The Working Class, Savages in Suits

Ila saa ingine mkikutana na asiyejua kitu mnamdharau why?
 
Haitakiwi udharau huo ni ujuha kinachotakiwa ni kuelekeza na kufundisha namna iliyo nzuri ili kuboresha mahusiano na kuongeza morality, sema inakuwaga kwa wachache sana wenye kuweza kuapply hii kitu.
 
Naona sasa kuna UKAWA na CCM. ACT PIA WAMO AMBAO HAWANA UHAKIKA WAKO KWA RONNY AU HOM. Hapo chachaaaaa mmakonde anakwambia
kutokujua kwa linda mambo yetu yale hakika kumenifanya nisimuunge mkono yoyote kati ya ronny na Hom
 
Haitakiwi udharau huo ni ujuha kinachotakiwa ni kuelekeza na kufundisha namna iliyo nzuri ili kuboresha mahusiano na kuongeza morality, sema inakuwaga kwa wachache sana wenye kuweza kuapply hii kitu.
Hhha kwel kabisa maana wengine tunajua kifo cha mende…… mambo ya iphone six ni kama mathematics kwetu teh teh uwiiii
 
Ila saa ingine mkikutana na asiyejua kitu mnamdharau why?
hatukuwahi kuwadharau wasiojua bali wale wanaojitangaza kuwa ni mafundi harafu unamkuta ni saidia fundi ndio huwa tunawasema tena kistaarabu tu. Lakini ukija na kukiri hujui basi nitakufundisha na kukuelekeza kila kitu
 
Teh teh…… nifundishe iphone six kwanZa nione ukipanga wako teh teh
 
Yani najikuta nina mineno ya kuandika, nina wishes, nina judgements teh teh. Kweli Mungu si HS
 
Ibra87..kwahy we upo kama Rony au HOM.. just curious..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…