Dusabimana
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 278
- 248
kuna swali ambalo halijawahi jibiwa na flat disc Earthers! Eti ni kwanini Watu watatu wakisimama sehemu za karibu na Antarctic 1.asimame Chile 2.asimame Australia na wa 3 asimame South Africa! Je ni kwanini wote wakitazama juu angani wataona kundi la nyota aina moja,ikiwa Antarctic ndiyo ukingoni mwa Dunia kama ilivyo kwenye picha zenu za flat disc Earth zinazo onesha Kila Nchi imekaa mbali na nyingine ila zote zikikaribiana na ukingo wa Antarctic Kila moja kwa upande ilipo?!Wanajua kila kitu ,wanachokifanya ni watu wasijue kwa uwongo wao ili kumfuta MUNGU kwenye vichwa vya watu ,maana watu wakijua uwepo wa dome wataamini maandiko na uumbaji na sio tumetokea kwa nyani na mlipuko usio na chanzo,zote hizi ni njama za shetani kupeleka watu motoni pamoja na yeye PERIOD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko pamoja katika hii. Watu tumedanganywa sana, lakini pia limeendelea sababu watu hawataki kuhoji, na kuusema huu UKWELI.
Wanasayansi wanaongozwa na dhana tu. Wanafikir hii Dunia haina mwenyewe nini au mambo yanatokea tu ?Nimesikia kuna kimondo kinaikaribia dunia
Swali ile gravity inakuwa wapi mpk hiko kimondo kinakaribia kuigonga dunia??
Je hiyo GT sio powerfull kihivyo iweze kuzuia mwezi maji ya bahari izuie sisi tusipae kutoka kwa uso wa dunia then ikiache kimondo kuifikia dunia?
Sent using Jamii Forums mobile app
lita pita wanasema karibu ili kuzua mambo ni malion ya maili ila kama kikiianza kunusa na kusogea kwa kas kuja usawa wa dunia lazima liwake linakuwa kama moto jiwe due ya gravity wanavo dai waoNimesikia kuna kimondo kinaikaribia dunia
Swali ile gravity inakuwa wapi mpk hiko kimondo kinakaribia kuigonga dunia??
Je hiyo GT sio powerfull kihivyo iweze kuzuia mwezi maji ya bahari izuie sisi tusipae kutoka kwa uso wa dunia then ikiache kimondo kuifikia dunia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanasema linaweza kuigonga dunia.lita pita wanasema karibu ili kuzua mambo ni malion ya maili ila kama kikiianza kunusa na kusogea kwa kas kuja usawa wa dunia lazima liwake linakuwa kama moto jiwe due ya gravity wanavo dai wao
hakuna kimondo kinaweza ingia ndani ya dunia hata kikiingia kuja kutufikia ss labda vumbi tuMbona wanasema linaweza kuigonga dunia.
Kwa scenario za GT hiko kimondo hakitakiwi kabisa hata kuiaogelea dunia in short hakutakiwi kuwe na habari ya vimondo maana tuna ulinzi wa GT??
Au kuna wakati gravity haifanyi kazi ndo maana vinakuja kutusogelea?
Ndo maana nina wasiwasi sana na hii ishu ya gravity
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanasanyansi ndo wanasema habari za kugonga dunia kila siku. Sio mimihakuna kimondo kinaweza ingia ndani ya dunia hata kikiingia kuja kutufikia ss labda vumbi tu
DahSayansi iishie kwenye matibabu na kemikali tu, ila huu upande wa uumbaji na mambo ya ulimwengu huku naona kila siku wanaangukia mkenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie ukweli sema wamekunywa maji ya bendera ya NASA ya 1959 ambayo ni ya juzi tu .Sayansi iishie kwenye matibabu na kemikali tu, ila huu upande wa uumbaji na mambo ya ulimwengu huku naona kila siku wanaangukia mkenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure aisee, sayansi ya upande wa matibabu imenyooka sana na ukweli unawekwa wazi kama hakuna dawa watakuambia haipo sio kupepeza macho na kutafuta njia za kutaka kulazimisha majibu.. huu upande wa anga, uumbaji, sijui space una vitu vya kitoto sana kama hii big bang theory sijui wametoa wapi ujasiri hata wa kuisema mbele za watuWaambie ukweli sema wamekunywa maji ya bendera ya NASA ya 1959 ambayo ni ya juzi tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya mapadre na copernicus hiyo huko italySure aisee, sayansi ya upande wa matibabu imenyooka sana na ukweli unawekwa wazi kama hakuna dawa watakuambia haipo sio kupepeza macho na kutafuta njia za kutaka kulazimisha majibu.. huu upande wa anga, uumbaji, sijui space una vitu vya kitoto sana kama hii big bang theory sijui wametoa wapi ujasiri hata wa kuisema mbele za watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuamini unayoamini mkuu siwezi kukubadilisha wala mimi huwezi kunibadilisha let's agree to disagree
kigoma kivip?kwakuongezea tuu, masaa ni uongo ila majira ni ukweli yaani kimajira Jua linachomoza Asubuhi na kuzama Jioni ila kimasaa lolote laweza tokea usishangae kuambiwa jua linazama usiku. Ref Kigoma.
Sent using Jamii Forums mobile app