Naona umeanza kuwa mvivu kufikiri, unaleta habari za "Kama A ni B na C ni A basi B ni C""Huenda aliye anzisha flat earth alikua mwehu"[emoji1][emoji1]
Kama statement yako ni sahihi basi na yangu hii ni sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi napenda sana anayetumia ubongo wake kufikiri na sio kukariri thumb up zurriHilo nalijua, na mimi sio kwamba kila Sayansi naikataa, ila huwa nina mashaka sana na Sayansi ya ANGA.
Naishi humo, kwahiyo yapo ya kweli na yenye tija, ila yapo ngano na visasili, kama unavyosema.
Kitu kitakuwaje katika mwendo na usihisi mwendo kwa kuangalia nje ya kitu hicho ? Hiyo speed kali kwayo usihisi chochote waliipima vipi ? Hata kwa vitu vikubwa tusione harakati zozote ?
Hawa watu wengine si wajinga wa kawaida tu.Nilitaka nikujibu from a physics point of view and psychological point of view.
Ila nilivoona hii username yako nikaacha kwa sababu haujui, na hautaki kujua kwa sababu unaamini ulichonacho kichwani ndicho kilicho sahihi.
Sawa, jua linazunguka dunia.
Na tumefikia huku kwamba zeroth thermodynamic law ni ya uongo [emoji28]Naona umeanza kuwa mvivu kufikiri, unaleta habari za "Kama A ni B na C ni A basi B ni C"
Onyesha usahihi wako uko wapi.
Its gud to argue ila ni kichaa pekee awezaye kuargue bila proof. Hiv unajua hapo hujajibu swali langu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka najiuliza kwanini watu nyinyi mnafanana na kukimbilia kichaka cha "Hujui mara nikianza kukuelezea huwezi kuelewa". Hili nililiona kwa mdau mmoja anae jiita "Baba Swalehe" bibie wewe Elezea tu nina uhakika kama uko vizuri juu ya hicho unachotaka kukielezea lazima nitakielewa tu na ndio utakuwa umenifundisha kama kwelinikiwa sikijui.Nilitaka nikujibu from a physics point of view and psychological point of view.
Ila nilivoona hii username yako nikaacha kwa sababu haujui, na hautaki kujua kwa sababu unaamini ulichonacho kichwani ndicho kilicho sahihi.
Na anajiita msomi aliyemo humo [emoji3526][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Nilitaka nikujibu from a physics point of view and psychological point of view.
Ila nilivoona hii username yako nikaacha kwa sababu haujui, na hautaki kujua kwa sababu unaamini ulichonacho kichwani ndicho kilicho sahihi.
Wakana Mungu na mfano huwa nawauliza swali "Hivi sisi tumetokana pasi na chochote au sisi ndio tumejiumba". Hapa huwa wanapoteana.
[emoji28][emoji28][emoji28]Mpaka najiuliza kwanini watu nyinyi mnafanana na kukimbilia kichaka cha "Hujui mara nikianza kukuelezea huwezi kuelewa". Hili nililiona kwa mdau mmoja anae jiita "Baba Swalehe" bibie wewe Elezea tu nina uhakika kama uko vizuri juu ya hicho unachotaka kukielezea lazima nitakielewa tu na ndio utakuwa umenifundisha kama kwelinikiwa sikijui.
Jambo lingine ni kuwa "Physics" kama somo nimelisoma kwahiyo harakati zake na vurugu zake na changamoto zake nazielewa bali naishi katika somo hilo kama msingi wa ninacho kifanya.
Kwahiyo bibie, eleza tu na unijuze.
Huko bado hatujafikia, labda kama ulimquote mwingine ila ukitaka kufika tutafika mpaka kwenye Entropy (Second law of Thermodaynamics ) kwahiyo liishe hili kwanza.Na tumefikia huku kwamba zeroth thermodynamic law ni ya uongo [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
.Watathibitishaje kwamba wewe ni nyani,watathibitishaje big bang,watathibitishaje evolution,lazima wafanye mpango kuwa dunia ni sayari inayoelea ambayo imetokana na mlipuko na ukichaa mwingine huku wakijua si kweli na hata nembo ya umoja wa mataifa ni flat earth not spherical
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ukiwauliza je una amini juu ya big bang au unaijua big bang ?
so why ukiizunguka dunia eg from Tanzania in a straight line you will be ended at TanzaniaKuwa sisi ni immortals na tupo duniani kwa sababu fulani na hatukupaswa tuishi tunavyoishi sasa kwasababu tunauwezo mkubwa kuliko teknologia .
Ukweli kuwa hatukotokana na nyani,kuna bara katikati ya dunia,maana ya kifo,baada ya kifo,upendo,dunia tulivu ,kuishi na wanyama pamoja,hali ya hewa na mengi ........
INSHORT DUNIA INAELEKEA KWENYE SINKING ZONE NA HUMANS WATALOOSE HUMANITY WATAKUWA VIRTUALLY ORIENTED NA MACHINES YANI ARTIFICIAL INTELLIGENCE ITA TAKE PLACE NA HAPO NDIPO TUTAKUWA TUMEPOTEZA UHALISIA NA UZAO WETU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiws tunajadili mambo ya kielimu unatakiwa uwe makini na usilete uongo wa kitoto, jana tu ulikuwa unajifaragua kwa kugundua njia ya kumtibu mtu aliye paralaizi, au kama ulivyosema na unajinasibu na sayansi na kuwa umesoma.[emoji28][emoji28][emoji28]
Elimu yangu darasa la saba mkuu
Tupe shule hio kijana
Sent using Jamii Forums mobile app
Na tatizo ni pale mtu anapobishia kitu chenye proof and evidence na huku anachokiamini yeye ni conspiracy and myth huku akiamini ndio ukweli.Hawa watu wengine si wajinga wa kawaida tu.
Ni wajinga wabishi.
Mjinga wa kawaida unaweza kumuelewesha akaelewa.
Mjinga mbishi ni shughuli nyingine tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ukiwauliza je una amini juu ya big bang au unaijua big bang ?
Watu wamepewa akili ila wanatumia akili za wengine kwa ule ulio tungwa na watu wao, basi wanapotea wao na wanawapoteza wenzi wao.
Laiti kama tungekuwa tuna hoji au kufikiria mambo kiundani, wajinga wangepungua sana. Ila sasa kwa kujinadi watu hao ni balaa na kutaja taja majina tu.