Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,922
- 4,023
Ramani ya flat Earth Antarctica imezunguka lakini hii ya google ipo hapo chini tu south , east na west hakuna, kama unavyoona hapo chiniMkuu upo sahihi kabisa, swala langu ni hili, inakuaje ninapotumia Google map naona sehemu yote ya dunia ila katika muonekano wa flat na sio spherical kama tunavyoambiwa!? Kwanini Antarctica ndio boundary yetu!?
Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
Unaizungumzia dunia ipi?Maswali yako yote ni ya uongo sababu hayaongelei kile ninachokizungumzia mimi.
Pili, picha ulizoziweka zinaonyesha kinyume na hali halisi, ninaposema Dunia ni kubwa kiasi ambacho ukomo wake hakuna anae udiriki na ukubwa huo ndio unatuonyesha ya kuwa dunia ni kama tandiko hivi yaani tambarare. Hizo picha hazina uwiano na dunia duara ninayo izungumzia mimi.
Kwahiyo karekebishe kwaza unachokiandika ili uulize swali kulingana na ninacho kiamini mimi kwa hoja zenye nguvu na upembanuzi wa ajabu.
Siku nyingine usilete picha bunifu ili kuupata ukweli.
Daah kumbe unaizungumzia dunia kwa upande wa kiroho bado na wewe majibu yako yatakua hayatupi mwanga halisi NI roho pekee ambayo majibu yake hayawezi patikana ila dunia kitaeleweka tu hata Kama karne kumi zijazoNaona umesahau ulicho niuliza
Pili, hapa tunautafuta ukweli kama ulivyo na si ukweli kama unavyojitokeza kwa watu.
Huwezi na hii nakupa kanuni popote utakapo kwenda, huwezi kuelezea maumbile ya dunia nje ya dini ulapatia mzee, yaani hili hata mje kuleta Camera za P100000000000 hamtaweza kupatia zaidi ya kubahatisha.
Kwahiyo mintarafu tunachokiongelea bado nipo kwenye mada na kujibu kile kinachotakiwa.
Hawakutoa muda rasmi wa kukamilisha mission yao huko Antarctic.zaidi walisema 2019 wange kwenda huko na kuja na jawabu!Hiyo safari ya Flat Earthers walisema watachukua muda gani huko? 😂😂😂😂
Hawa Jamaa wana vituko 😂😂😂
Hoja ni kwamba hata hii Dunia, na sayari nyingine nazo ni Sattelite.
Hao flat Earthers ni Watu walio Kijita katika theory pasipo uwezo wa kufanya tafiti!Hiyo trip yao ya Antarctica wameipiga chenga.
Mara ya mwisho walidai wataenda mwaka huu, baadaye wakabadili kauli.
Hawaeleweki!
Next time, wakitaka kwenda huko itawabidi waunde kwanza navigation systems za kipeke yao maana kama wata-rely katika mifumo iliyopo hususani GPS katika hiyo safari yao, itakuwa ni kituko cha karne.
Mkuu nadhani unatumia toleo tofauti na langu. Ila ukizungusha hiyo ramani Antarctica imezunguka sehemu ya chini yote.Ramani ya flat Earth Antarctica imezunguka lakini hii ya google ipo hapo chini tu south , east na west hakuna, kama unavyoona hapo chiniView attachment 1361444
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekurushia sample hizo.Ramani ya flat Earth Antarctica imezunguka lakini hii ya google ipo hapo chini tu south , east na west hakuna, kama unavyoona hapo chiniView attachment 1361444
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona mkuu, ila ukiangalia vizuri bado ramani zote Antarctica iko South, North hakuna.Nimekurushia sample hizo.View attachment 1361493View attachment 1361495View attachment 1361496View attachment 1361498
Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
Kwa hali hii sidhani hata kama unajua satellite ni nini mkuu. Tufunge mjadalaHoja ni kwamba hata hii Dunia, na sayari nyingine nazo ni Sattelite.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusifunge Mjadala bila ya wewe kunielewesha Sattelite ni nini?Kwa hali hii sidhani hata kama unajua satellite ni nini mkuu. Tufunge mjadala
Sent using Jamii Forums mobile app
Ramani zote za Dunia duara lazima ionekane ipo south na si noth kwa sababu hiyo ramani imekunjwa kutoka katika uflat kutengeneza mviringo ili uongo utimie kimahesabu.Nimeona mkuu, ila ukiangalia vizuri bado ramani zote Antarctica iko South, North hakuna.
Ila ya flat Earth hiyo Antarctica ni round
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema; "uongo utimie kimahesabu"Ramani zote za Dunia duara lazima ionekane ipo south na si noth kwa sababu hiyo ramani imekunjwa kutoka katika uflat kutengeneza mviringo ili uongo utimie kimahesabu.
Fanya hivi.
Flat erth chukulia ndio kama sinia na kingo zake pembeni( antactia)
Chukua mpira uweke chini sinia juu.
Fanya kulilazimisha sinia liufunike mpira kwakulipindisha kuufuata mduara wa mpira halafu utuambie kuta zinazozunguka sinia zitakua zimekutana wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usibishane na huyo hana hojaUnasema; "uongo utimie kimahesabu"
Unaweza kuthibitisha huo "uongo" ya kwamba ni uongo?
Huo "uongo" unafanyika kwa maslahi ya nani? Kwa kusudi gani na ili iweje?
Karibu kwa majibu!
tatizo unabishana mimi nipo tayari kuelekezwa kwani wapi sijakujibu au hizo hoja ni zipi.?
Ndg yangu sisi tule tulale tufe, basi.Unasema; "uongo utimie kimahesabu"
Unaweza kuthibitisha huo "uongo" ya kwamba ni uongo?
Huo "uongo" unafanyika kwa maslahi ya nani? Kwa kusudi gani na ili iweje?
Karibu kwa majibu!
Tumekaririshwa Sayansi hawatayaamini hayo.. japo unaweza kuta ni waumini wa dini inayoamini hayo maandiko.
Kumbe hata bible imeaibisha dunia duara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unaibishia biblia??Tumekaririshwa Sayansi hawatayaamini hayo.. japo unaweza kuta ni waumini wa dini inayoamini hayo maandiko.
Sent using Jamii Forums mobile app