Ukiwa mfuatiliaji wa mambo na kisha ukaufuatilia huu mjadala kwa muda mrefu na kwa kina utagundua kuwa;
1. Hoja kuhusu dunia kuwa tambarare bado ni dhaifu sana.
2. Hazijitoshelezi na zina maswali mengi zaidi yasiyo na majibu.
Hizi hoja ni entry level kwa mtafiti wa flat earth na ni hoja nyepesi zaidi kujibu KWA VITENDO tu. Nenda kando ya bahari, itazame meli mpaka pale inapopotea machoni mwako. Chukua kifaa choochote cha kuweza kusogeza umbali (zoom) mfano kamera yenye nguvu. Tazama tena uelekeo wa meli oale ilipopotea (kuzama kwenye duara) halafu ushangae utakapoiona ikichanja mbuga kama kawaida. Kwa mtindo huu unaweza kuona hata vitu vinavyopaswa kuzama zaidi ya mita mia chini ya bahari lakini vikawa vinaelea mbele yako. Hiyo inaitwa perspective, ni upeo wa macho tu, sio mbonyeo wa dunia.REALITY,
Hatuhitaji kwenda anga za juu ili kuthibitisha hivyo vitu viwili bali tutumie mifano ya kawaida tu.
Umekwisha wahi kuitazama meli inapoelekea mbali na mahali uliposimamia. Kwanini meli uonekana kama kuzama pale inapozidi kuelekea mbali zaidi na mahali ulipo?
Unafahamu kitu gani kuhusu 'Gravity'?
Unawezaje kuelezea jinsi 'Gravity' inavyofanya kazi katika hiyo dunia ya "flat"?
Mkuu sababu Wewe unachanganya na mambo ya theology naomba unieleweshe kitu hapo! Ukisoma Biblia kitabu cha ufunuo kuna sehemu inasema kulikuwa na Vita huko Mbinguni Kati ya Mikaeli na Yule Joka na Malaika zake,mwisho yule Joka na Malaika zake walishindwa na kutupwa Duniani! Mkuu hapo huoni hiyo Dome ya kioo tayari ilishaga vunjika kitambo?!
1.Hakuna aliekufa akarudi akiwa mtu tena, kama wanarudi ningekuwa namfahamu babu yangu upande wa baba(huyu alikufa sijazaliwa)
2. Mti tukiung'oa kuua,tukauchoma moto ukawa jivu, na tukachoma jivu kuna point tunafika hata jivu linaishia kuwa jivu au kuwa kitu kingine, sio mti tu na vitu vingine vingi lakini hauwezi tena kuurudisha kuwa mti,kadhalika binadamu pia akifa,akaoza,akawa fosils n.k hata akiwa katika form nyingine duniani au mbinguni huyo sio mtu tena ni something else. Najua wakristo hapa wanaweza kuleta case ya Yesu,hili sasa ni suala jingine nyeti katika mambo ya imani.Kama ndugu Reality anavyosema Antarctica kuna viumbe wana macho ya blue, hii sio fact ni belief
Sasa kila utakapokuwa ukisogea kupima unaona utambalale kwa hio mkunjo wa uduara wa dunia utauona lini..!!? Sasa huoni kama unajijibu mwenyewe kwamba our earth is flat.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala Reality katika maenono yake yote hakuna sehemu kasema "flat earthers" pia wanasema dunia ina move na wanabishana kuhusu hilo?Sasa atuleze katika hao wanaosema ina move na wengine hai move yuko upande upi?Na mbona hatu feel iki move?[emoji2][emoji2][emoji2]. Flat earthers ni jumuia ya wanasayansi wavivu.
Yes, kwamba mimi sio "mrembo wa nguvu".
No satellites on earth because they have no technology to make them hang due to electromagnetic force and they cant resist high temperature at the thermo sphere level according to your levels of atmosphere.Mkuu hata Majirani zetu wa Kenya mwaka juzi walisema wamerusha Satellite.Lakini hapa wanasema hakuna kitu kama hicho ni minara mirefu tu.Na bado wanao ingia kenya hawajaona huo mnara mrefu uliotundikiwa hiyo satellite!
SOMA BETWEENHii topic nimeiona kwa muda sasa unaweza kuiona ni yakupoteza muda tu ila kuna mambo machache yakujiuliza hapa kwa pande zote mbili
Kwanza kwanini hawa wanasayansi wadanganye kuwa dunia ni mduara? Itakuwa na faida gani kwao? kweli na mambo yote tuliyojifunza shule/chuo yawe hayana maana? Muda wote iwe tumepoteza?
Waliodanganya sio wanasayansi,wanasayansi walitumiwa kufanikisha hilo jambo na kuliweka katika mfumo ambao ni shawishi na unaendana na hesabu.faida kwao ni kutransform ulimwengu kuwa hakuna supreme power au higher authority au complex intelligence substance than us,wakimaanisha tumetokea tu bila sababu yeyote ni just random,pili ikiwa big bang imetokea lazima kuwe na evolution kuwa sisi tumegenerate kutoka kwa apes,hapo pia wanakushawishi kuwa dunia ilivyo na hesabu timilifu hivi,ilitokea tu kwa bahati na wewe unakubali,sasa hiyo ndo inaitwa indoctrination unaamishwa kifikra kutoka point a kwenda b.kwakuwa ni jesuits mawakala wa ibilisi hawataki kuona dunia nzima inakubali uwepo wa muumbaji wanataka wote mjue mpo tu bila sababu ,at the end mnafall kwenye mikono ya LUCIFER jina la malaika muasi ,mpaka telescope kubwa ya anga inaitwa L.U.C.I.F.E.R kwahiyo jiongeze.
Kujali uhai na muda wa watu wao hawani maslahi nayo.
Vipi kuhusu maelfu na maelfu ya ramani ambazo explorers waliokuwa wakizunguka dunia kuzichora na ku document visiwa vidogo vidogo kuvijumuisha kwenye ramani ya dunia hata kabla ya kuwepo kwa satellite images toka karne ya 15 huko?
Safi hizo ramani zote ni sahihi na hapo mpango ulikuwa bado haujaanza kusukwa,fatilia hizi operation mbili dominic on fishbowl na high jump ,hapa waligundua kuna kuta ya kioo ,walivyorudi kwenye maandiko ya siri ya kale kuhusu uumbaji hicho kioo kipo,sasa wanafanyaje?,inabidi wabadilishe mitazamo ya ulimwengu wote kuwa huo sio uhalisia kwa kuanzisha sasa sarakasi rasmi 1958 kupitia taasisi ya upotoshaji ya kuhusu anga NASA.
Maelfu ya meli zikazama na kupotea bahari za mbali huko, watu wakapoteza maisha yao kwa ajili ya kudanganya kuwa dunia ni mduara?
ULIZA KWANZA KWANINI YEROSHIMA NA NAGASAKI ,KULE JAPAN WAFANYIWE VILE,WANAFATA AGENDA MAISHA YAKO HAYAWAHUSU.
Aya tukija kwenye motion ambayo dunia ni mduara basi kwanini hajawai kutokea mtu yoyote yule aliewahi kwenda Antarctica kupitia northern part ya dunia either Canada, Scandinavia au Russia? Kwanini route iwe ni moja kupitia southern part of earth yani Argentina, Chile, South Africa, New Zealand au Australia?
HUO NI UWONGO ANGALIA RAMANI YA KWELI YA DUNIA.ambayo flat earth map.
Jamani mtu asije hapa na point ya karafu na baridi kubwa maana tayari kuna ndege inatoka Argentina hadi Australia kupitia Antarctica
ANTARTIC NI CIRCULAR CONTINENT OF OUR WORLD
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa mfuatiliaji wa mambo na kisha ukaufuatilia huu mjadala kwa muda mrefu na kwa kina utagundua kuwa;
1. Hoja kuhusu dunia kuwa tambarare bado ni dhaifu sana.
2. Hazijitoshelezi na zina maswali mengi zaidi yasiyo na majibu.
Nshajibu hapo juuREALITY,
Hatuhitaji kwenda anga za juu ili kuthibitisha hivyo vitu viwili bali tutumie mifano ya kawaida tu.
Umekwisha wahi kuitazama meli inapoelekea mbali na mahali uliposimamia. Kwanini meli uonekana kama kuzama pale inapozidi kuelekea mbali zaidi na mahali ulipo?
Hiyo sight view ya macho yako kwenye horizon.
Unafahamu kitu gani kuhusu 'Gravity'?
Kwa shule nilifaulu kwa kujibu ,is a force that pulls objects downwards benearth earth's surface kwakuwa ni mfumo,ila nilivyotoka hapo ni gravity ni imagination na speculation ya force according to actions acted on earths surface
Wakati jibu ni ether
Electomagnetic force attaching and attracting us to earth's surface.
Unawezaje kuelezea jinsi 'Gravity' inavyofanya kazi katika hiyo dunia ya "flat"?
Giza linatokeaje kama dunia ni flat. Maan tulitakuwa kuliona jua 24hours. Lkn haipo hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta saa likianza kuchomoza weka stop watch halafu subiri mpaka kesho linapoanza kuchomoza pale zima stopwatch sawa mdogo wangu.Lol jua lina orbit. So jua linazunguka kwa muda gani kwenye kila orbit?
Sent using Jamii Forums mobile app
The guy ni bright sana kasoma ila hajawa indoctrinatedYuko mda mmoja ambaye video zake hufutwa mara kwa mara youtube, mtafute kama bado utajifunza mengi mno. Anaitwa ERIC DUBAY
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Hiyo picha ya liukuta na watu wanatoka wakiwa kama wamepanda farasi mbona inafanana kabisa na ya kwenye series ya game of thrones wakiwa wanatoka kwenye great wall? Haijatoholewa huko kweli? Nilikuwa naipenda sana hii series na kuifuatilia.ANTARCTIC TREATY
Part 3View attachment 1339201View attachment 1339202View attachment 1339203View attachment 1339204View attachment 1339205View attachment 1339206View attachment 1339207View attachment 1339208View attachment 1339209View attachment 1339210View attachment 1339211View attachment 1339212View attachment 1339213View attachment 1339217View attachment 1339218View attachment 1339219View attachment 1339221View attachment 1339222
Sent using Jamii Forums mobile app
Dome like structure to represent our true nature na hata kama hawakuona ila kuna spiritual connection iliyowaongoza watengeneze shelter katika mfumo huo angalia nyumba zote dunia before era zilijengwaje.kwahiyo walijua dunia IPO kana Dome,,,,While nyumba zao ziliundw Kwa stratified soil (utope) Kama biscuits ,,,je? Dome ipo Kama biscuits ?
Muonyeshe kama upo kwenye mjadala.Ungejikita tuu kwenye mjadala, sio lazima kila kilichoandikwa usome na kujibu.
Kuna comments nyingi sana za REALITY huko juu ungezijibu hizo.
Najaribu kuwaza alternative structure ya nyumba ili zisihusishwe na hizi mambo...OK HUSU NYUMBA KUKAA KAMA PYRAMID NI KITU RAHISI,KUMBUKA JESUITS NI MAWAKALA WA SHETANI NA SHETANI NI ANAFANYA UNIVERSAL INDOCTRINATION.
BATI LIMEKAA KAMA TRIANGLE KUONESHA NCHA YA JUU NI MTAWALA HALAFU CHINI ULE MSTARI UNAOUNGA NCHA MBILI NI WATUMISHI AU WATUMWA ,KWAHIYO NI HIVI ZAMANI NYUMBA PAA ILIKUWA NI DOME SASA HIVI PAA NI PYRAMID ,HIVYO HIVYO WAMECHANGE KWA MUONEKANO WA DUNIA.IT MEANS UKIWEKA PAA HIVYO UPO CHINI YA MTAWALA WA DUNIA.View attachment 1339442View attachment 1339443View attachment 1339444View attachment 1339446View attachment 1339447View attachment 1339448View attachment 1339449View attachment 1339450View attachment 1339451View attachment 1339452View attachment 1339454View attachment 1339455
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo picha ya liukuta na watu wanatoka wakiwa kama wamepanda farasi mbona inafanana kabisa na ya kwenye series ya game of thrones wakiwa wanatoka kwenye great wall? Haijatoholewa huko kweli? Nilikuwa naipenda sana hii series na kuifuatilia.
Aisee kama umegundua genge la Eistein na Newton worshippers wanajificha kwenye kichaka Gravity, Meli, na Jua.
Hawataki kushilikisha ufahamu wao.