. Who is he fooling? Halafu anakaa anawakebehi vilema, anawatukana wanawake, mtu yeyote asiyekubaliana naye anamtukana tena matusi ya nguoni. Hiyo siyo temperament ya mtu anayetakiwa kuongoza taifa kama hilo. Yeye abakie kama mshereheshaji tu.
 
Back
Top Bottom