Na kwa mjibu wa mleta uzi, dunia ni flat halafu HAIZUNGUKI[emoji38],Ndugu yangu according to ww ni kwamba dunia yako ya flat ni kubwa kuliko jua Ndó maana mwanga haufik kote sasa hicho cha kwanza sijui ni nini maana naona vimpira vinakimbizana tu.
Pili lunar eclipse ninavyojua mm ni dunia inakuwa katikati ya mwez na jua. Sasa hii inatokeaje?? kumbuka dunia yako ni flat.
Ningependa majibu sio picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuambia its an interaction of the sun with shadows of other celestial bodies it might be other suns or moons on an earth land extension like mars is the sun of the next land after antarctic and venus is a moon.Ndo kinatokea kip, kupatwa kwa mwez au kw jua? (Lunar eclipse or solar eclipse??)
ARUSHA KWETU
Mkuu, kwa uelewa wangu big bang bado ni theory haijawahi kuwa proved. Hivyo sina ubavu wa kukubaliana au kutokubaliana nayo!
Mkuu inaonekana ww angalau umemuelewa kiasi, naomba unisaidie, amesema hiyo minara mirefu imesimikwa maeneeo gan??[emoji1787]Mkuu hawa Jamaa wanajichanganya mwanzoni mwa hii thread wanasema, Dunia haizunguki eti ukiangalia angani utaona nyota zile zile kitu ambacho sio sahihi.Mkuu ukiangalia angani usiku nyota ya Orion inaonekana kuanzia mwezi wa 11 mpaka mwezi wa 4 mwaka unaofuatia! mwezi wa 5 mpaka wa 10 hautoweza kuiona tena hiyo nyota! Hilo nalo hawajaweza kutuelewesha vizuri! Bado wanasema hakuna Satellite iliyoko huko juu bali ni Minara mirefu tu. Mtu ukifikira Urusi walivyo ilalamikia Marekani baada ya Trump kutangaza kuanzisha kikosi cha 6 cha US Space Army! kwa mujibu wa hawa Jamaa Urusi ililalamika Marekani kujenga minara mirefu kwenye aridhi yake binafsi!
Hivi unadhani umenijibu swali langu?unataka ujue bottom kuna nini because you have been indoctrinated to believe that there is such thing as space. which does not exist. On top of this earth there is a firmament which is unpenetrable NASA and their fellow CGI creator call it Van Allen belt....na wanakiri kuwa they dont have technology to go through it. Which raises a question if the moon is above that belt. Technolojia ya kucross van allen belt waliitoa wapi mwaka 1969 na leo wanadai hawana hiyo technologia ya kwenda mwezini.
Mind you in the 1960 computer memery was 240kb...the biggest. Today with millions of terabytes wanadai hawana technology....does it make sense??
Hilo swali la 3 ukipata jibu naomba nitag mkuu.Wanasayansi naomba mnisaidie majibu yafuatayo kwa kuzingatia dunia ni tufe kama tulivyokaririahwa:
1. Kipi kinasababisha maji yajae au kupwa pande zote mbele yaani kusini na kaskazini au vinginevyo
2. Magellan kwenye ile safari yake alipita njia gani ambapo kuna maji matupu bilia ya kukutana na kisiwa maana inasemekana hakukata kona
3. Gravity ya jua ni kubwa kuliko ya sayari yeyote ile, kwa nini wanaotoka nje ya gravity ya dunia wasivutwe na gravity ya jua
4. Gravity ndio weakest force lakini kwanini tunaona effects za gravity na sio earth magnetic fields ambayo ni stong?
4.speed ya dunia hasa rotation ni kubwa kuliko ya basi, lakini effect yake ni ndogo maana nyota tungekuwa tunazipita kwa kasi ya ajabu kuliko ilivyo
Sitaki kuamini kama hadi sasa hivi unatumia hizi picha kuthibitisha dunia ni flat.BADO TUNAEDIT TU PICHA
View attachment 1338500View attachment 1338501View attachment 1338502View attachment 1338503
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu REALITY, ni dunia tu iliyo flat au Ni sayari zote na vyote vilivyo angani??WASHINGTON DC INA DOME NA POLE JUU YAKE ,HALAFU JENGO LIMEPAKWA RANGI NYEUPE ,UKIANGALIA CHINI KUNA FLAT CIRCLE YENYE LINES .
NI HIVI WAMERAKANI WANAJUA VERY OPENLY KWAMBA DUNIA NI FLAT ROUND WITH A DOME ON IT AMBAYO INA NORTH POLE AT THE CENTER INAYOFANYA POLARIZATION .WANAJUA DUNIA IMEZUNGUKWA NA KUTA ZA BARAFU AMBAYO NI SOUTH POLE/ ANTARCTIC
WANAWAONYESHA KWA MAFUMBO HALISI .
BARUFU -WHITE-COLOUR OF WASHINGTON DC
DOMES FIRMAMENT- WASHIGHTON DOME
NORTH POLE - POLE (STATUE) ON TOP OF THE DOME
FLAT EARTH - FLAT ROUND CIRCLE INSIDE THE WASHINGTON DC .
NA HAYO NDO MAKAO MAKUU YA MAREKANI AMBALO NDO TAIFA LENYE NGUVU DUNIA NZIMA KWAKUWA WAMEKALIA DUNIA. View attachment 1338110View attachment 1338111View attachment 1338112View attachment 1338113View attachment 1338114View attachment 1338115View attachment 1338116View attachment 1338117View attachment 1338119View attachment 1338120View attachment 1338121
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mjumbe huko juu alisema huu ushahidi kwake hauna mashiko yaani ni balaa tupu.Swali rahisi:- kwanini meli ikiondoka bandarini kufanya safari, kadri inavyoenda umbali flani ndani ya bahari unaona kama inazama na kupotea kwenye upeo wa macho au darubini?
Hata ukipanda kwenye mnara mrefu utaiona ile pale then unaiona inazama tena.
Kama ni dunia ingekuwa flat tulitegemea kwamba hata meli ingeenda umbali gani ndani ya bahari kwa kutumia upeo wa macho au darubini ya kuangalia umbali mrefu tusingiona meli kama inazama chini.
Sent using Cash Money Wings
Sitaki kuamini kama hadi sasa hivi unatumia hizi picha kuthibitisha dunia ni flat.
Hahahah hilo awali la pili akikujibu nitag.Mkuu REALITY, ni dunia tu iliyo flat au Ni sayari zote na vyote vilivyo angani??
Pili, hizo picha na clips sijui GIF unazotuletea hapa zilipigwaje ikiwa hakuna satellite??
Halafu mkuu, kwani vile Vimondo vilivyodondoka vikafika duniani bila kuungua mfn kile cha mbeya VINA MAUMBO GANI, FLAT OR SPHERICAL??
ARUSHA KWETU
Mkuu inaonekana ww angalau umemuelewa kiasi, naomba unisaidie, amesema hiyo minara mirefu imesimikwa maeneeo gan??[emoji1787]
ARUSHA KWETU
Sitaki kuamini kama hadi sasa hivi unatumia hizi picha kuthibitisha dunia ni flat.
Hizi gif unazotuletea wewe zinazoonesha jua linaizunguka dunia umezitoa wapi?
Tunaomba structure ya dunia ambayo ni flat. Nataka 3D structure na siyo 2D.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni demonstration ya uhalisiaHizi gif unazotuletea wewe zinazoonesha jua linaizunguka dunia umezitoa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuletea picha ya white house kama ushahidi[emoji23][emoji23]. Usisumbuke hata.Nmemuambia aniletee 3D structure ya Dunia ambayo ni flat naona anarukaruka kama post zangu hazioni hivi.
Maana according to picha alizopost mwanzo basi dunia ni cylinder au cone. au umbo lolote ambalo juu ni duara.
Sent using Jamii Forums mobile app
You are not serious. Sasa kama haiwezekani kuchukua then wewe hizo picha unazotuletea ni structure ya kubuni.Haiwezekani kuchukua structure ya dunia maana ni center of the universe ,utakaa wapi labda aliyeumba jaribu kusali akuonyeshe
Sent using Jamii Forums mobile app