The World is a flat plane and not a globe

Maelezo haya unarejea kwa nani ?

Nani amekutangulia katila maelezo haya ?

Mimi wamenitangulia kina Imaam Ibn Hazm, Imaam Uthaymeen na wengine katika wamazuoni wakubwa.

Nasubiri unipe marejeo yako.
 
Maelezo haya unarejea kwa nani ?

Nani amekutangulia katila maelezo haya ?

Mimi wamenitangulia kina Imaam Ibn Hazm, Imaam Uthaymeen na wengine katika wamazuoni wakubwa.

Nasubiri unipe marejeo yako.
Hao wamerejea wapi?

Mtume yeye kasemaje?

Si tukizozana katika jambo turudi kwa rasuul.

Haya wao wameegemeza wapi?

Na rasuul mwenyewe anasemaje...?

Huwa aya zinazohusu mambo ya kiulimwengu kama haya tukiacha ya ibada huwa sifuati (taqliyd)kichwa mchunga maadam hakuna ubainisho wa wazi kutoka kwa mwalimu wetu mtume sala na salamu ziwe juu yake.

Naomba uniambie wso wamerejea wapi.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kaka nimecheka sana aisee.

Sioni cha kujibu hapo.
 
sio kweli hata kidgo
 
Naam kama ni hivyo basi tumalize hapa kwa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zurri na Kiranga tofauti baina yao ni mmoja wao ana amini uwepo wa Mungu na Mitume yake na kadhalika! Huyu mwengine haamini.

Ukiangalia mtizamo wao wa kwenye hoja ni uleule! Hawaandiki hoja bali wanalazimisha iwe hoja.

Sentensi iliyoandikwa ina maana moja na ya anayejadiliana naye wao wanaipinga halafu wanaandika ya kwao yenye maana ileile moja na ya waliyempinga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…