The World is a flat plane and not a globe

Kama dunia ingekuwa flat kama unavyodai basi watu wote duniani tungeliona Jua kwa mara moja na kusingekuwa na kupishana kwa muda kati ya eneo na eneo.
 
Kama dunia ingekuwa flat kama unavyodai basi watu wote duniani tungeliona Jua kwa mara moja na kusingekuwa na kupishana kwa muda kati ya eneo na eneo.
Jua ni dogo kama tochi linalimulika lidunia likubwa ndo maana mwanga haufiki sehemu nyingine sawia
 
NASA MUST DIE HIZO HELA WASAIDIE NCHI ZA VITA NA WAACHE UTOTO

Angalie movement ya rocket wanyooshe juu waone balaa lake hatoki mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamfananisha bacteria na mwadamu what kind of logic is this?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jua ni dogo kama tochi linalimulika lidunia likubwa ndo maana mwanga haufiki sehemu nyingine sawia
Duh! Mkuu mbona unaandika vitu vya kubuni yaani jua unasema ni dogo kama tochi?
Kipenyo (diameter) cha Jua ni 1,391,000 km na kipenyo cha dunia ni 12,742 km hivyo kipenyo cha Jua ni mara 109 zaidi ya kipenyo cha dunia vipi Jua liwe dogo kuliko dunia?

Kwa ukubwa huo wa jua ina maana Kama dunia ingekuwa sio duara (flat) Kama mnavyodai basi watu wote duniani tungeliona Jua kwa mara moja kusingekuwa na kupishana muda.
 
Embu uliza mambo ya msingi ,orbit ni nadharia na uwongo juu yake

Sent using Jamii Forums mobile app

We unadhan nan apaswa kusema ni uongo kati ya alietoka nje ya dunia akaja na hio prove ama mpuuzi mmoja wa jamii forum ? And ofcourse yes ni nadharia sio something we can see. Same as we can't see air but doesn't it qualify kuitwa nadharia because we don't see it?
 
Dunia imekingwa huwezi toka jesus!kuelekea juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuzo ni kwa ajili ya mshindi katika kishindanio. Hata mshindi katika kutojua kusoma naye tuzo yake ni sawa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kipenyo ni moja ya propaganda ulizolishwa shuleni
 
Kwasababu an earth is unmovable it is fixed ,dah hawa jamaa wameharibu kizazi totally.

Embu niambie asili yako?yani asili ya binadamu kwa upande wako
Tatizo LA huju jamaaa theory zake zote anawaza umeme tu ndo maana theory zake zilikuja kuonekana ni uongo, so na wewe umekubaliana na earth sio object

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…