It will never happen maana dunia sio mpira ,hivi mnakaaje kwenye mpira.so why ukiizunguka dunia eg from Tanzania in a straight line you will be ended at Tanzania
Wa kwanza ndio bora zaidi yule anae hoji.Ni yupi bora yule ambaye anaijua sayansi kwa kuisoma shule,kuihoji kugundua utofauti au yule ambaye naye kaisoma shule halafu kawa mtumwa na kupe,maana naona mmoja katekwa,anakarariri,ubongo mzito na mwingine skeptical na ubongo mwepesi wa kudadavua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha .Thermodynamist walipitiwa nini? Baada ya first law na second law ndio wakashitukia kumbe kabla hizi mbili ipo hii fundamental zaidi- isiwe tabu hii ni zeroth law 😂Na tumefikia huku kwamba zeroth thermodynamic law ni ya uongo [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na tatizo ni pale mtu anapobishia kitu chenye proof and evidence na huku anachokiamini yeye ni conspiracy and myth huku akiamini ndio ukweli.
Utakesha hadi pakuche na hatakaa akuelewe.
Usahihi wangu huenda huko kwenye huenda yako[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Naona umeanza kuwa mvivu kufikiri, unaleta habari za "Kama A ni B na C ni A basi B ni C"
Onyesha usahihi wako uko wapi.
Architect umekuwa indoctrinated mpaka umesahau fahamu zako pole sana View attachment 1334567
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28]Huko bado hatujafikia, labda kama ulimquote mwingine ila ukitaka kufika tutafika mpaka kwenye Entropy (Second law of Thermodaynamics ) kwahiyo liishe hili kwanza.
Anakwambia anataka kwenda Kariakoo Dar.Na tatizo ni pale mtu anapobishia kitu chenye proof and evidence na huku anachokiamini yeye ni conspiracy and myth huku akiamini ndio ukweli.
Utakesha hadi pakuche na hatakaa akuelewe.
Hey Zurri my understanding level is beyond yoursTukiws tunajadili mambo ya kielimu unatakiwa uwe makini na usilete uongo wa kitoto, jana tu ulikuwa unajifaragua kwa kugundua njia ya kumtibu mtu aliye paralaizi, au kama ulivyosema na unajinasibu na sayansi na kuwa umesoma.
Tukiamua kufanya kazi tufanye kazi hui utoto wa kusema darasa la saba, wakati kila siku unajifaragua na usecular wako unatakiwa uache, aidha utupuuze au uwe mkweli.
.Na tatizo ni pale mtu anapobishia kitu chenye proof and evidence na huku anachokiamini yeye ni conspiracy and myth huku akiamini ndio ukweli.
Utakesha hadi pakuche na hatakaa akuelewe.
.Anakwambia anataka kwenda Kariakoo Dar.
Yuko Africana Mbezi Beach. Halafu anaelekea Bagamoyo, Kaskazini.
Ukimuelewesha anakoelekea siko, anakwambia hakuna kaskazini.
Kaskazini kumetungwa na watu ili kuficha shortcut ya kufika Kariakoo Dar es salaam kutoka Mbezi Beach Africana kwa kupitia Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Inabidi uone anatania, uachane naye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay umeuliza kwanini dunia ikizunguka hatuisikii.Mpaka najiuliza kwanini watu nyinyi mnafanana na kukimbilia kichaka cha "Hujui mara nikianza kukuelezea huwezi kuelewa". Hili nililiona kwa mdau mmoja anae jiita "Baba Swalehe" bibie wewe Elezea tu nina uhakika kama uko vizuri juu ya hicho unachotaka kukielezea lazima nitakielewa tu na ndio utakuwa umenifundisha kama kwelinikiwa sikijui.
Jambo lingine ni kuwa "Physics" kama somo nimelisoma kwahiyo harakati zake na vurugu zake na changamoto zake nazielewa bali naishi katika somo hilo kama msingi wa ninacho kifanya.
Kwahiyo bibie, eleza tu na unijuze.
Reality, soma ndugu.Unachosema wewe sasa kiwe vice Verser,dunia yenu ni conspiracy ndo maana hata einsten aliwaumbua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndio proof?
Nilichogundua Elimu ya Dini inamdumaza akili. Hataki kufikiria nje ya vitabu vya dini kabisa. Ndio maana unaona haiamini Science kabisa.Na anajiita msomi aliyemo humo [emoji3526][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Msomi mwenye mihimili iliyojichimbia ndani
. Wtf [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Panda gari funga macho iwe speed kwenye highway halafu taratibu inakata kona taratibu kama you dont feel that movement of turn utakuwa mnafki like..........Okay umeuliza kwanini dunia ikizunguka hatuisikii.
Jibu ni kwamba dunia ina-rotate too slowly of which ni rate mdogo sana ya rotation that would be very hard to notice, hivyo you can't feel motion in any way.
Kitu ambacho utakisikia ni acceleration and the Earth isn't accelerating.
Dunia inapozunguka kila kitu kilichokuzunguka kinazunguka at the same speed. Tofauti na ukiwa kwenye gari unalisikia gari linaenda kwa sababu unaona miti inaanza 'kurudi' nyuma lakini kama ingekuwa inahama na wewe pia usingesikia motion kabisa zaidi ya acceleration kutokana na barabara.
Una feel speed ya kitu pale ambapo unaona tofauti kati ya ya speed of two interacting objects.
Tukija kwenye a psysological point of view, wewe una uhakika gani kwamba hauisikii ikizunguka? Kumbuka umezaliwa ukaikuta kwenye hali iliyopo na tangu kuzaliwa umeizoea hii hali hivyo ni ngumu ku notice kabisa.
Kama unaamini dunia inazunguka basi wewe utakuwa ni juha.
Tena wazungu wanakwambia inazunguka 10,000km/h.
Ni mwehu tu ndo wakuamini haya mambo kama aliyeamini binadamu wa kwanza kaishi miaka milion 3.
Sent using Jamii Forums mobile app