Stationery?
For real?
You need to work on your spelling first before scaling higher heights.
Sent using Jamii Forums mobile app
A line is an infinitely large circle. A flat surface is the limit of sphere as radius tends to infinity - ukubwa wa radius ya dunia ndio inapelekea flat earthers kuhisi dunia umbo la chapati.Its just an illusion. Ukweli pale pale dunia mviringo wa chungwa.
Ndio maana nilikuambia kama hutojali unielezee hii inakuwaje. Picha tuu au GIF haitoshi bila maelezo.
NieleweshWe zaidi kuhusu hizo kingo za barafu.Kingo za dunia ni kuta za barafu ukizivuka kuna ardhi inaendelea yani you are getting out of the boundaries of the earth.
Sent using Jamii Forums mobile app
This can never be true.. time zone imekatiza tangu north moaka south ya dunia.. kwa namna hichi kudubuwasha kinavyozunguka hapa, kinaonekana kama ni muda wa mchana utaanzia north mpaka somewhere karibu na equator. Kitu ambacho sio kweliH
Katika katika hii picha nimepata swali.
Kama ni kweli kuwa mapambazuko huanzia mashariki na kuishia magharibi,endapo dunia ni duara tambarare,huo mwanga hapo unarudije kuanzia mashariki ukishafika magharibi siku inayofuata?
Nataka kueleweshwa.
Sas
Sasa kama hamna flight eastwards from autrallia to U.S, ina maana ukipita westwards si lazma kuwe na stop over kwasababu ya huo umbali????.. ingekua vipi hoax????
Yani ni ardhi tambarare ambayo ni duara lakina sio mpiraView attachment 1335117
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujui hata madogo ya tofauti ya "stationery" na "stationary" halafu unataka tujadiliane makubwa zaidi?Sibadilishi stationery unmovable mobile movable hizo heights zitafute tu mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anytime.Mambo ndio huenda namna hii, hapa umeeleweka vizuri mkuu..
Thanks
Gravitational pull towards centre of gravity of the earth. Ndio maana mfano jiwe haliwezi kuelea hewani kutokana na mvuto wa gravity.
Sasa wakitakua wametua wapi abiria woootee ndani ya ndege wasijuile... ivi are you really serious??? Ujue kabisa flight path kutoka dar kwenda zanzibar ni hiii alafu mkatue kigoma huko kurefuel watu wasiquestion?? Na bado useme ni hoax hakuna flight inayotoka dar kwenda zanziba???Yes kama sio direct flight lazima itue warefuel ndo iendelee na safari
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo JUA ndio LINAIZUNGUKA dunia chief?
Du! Hilo swali lako? Nami Ni kuulize hivi mbele ya Bara la amerika kuna Nini?Kwani unavyosafiri kwenye treni unapanda mlima au unashuka bondeni au unasafiri juu chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki yangu kwenye hii mijadala huwa anaishia kusema "why don't flat earth people just fly around the Earth to prove whether it's flat or not".Sasa wakuu nyie mmesoma hizo nadharia, full of conspirancy bila kufanya uchunguzi wenu binafsi[emoji2][emoji2].Kina Armstrong wameenda nje ya dunia wameipiga picha,sattelite zinaenda juu zinapiga picha kitunkinatoka cha duara, nyie mnataka kutufundisha nini sasa?[emoji2][emoji2][emoji2]. Watu wa meditation wamegonga meditation zao wanaona ni ya mfano wa mviringo pia, kina Gallilei Gallileo mpaka wakahukumiwa kifo kwa sababu ya kusema ukweli ngoma ni ya mfano wa duara!!Sasa wafiche tukijua kuwa iko kama meza watapoteza nini?
Ndio maana nilikuambia kama hutojali unielezee hii inakuwaje. Picha tuu au GIF haitoshi bila maelezo.
Ndio nimeona hii, jee hauna maelezo yoyote juu ya hii?.
NieleweshWe zaidi kuhusu hizo kingo za barafu.
Kama nakumbuka vizuri hii siri ya hizi kingo inaratibiwa zaidi antarctic pole na hao elites. Kama kweli dunia ni round and flat,kwanini kingo zisiwepo kuizunguka hiyo sahani kote na wanadhibiti ncha ya antarctic peke yake? kUna utofauti gani na barafu za pande nyingine za hii sahani ya dunia?
Gravitational pull towards centre of gravity of the earth. Ndio maana mfano jiwe haliwezi kuelea hewani kutokana na mvuto wa gravity.
Wewe hujui hata madogo ya tofauti ya "stationery" na "stationary" halafu unataka tujadiliane makubwa zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ni Duara na haizunguki jua.
Tuko pamoja.Sawa mkuu nafahamu ni duara picha hapo juu zinaonesha ila nilikuwa natumia neno flat kutofautisha na spherical tupo pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app