The World is a flat plane and not a globe

Mkuu hawa Jamaa wanajichanganya mwanzoni mwa hii thread wanasema, Dunia haizunguki eti ukiangalia angani utaona nyota zile zile kitu ambacho sio sahihi.Mkuu ukiangalia angani usiku nyota ya Orion inaonekana kuanzia mwezi wa 11 mpaka mwezi wa 4 mwaka unaofuatia! mwezi wa 5 mpaka wa 10 hautoweza kuiona tena hiyo nyota! Hilo nalo hawajaweza kutuelewesha vizuri! Bado wanasema hakuna Satellite iliyoko huko juu bali ni Minara mirefu tu. Mtu ukifikira Urusi walivyo ilalamikia Marekani baada ya Trump kutangaza kuanzisha kikosi cha 6 cha US Space Army! kwa mujibu wa hawa Jamaa Urusi ililalamika Marekani kujenga minara mirefu kwenye aridhi yake binafsi!
 
Yaani mnaobishana hamna chochote,
Wazungu wanabishana kwa vitendo, nyinyi mnabishana kwa maneno tu,,,, wenzenu wanatengeneza maroboti nyinyi mnatengeneza chuma ulete na majini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mnaobishana hamna chochote,
Wazungu wanabishana kwa vitendo, nyinyi mnabishana kwa maneno tu,,,, wenzenu wanatengeneza maroboti nyinyi mnatengeneza chuma ulete na majini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata Sisi tunaweza bishana kwa vitendo! Ombi langu kwako Utuandalie sehemu nzuri ya kukusanyika ili tuoneshe vitendo na Utusaidie Kanauli ka kuja na kurudi Mikoani kwetu!
 
Najaribu kuweka vitu wazi na uhalisia ulivyo ,na kila muda nawaambia hata mimi nimesoma kama wao mpaka chuo ila kujikomboa kifikra ni jambo lingine
Big up too mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok


Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kitu ambacho hujaelewa ni kuwa jua liko umbali mrefu na dunia



It's Scars
 
WASHINGTON DC INA DOME NA POLE JUU YAKE ,HALAFU JENGO LIMEPAKWA RANGI NYEUPE ,UKIANGALIA CHINI KUNA FLAT CIRCLE YENYE LINES .

NI HIVI WAMERAKANI WANAJUA VERY OPENLY KWAMBA DUNIA NI FLAT ROUND WITH A DOME ON IT AMBAYO INA NORTH POLE AT THE CENTER INAYOFANYA POLARIZATION .WANAJUA DUNIA IMEZUNGUKWA NA KUTA ZA BARAFU AMBAYO NI SOUTH POLE/ ANTARCTIC
WANAWAONYESHA KWA MAFUMBO HALISI .


BARUFU -WHITE-COLOUR OF WASHINGTON DC

DOMES FIRMAMENT- WASHIGHTON DOME

NORTH POLE - POLE (STATUE) ON TOP OF THE DOME

FLAT EARTH - FLAT ROUND CIRCLE INSIDE THE WASHINGTON DC .

NA HAYO NDO MAKAO MAKUU YA MAREKANI AMBALO NDO TAIFA LENYE NGUVU DUNIA NZIMA KWAKUWA WAMEKALIA DUNIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
well out,,, Will you explain well,,1: the Ship visibility ,
2;why We see the 🌍 shadow is spherical in shape during lunar eclipse ,
And also show us an aerial photograph of the 🌍 that shows that 🌍 is flat as you say
 
Go through the thread read replied
well out,,, Will you explain well,,1: the Ship visibility ,
2;why We see the [emoji288] shadow is spherical in shape during lunar eclipse ,
And also show us an aerial photograph of the [emoji288] that shows that [emoji288] is flat as you say

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umesoma hujaelimika mkuu

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Also walio sema hivo ni wa2 wenye akili kutokea Duniani,,,,, Sio Christopher Columbus ,George Washington si ma boya 2
,,,😂😂 dunia Ni tambalale? Wakapige aerial photograph na satellite zao tuone
 
No satellites in the world rather than under sea network cables and long range towers ,an earth has a dome we are locked inside ,find a pilot he will give you a perfect explanation and ask him is the world flat or spherical as you see when you are in a cockpit cabin and what device do you use as a lead while flying a plane? has it have anything to do with curves or just plane as air"PLANES" themself?.
Also walio sema hivo ni wa2 wenye akili kutokea Duniani,,,,, Sio Christopher Columbus ,George Washington si ma boya 2
,,,[emoji23][emoji23] dunia Ni tambalale? Wakapige aerial photograph na satellite zao tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The earth is the dome we're locked in,,, is it? Do That dome made of air or soil?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…