The World is a flat plane and not a globe

Wale ni wakubwa zetu katika elimu ya dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaa, na wamepatia katika kuelezea aya husika juu ya hili.

Rejea aya ya 33 katika surat al Anbiyaa, na Imaam Ibn Baz akamalizia katika kusema hivi"Na kujua ya kuwa dunia ni duara au sio duara si katika jambo la kutiliwa maanani, sababu ni jambo dogo sana" au kama alivyosema Allah amrehemu.

Ila kuamini ya kuwa Dunia inatembea ni kufru, na kuamini jua halitembei ni kufru. Haya mambo matamu sana, hasa ukiwasoma wasomi hawa wakiwa wanayaelezea.
 
Mjinga ni yule ambaye anashindwa kudecipher meaning kwasababu anaweza kuanganisha dots ila anajitoa ufahamu kwa kutumia grammar

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni zaidi ya mjinga. Wewe ni mjinga mbishi.

Ndiyo maana mpaka sasa hujasahihisha mistake yako ya kuchanganya "stationery" na "stationary".

You are an illiterate imbecile.

A stubborn one at that.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]sasa kiranga moja si ya writing materials na ingine si ya stability ,mbona unakuwa na akili ndogo hivyo nijasahihishe ili iweje na naelewa nilikuambia it was an error duh.
Wewe ni zaidi ya mjinga. Wewe ni mjinga mbishi.

Ndiyo maana mpaka sasa hujasahihisha mistake yako ya kuchanganya "stationery" na "stationary".

You are an illiterate imbecile.

A stubborn one at that.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Majibu yako yanatakiwa yapewe priority na sio kupuuzwa

Sasa kama sio kweli hatukutokana na nyani je tulitokana na nini?

It's Scars
 
Zurri

Wanasayansi wapo wa aina mbili wanaotumia mfumo wa upotoshaji na ambao wapo relatively na uhalisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nalijua, na mimi sio kwamba kila Sayansi naikataa, ila huwa nina mashaka sana na Sayansi ya ANGA.

Naishi humo, kwahiyo yapo ya kweli na yenye tija, ila yapo ngano na visasili, kama unavyosema.
 
Ukweli kuwa hatukotokana na nyani,kuna bara katikati ya dunia,maana ya kifo,baada ya kifo,upendo,dunia tulivu ,kuishi na wanyama pamoja,hali ya hewa na mengi ........

Hapa sijakuelewa, naomba ufafanuzi kidogo.
 
Mjinga

Mbishi [emoji23][emoji23][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1659][emoji1659][emoji1659][emoji1659][emoji1659]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NEIL ARMSTRONG hakukanyaga mwezini ila ni fabricated movie za area 51
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…