The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Exactly hakuna mwanadamu anaweza enda sehemu tumefungiwa mkuu ,ukitaka jua ukweli waulize hao nasa wameenda lini na wakupe real footages na sio ma sci fiction images

Sent using Jamii Forums mobile app
sub qn. kwann tunachukua vipimo kutoka usawa wa bahari ?
nashangaaa wakristo nao hawaamin mandiko kuwa dunia ni flat
 
Unajua USA ilinunuliwa nafamilia 6.
Jay z sang"you know why Jews own Every property in america".
Fuatilia historia ya Putin from his father ambaye alikuwa committed luminat.
China Russia USA ni just karata watu wanazicheza.
Ndo maana kukawa na vita ya Kwanza.
See how wote wanavyochezeshwa gere na Laboratory virus.
Soon wakimchoka USA kwa dalili naona washamalizana nae wataushusha tu dollar then wanaweka new Order ambayo itafanana Sana na China inavyotawala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Americans think they are free but not at all
Wako chini ya debt bubble ambalo litalipuka any time soon
IMG_20200415_122017.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua USA ilinunuliwa nafamilia 6.
Jay z sang"you know why Jews own Every property in america".
Fuatilia historia ya Putin from his father ambaye alikuwa committed luminat.
China Russia USA ni just karata watu wanazicheza.
Ndo maana kukawa na vita ya Kwanza.
See how wote wanavyochezeshwa gere na Laboratory virus.
Soon wakimchoka USA kwa dalili naona washamalizana nae wataushusha tu dollar then wanaweka new Order ambayo itafanana Sana na China inavyotawala

Sent using Jamii Forums mobile app
ongeza sauti kidogo mkuu
 
Wote wanajuana siri ipo vatican st peters basillica underground kwenye kanisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachomaanisha pesa ni karatasi tu ambalo linamaanisha deni,wanaomiliki thamani ni ambao wana dhahabu na almasi

Tafuta video ya mike moleney.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atleast zamani dollar ilikuwa inaegemea mgongo wa dhahabu but now inategemea supply zaidi. Na ndo maana nchi yoyote inayotaka kuachana na dollar anaingia kuipiga sababu anajua wakiacha tu dollar inakuwa haina thamani.
Sadam alikuwa anataka kuacha kuuza mafuta yake kwa dollar
Gadafi alitaka kuwashawishi africans waachane kutumia dollar na waanze kutumia gold maana tunayo ya kutosha na itatupa power fulani.
Now.india iran russia china soon wataacha kutumia hiyo dollar
Amebaki sana na saudia ndo anamtisha kuwa ukiacha kutumia dollar kuuza mafuta ntaacha kukulinda....but watamchoka tu soon.
Yaani kuimaliza dollar now nirahisi kuliko zamani ilipokuwa inasiamamiwa na gold.
Na dollar likishaachwa basi tena usa anakuwa mafua tu.
UN ndo atachukua mamlaka ya dunia when wakichoka na USA...
"You cant start the new order without ending the old one"
Old order ndo hii inayoongozwa na USA
New itakuwa na baba mwingine kabisa.
Unadhani mabit coin yameletwa kwa bahati mbaya? Nope! Ni wanatuandaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom