Yani dunia ni kama nusu chungwa halafu zungushia nusu ya bubble juu yake,mfano hivyo.sisi tupo katikati huu ni kama mfano sasa nje ya dome yani nusu ya juu ndo kuna anga za mbingu,jua na mwezi vipo ndani ya nusu ya juu na zina umbo sawaHii statement mkuu in ukakasi sana... hata mtu wa darasa la tatu B atahoji sana... naomba jazia nyama nyama tukuelewe vizuri.
Si kwamba wamewazuia Bali eneo lilitangazwa kuwa ni mali ya dunia nzima hakuna nchi ya kujimilikisha Bali mataifa yote yalitumie kwa ajili ya tafitiHii mimi huwa najiuliza sana na kutafuta kwenye mitandao lakini sababu zao sikuziona ni zenye mantiki. Kwa sababu ipi wanazuia watu kwenda Antarctica?
You have strong points mkuu.
Mimi mpaka leo napata kigugumizi kusema dunia ni duara.
Ila kwenye density nimekuelewa sana mkuu.
Wanasema gravity kumbe ni kesi ya density tu.
Hahaha huu uzi mtamu haswa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji2960][emoji2960]You have strong points mkuu.
Mimi mpaka leo napata kigugumizi kusema dunia ni duara.
Ila kwenye density nimekuelewa sana mkuu.
Wanasema gravity kumbe ni kesi ya density tu.
Hahaha huu uzi mtamu haswa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji28]Just google.. flight path from australlia to USA.... mbona unakua mjinga? Elimika basii.... your are better than that.. kila siku izo flights zipo...
Kama dunia haizunguki tunapata wapi tofauti za masaa?Kama unaamini dunia inazunguka basi wewe utakuwa ni juha.
Tena wazungu wanakwambia inazunguka 10,000km/h.
Ni mwehu tu ndo wakuamini haya mambo kama aliyeamini binadamu wa kwanza kaishi miaka milion 3.
Sent using Jamii Forums mobile app
Just google.. flight path from australlia to USA.... mbona unakua mjinga? Elimika basii.... your are better than that.. kila siku izo flights zipo...
View attachment OneHundredProofsThattheEarthIsNotaGlobe_10851819.pdfREALITY, Yawezekana mimi ni kipofu ila would you mind showing me those proofs? Hapa naona picha mbili tuu, Au kama ni hizo naomba udadafue zaidi.
I don't believe in any kind of flat earth conspiracy. I am convinced 100% that it's nonsensical to believe in flat earth.
Kwani unavyosafiri kwenye treni unapanda mlima au unashuka bondeni au unasafiri juu chini.Je huu ndo ushahidi wa kwamba dunia ni tambalale?
Stationery?
Katika katika hii picha nimepata swali.Yani ni ardhi tambarare ambayo ni duara lakina sio mpiraView attachment 1335117
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama dunia haizunguki tunapata wapi tofauti za masaa?
Na sehemu nyingine unakuta ni asubuhi pengine usiku?. Ni nini kinasababisha?
H
Katika katika hii picha nimepata swali.
Kama ni kweli kuwa mapambazuko huanzia mashariki na kuishia magharibi,endapo dunia ni duara tambarare,huo mwanga hapo unarudije kuanzia mashariki ukishafika magharibi siku inayofuata?
Nataka kueleweshwa.
Kama nia ni kueleweshana na si kujibizana tu, kuuliza swali katika kujibu swali kunaweza kusaidia kuelewesha kuliko kujibu swali kwa jibu. Kunaweza kumfanya mtu apate jibu mwenyewe kwa kufikiri bila kupewa jibu na mtu mwingine, au, kunaweza kumshirikisha vizuri zaidi mtu katika kufikia jibu, na hata akipewa jibu baadaye, anakuwa ameshiriki katika mchakato wa kufikia jibu hilo.
Sasa kama hamna flight eastwards from autrallia to U.S, ina maana ukipita westwards si lazma kuwe na stop over kwasababu ya huo umbali????.. ingekua vipi hoax????Its hoax lazima waseme hivyo ili ujue ni spherical its all a planned thing kwasababu ukiwa angani hutaweza kuprove.
Sent using Jamii Forums mobile app