You are not serious. Sasa kama haiwezekani kuchukua then wewe hizo picha unazotuletea ni structure ya kubuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Empty spaceWhat's vacuum according to flat earthers??
ARUSHA KWETU
Sio mpaka leo, yaani mpaka pumzi yangu ya mwisho, ile nakata roho. Sababu sisi tumeshalenga shabaha hata kabla ya Sayansi hii si yenye kutajika.Kwahiyo mpaka leo msimamo wenu ni ule ule?[emoji4][emoji4][emoji4]
Is there another land after earth?? Do they get light?? If so, from which source?
ARUSHA KWETU
Nshakuwa na haiwezekani kuacha uhalisia ,i will stay real like my "ID"Hello
Kuna Euclid geometry and non Euclid geometry
Ukikuwa utaacha
Mkuu REALITY, kwa picha za minara uliyota kuwa ndo minara mirefu unayoongelewa, nadiriki kusema UNATUPOTEZEA MUDA!!
hii ndo minara mirefu hii?? Hii Kama ya voda na Airtel??
ARUSHA KWETU
Kwanini, nimemjibu kutokana na swaliHuu Ni upumbavu, samahani lakini
ARUSHA KWETU
Usitake kucomplicate vitu rahisi wewe... Yani unaamini "the electromagnetic nature of light" lakini unashidwa kuamini vitu vidogo na obvious kama dunia duara[emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kioo thickness yake ni ngapi, kimetengenezwa na material gani?
Kwahiyo rocket zinaruka kutoka duniani kwenda nje ya dunia huwa zinalipuka zikigonga hicho kioo?
Sent using Cash Money Wings
OK NI VIZURI NGOJA NIKUPE HII KAMA MUUMINIKuhusu nini? Kama ni kuhusu evolution and associated phenomenology theories mimi sijakubaliana nazo moja kwa moja lakini pia sizikatai moja kwa moja kwa sababu sina data za kuwa-prove wrong. Hivyo kwa sasa mimi ni muumini/naamini au kukubaliana zaidi na concepts za creation "uumbaji". Naamini kuna supernatural Energy/Power aka God na ndiye ali-create universe na kila kilichomo. Na imani yangu Mungu yuko in form of Energy "Nguvu" ambazo hazina kipimo ndiyo maana anafanya atakalo hapingwi na chochote.
100%...do research. Nicola Tesla also tried to proof it but failed. There is no such thing as gravity but buoyancy and density
Eti hiyo Minara imesimikwa aridhini kwenda juu. Mfano..International space station na Satellites zimetundikwa juu ya Minara!
Nani alianza kuizungusha hiyo dunia mpk ikapata speed kubwa hivyo?? Na je inaongezeka??Hilo swali la 3 ukipata jibu naomba nitag mkuu.
Pia huwa najiuliza nini chanzo cha earth rotation!? why constant speed!!?
Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
Ngoja jamaa anayeelewa akiona maswali yako atakujibu. Mm najua tu kuwa kasema kuna kioo huko juu kinagombaniwa kuvunjwa.Hicho kioo thickness yake ni ngapi, kimetengenezwa na material gani?
Kwahiyo rocket zinaruka kutoka duniani kwenda nje ya dunia huwa zinalipuka zikigonga hicho kioo?
Sent using Cash Money Wings
Ukipita kwe mzinga au maua halafu ukapita jalalani utanielewa bro.Mkuu mimi hilo jina lako tu. Nimejikuta nacheka mwenyewe bila kutekenywa eti "nzi ni nyuki mjinga" kweli kabisa sijui uliwaza nini!!!
Which GravityPractically! The value of g inatofautiana sehem moja na sehemu nyingine kama ilivyo hapo juu kwenye picha yako. Nasema practically sababu nilishawahi tumia gravity survey kwenye exploration.
- If gravity doesnt exist kwanini its possible kutumia gravity measurements kufanya exploration??
- Kama dunia ni meza can u explain the g (or watever name u call it kwenye flat earth) variations kwenye gravimeter katika sehem tofauti?
Sent using Jamii Forums mobile app