Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,922
- 4,022
Inabidi utambue kuna satellite zaidi ya moja na kila moja ina kazi yake. Lakini pia tambua kwamba satellites haziko stationary. Kuna aina kadhaa za satellites kamaMbona nilichokuuliza hujajibu hapo na wewe unakimbilia kuuliza.
Mimi nataka uniambie kuwa kama satelite zipo kweli kwa nini tunapata hzo google map ya kila sehemu..?
Hyo satelite ni kama blanketi limefunika dunia nzima linaweza kupiga picha ya kila sehemu ya dunia au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nenda hospitali teyari ubongo wako ushakusaliti
Zinapigwa na kamera ambayo inafungwa kwenye air drone.Picha za google maps ambazo unaweza ona popote duniani na kuzoom vizuri zinapigwa na nini mkuu?
Hujanieleza kuhusu vimondo nao ni uzushi wakat hata usiku vinaonekana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinapigwa vipi?
Kusuhusu Dome ya kioo inayo ifunika Dunia ni fix zenu flat Earthers na muanzisha mada. Hayo mafungu Mliyo yatoa ndani bible kama ushahidi wenu hayaendani na kile mnacho king'ang'ania hapa katika mada.Nimekaa na Wanatheology nguli tumesoma na kuchambua mstari mmoja baada ya mwingine! Sana katika Ayubu 37 utaona Nabii alikuwa akisifia jinsi Mungu alivyo zitengeneza Mbingu imara kama kioo kilicho yeyushwa na sio kama mnavyo danganya hapa eti Dunia imefunikwa na kioo kigumu! Katika ufunuo Bible inaelezea kuwa Mbinguni kuna bahari ya kioo mwishowe mtageuza Neno ionekane Mbinguni kuna kioo juu ya bahari! Someni na muelewe na sio kukurupuka,mmeonesha jinsi gani uwezo wenu wa kusoma na kuielewa Biblia ulivyo mdogo. Hivi wale Jamaa zenu wa flat Earthers waliishia wapi katika utafiti wao kule Antarctic?! Maana wako kimya sana! walijigamba mwaka juzi, ndani ya mwaka 2019 wange kwenda kutafiti Antarctic kama ina mwisho au haina kisha waielezee Dunia walicho kibaini huko !Leta hizo picha za satellite halisi tuzione sio zile za CGI za kuedit.
Alafu we jamaa tumia tena ubongo satelite ipo nje ya dunia inawezaje kutoa taarifa kwenye mpira yaani hzo information kuuzunguka huo mpira na information kutransmit katika sehemu tambalale lioi ni rahisi..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemwambia azungumzie huo mnara mrefu kakimbia, yaan madish yote dunia nzima yanase kwenye mnara mmoja mrefu very funny aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kusuhusu Dome ya kioo inayo ifunika Dunia ni fix zenu flat Earthers na muanzisha mada. Hayo mafungu Mliyo yatoa ndani bible kama ushahidi wenu hayaendani na kile mnacho king'ang'ania hapa katika mada.Nimekaa na Wanatheology nguli tumesoma na kuchambua mstari mmoja baada ya mwingine! Sana katika Ayubu 37 utaona Nabii alikuwa akisifia jinsi Mungu alivyo zitengeneza Mbingu imara kama kioo kilicho yeyushwa na sio kama mnavyo danganya hapa eti Dunia imefunikwa na kioo kigumu! Katika ufunuo Bible inaelezea kuwa Mbinguni kuna bahari ya kioo mwishowe mtageuza Neno ionekane Mbinguni kuna kioo juu ya bahari! Someni na muelewe na sio kukurupuka,mmeonesha jinsi gani uwezo wenu wa kusoma na kuielewa Biblia ulivyo mdogo. Hivi wale Jamaa zenu wa flat Earthers waliishia wapi katika utafiti wao kule Antarctic?! Maana wako kimya sana! walijigamba mwaka juzi, ndani ya mwaka 2019 wange kwenda kutafiti Antarctic kama ina mwisho au haina kisha waielezee Dunia walicho kibaini huko !
Flat Earthers ni Genge la wakurupukaji wanao jidai kujua! Ukweli wao wanao ulazimisha hapa ni hisia na adithi za kikanjanja walizo soma humu mitandaoni pasipo utafiti wa kutosha! Siyo kweli kwamba Mtoa mada na wenzake ndo watakuwa wamefikilia kwa akili zao hilo suala la flat Earth na kuamua kulielezea! Kila wanacho kiita ndo ushahidi wao, wanapost hisia za Watu wengine toka google humu humu!Nimemwambia azungumzie huo mnara mrefu kakimbia, yaan madish yote dunia nzima yanase kwenye mnara mmoja mrefu very funny aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio Mkuu unataka kutuaminidha kwamba Imani yako kwamba Earth ni Globe ni mawazo yako wewe?F
Flat Earthers ni Genge la wakurupukaji wanao jidai kujua! Ukweli wao wanao ulazimisha hapa ni hisia na adithi za kikanjanja walizo soma humu mitandaoni pasipo utafiti wa kutosha! Siyo kweli kwamba Mtoa mada na wenzake ndo watakuwa wamefikilia kwa akili zao hilo suala la flat Earth na kuamua kulielezea! Kila wanacho kiita ndo ushahidi wao, wanapost hisia za Watu wengine toka google humu humu!
Earth being flat or revolving around the Sun has got nothing to do with Quantum Physics.
Hyo ukizoom out ni setting tu mkuu watu wanacheza na wewe tu.Zinapigwa vipi?
Mbona uki zoom out inakuletea dunia nzima ?
Hiyo drone ikoje na iliwekwa na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhan kama kuna drone inaweza fly high kiasi hicho vitu vingine muwe mnareason kabla ya kusema.Hyo ukizoom out ni setting tu mkuu watu wanacheza na wewe tu.
Ukizoom unaweza kuona sattellite zingine ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusuhusu Dome ya kioo inayo ifunika Dunia ni fix zenu flat Earthers na muanzisha mada. Hayo mafungu Mliyo yatoa ndani bible kama ushahidi wenu hayaendani na kile mnacho king'ang'ania hapa katika mada.Nimekaa na Wanatheology nguli tumesoma na kuchambua mstari mmoja baada ya mwingine! Sana katika Ayubu 37 utaona Nabii alikuwa akisifia jinsi Mungu alivyo zitengeneza Mbingu imara kama kioo kilicho yeyushwa na sio kama mnavyo danganya hapa eti Dunia imefunikwa na kioo kigumu! Katika ufunuo Bible inaelezea kuwa Mbinguni kuna bahari ya kioo mwishowe mtageuza Neno ionekane Mbinguni kuna kioo juu ya bahari! Someni na muelewe na sio kukurupuka,mmeonesha jinsi gani uwezo wenu wa kusoma na kuielewa Biblia ulivyo mdogo. Hivi wale Jamaa zenu wa flat Earthers waliishia wapi katika utafiti wao kule Antarctic?! Maana wako kimya sana! walijigamba mwaka juzi, ndani ya mwaka 2019 wange kwenda kutafiti Antarctic kama ina mwisho au haina kisha waielezee Dunia walicho kibaini huko !
Ukitaka upate jibu. Boda ya Tunduma eneo la mpaka lilibomolewa 2019/11/02, la kini ukizoom google maps bado wanapicha za mwaka juzi. Kwa hiyo bado drone yao haijapita hilo eneo. Ninasema hivyo ninaushaidi wa kuona wakiwa na drone inatembea juu na gari likiwa linatembea chini na mtambo wa mawasiliano ukiwa umefungwa kwenye gari.Sidhan kama kuna drone inaweza fly high kiasi hicho vitu vingine muwe mnareason kabla ya kusema.
Halafu nimekuuliza kuhusu mnar mrefu hujajibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za namna Dunia ilivyoumbwa zinapatikana katika kitabu cha Mwanzo, tena Mwanzoni kabisa....
Hebu soma vizuri utaigundua shape ya Dunia kama ni duara mviringo au duara tambarare.
Halafu humu hatubishani kipi ni sahihi kiumbo ila tunatakiwa tutafakari zaidi na zaidi.
Niwaulize Mnaopinga Dunia Flat.
Kuna kipi mnachokijua ktk Dunia Duara Mviringo ambacho Tunaoamini Dunia ni Flat hatukijui?
Basi tulivyofundishwa tukaendelea kuhoji tukafundishwa tena Dunia Flat ilivyo.. na baada ya hapo tukaanza kutafuta ukweli....
Sasa wewe usiyeisoma elimu ya Dunia flat unawezaje kumpinga mtu mwenye hiyo elimu uliyonayo ya dunia mviringo na akaongezea na nyingine ya dunia flat.?
Jifunzeni kutafiti kabla ya kujibu. We unaona Jua linatembea, mtu anakuambia limesimama unamuamini...
Hiyo hiyo biblia uliyoitumia reference ina andiko la watu kuomba Jua lisimame waendelee kupigana vita bila usiku kuingia, kwanini hawakuomba Dunia isimame?
Kama kuna Sattelite kwanini gharama za mawasiliano ni tofauti kati ya simu za ndani ya nchi ma nje ya nchi?...
Asolimia zaidi ya 90 mawasiliano yanatumia cable zilizosambazwa chini ya bahari dunia nzima, kwanini?Hapa unakosea sana mkuu, hizo cables unazozungumzia zitakuwa fible optics ambazo bongo zimetandazwa juzi tu. Nakupa mfano kijijini kwetu ni very interior hata umeme hakuna ila kuna jamaa ana DSTV na Azam anaonesha mpira hizo signals za madish yake zinatoka wapi wakati hizo cables unazozungumzia hazijafika huko? Au ndo hiyo asilimia kumi inayobaki kwenye 90 ulosema? Au ni mnara mrefu aliosema yule jamaa?
Jamaa wa spice x ametangaza hapo mbeleni atawezesha mawasiliano ya internet kwakutumia sattelite, ina maana hazipo kwasasa?Angalau hii project unajua na unakubali kwamba ipo, wenzio wanaona kila kitu uzushi
Fanyeni kugooogle Google Map wanatumia nini kupiga picha ziitwazo za sattelite. Camera zinafungwa kwenye mapashuti yenye uwezo wa kwenda juu zaidi kwa ajili ya nini na kuna sattelite?Hapa ndo unakosea zaidi kweli baloom iweze kupiga picha Aerial ya nchi au bara zima?
Highest height ya baloon kufly unaijua mkuu au unaongea tu?
Halafu unazungumzia kutafiti huo utafiti wako umefanyia wapi mkuu?
Picha ni picha tu inaweza pigwa muda wowote.Ukitaka upate jibu. Boda ya Tunduma eneo la mpaka lilibomolewa 2019/11/02, la kini ukizoom google maps bado wanapicha za mwaka juzi. Kwa hiyo bado drone yao haijapita hilo eneo. Ninasema hivyo ninaushaidi wa kuona wakiwa na drone inatembea juu na gari likiwa linatembea chini na mtambo wa mawasiliano ukiwa umefungwa kwenye gari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujanielewa nili maanisha flat Earthers ni wakurupukaji bila ushahidi wa kutosha! Wanatoa hitimisho la Dunia ni flat wakiwa bado hawajapata uhakika zaidi! Mwaka juzi walisema 2019 wange kwenda Antarctic wajue ukomo wake waje waithibitishie Dunia!Lakini mpaka sasa ni kimya tu na bado wanatafutisha ushahidi wa kuunga unga ndani ya Bible.Ukisoma Wewe binafsi utagundua bado kilicho andikwa katika hayo mafungu hakiendani na ushahidi wao!Kwahio Mkuu unataka kutuaminidha kwamba Imani yako kwamba Earth ni Globe ni mawazo yako wewe?
Sidhani kama ni kweli, kila mmoja kasoma sehemu ila suala la kuamini kipi kati ya hayo linabaki kuwa juu yako
Hakuna mwenye mawazo yake binafsi juu ya hizi nadharia mbili
Sent using Jamii Forums mobile app