The West Policy on Libya Vs Putin

The West Policy on Libya Vs Putin

unanichefua na the same statement everywhere.....we kwa akili yako katika kila kitu its all about Gadaffi,wanaokufa kule Libya ni wangapi?umeona nchi ilivyokuwa imejengwa vizuri,miundombinu yao,social services zao zilivyoharibika? watakaoumia ni wananchi wa Libya si Gadaffi na familia yake kama unavyowaza......Gadaffi akifa/akiondolewa na familia yake bado haitajenga Libya iliyojengwa na Gadaffi kwa miaka 40.....stop bn subjective and change the song.....its boring!:smash:

thanx very much michelle.... kuna watu wanawaza juu juu hivi wanafikiri ghadafi akiondolewa na wamarekani ndio maisha yatakuwa mazuri libya? mnafikiri marekani anapeleka demokrasia libya eti? nchi ya libya haita tawalika tena hasa kama marekani na washirika wake watamtoa ghadafi madarakani na watakao umia zaidi ni raia wa libya na sio marekani wala ghadafi. kama marekani wameenda kuwalinda raia wa libya dhidi ya ghadafi unajua ni raia wasio na hatia wangapi wamekufa mpaka sasa kutokana na mashambulizi ya wamarekani? tuache ushabiki wa kinafiki. me mwenyewe ningependa ghadafi atoke madarakani lakini si kwa njia inayotumiwa na hawa wamarekani (wezi wa mafuta) . wake up africans tumechoka na propaganda az wazungu na uongo wanaoueneza.
 
marekani nia polisi wa dunia waachwe wafanye kazi yao,hata Tanzania kama tunawahitaji tulianzishe tuu CCM wakiua watu mia USA wanakuja wanawaondoa CCM madarakani then wanamweka tunayemtaka so isuue ni kulianzisha tuu US watakuja hawana hiyana,hapa kuna dhahabu,mafuta na madini mengine mengi watakuja na isitoshe wana silaha mpya wanataka kuzijaribisha mambo ndio yalivyo
 
Ulaya na China hawataweza kuwa super power kwasababu moja tu hawapendi na hawajui kupigana. Nchi za ulaya zimepiga kampeni ya kumpindua Ghadafi na wenyewe walikuwa mstari wa mbele lakini sasa umekuja wakati wa kupigana na mabomu wanataka kumwachia Mmarekani mwenyewe!. Obama hakutaka hata kuingia kwenye vita lakini alikuwa ana unga mkono Ghadafi kuondoka. China wenyewe hawapendi fujo wanataka vitu viende kama vilivyo hata kama ni Kiongozi anaua watu wake China haiwezi kupinga. Hawa wote China na nchi za ulaya wana vifaa vya kijeshi lakini tatizo sio vifaa kama hutaweza kupigana hasa pale unapofikiri ni lazima!. Marekani wasemeni tu lakini kama wanaamini kitu wanaweka maisha yao na si kuongea siasa nenda rudi. Ulaya iko dhaifu sana na miaka ijayo hata Africa inaweza kuichukua Ulaya ukizingatia idadi kubwa ya watu wanaoishi huko ni wazee. Marekani inatawala kijeshi Japan, Korea ya Kusini, Iraq, Israel, Saudi Arabia, Afighan, Pakistan, Bahrain, Egypt na German.Mimi navyoona Marekani nguvu zinaongezeka na hazipungui kama watu wanavyofikiria. Obama anasikilizwa Japan sasa wakati wa tetemeko kuliko waziri mkuu wa Japan na anaaminika south Korea kuliko kiongozi wao.
 
You have some point on this. Marekani haina longolongo kwenye jambo lolote wanaloamini kwamba hiyo ndio njia sahihi wao kuchukuwa. wao sio watu wa bla bla.
 
Nakubaliana na wewe
Wakati wa kumwondoa jamaa wa Yugoslavia alipigana sana na NATO ila marekani ikaomba ikabidhiwe jukumu hilo pekee yake kwa masaa not kuchanganya soon jamaa chali.
Bila marekani ulaya haipo salama mbele ya Urussi.
Marekani naye hataki ulaya (ujeruman,uingereza,ufaransa) waumbuke either kijeshi au kiuchumi kwani anajua ni washirika muhimu pindi mambo yatakapotaka kumharibikia.China na urusi wanajua hili ndio maana hawakoromi mbele ya marekani.
America imeibeba sana ulaya ikielewa kuna siku itawaitaji kumvaa yeyote anayeleta wingu.
 
Nasikitika tunashabikia ubeberu wa wamarekani kama vile timu ya mpira. Wanachofanya ni mauaji ya waAfrika kwa manufaa ya makampuni ya mafuta ya wamarekani kuwafaidia wamarekani. Haya twapaswa kuyaona kwa macho makini. Mubaraka mbona hawakusaidia kumuondoa japo wapinzani walipigwa risasi wazi mitaani na CNN ikarusha picha hizo? Mbona hukusikia wamemzuilia Mubaraka kusafiri wala kuzuia mali zake? Na mabomu ya kutawanya waandamanaji yalikuwa ya wamarekani. Na bila aibu wakawa wanasema twapaswa kuwa makini na power vacuum. Leo Libya imehalalishwaje? Mbona Yeme hawajafika? Ubabe wa wamarekani siyo wa kushangilia wandugu. Nia yao wamiliki maliasili zetu zote na watutumikishe wapendavyo. Pamoja na ubaya wa Ghadafi bado zipo taratibu za kimataifa zinazopaswa kufuatwa na hazikufuatwa hapa. Walichofanya ni kuitukana mpaka AU na nashangaa viongozi kama wapo wamekaa kimya kuruhusu wakati nchi mwanachama imevamiwa bila ridhaa yao. Hatuko salama hapa.
 
thanx very much michelle.... kuna watu wanawaza juu juu hivi wanafikiri ghadafi akiondolewa na wamarekani ndio maisha yatakuwa mazuri libya? mnafikiri marekani anapeleka demokrasia libya eti? nchi ya libya haita tawalika tena hasa kama marekani na washirika wake watamtoa ghadafi madarakani na watakao umia zaidi ni raia wa libya na sio marekani wala ghadafi. kama marekani wameenda kuwalinda raia wa libya dhidi ya ghadafi unajua ni raia wasio na hatia wangapi wamekufa mpaka sasa kutokana na mashambulizi ya wamarekani? tuache ushabiki wa kinafiki. me mwenyewe ningependa ghadafi atoke madarakani lakini si kwa njia inayotumiwa na hawa wamarekani (wezi wa mafuta) . wake up africans tumechoka na propaganda az wazungu na uongo wanaoueneza.

Thanks too mkuu,wazungu kama huna akili waweza waona watu wema sana.....sishangai baadhi ya watu kuwaunga mkono....kufikiri kwao kuko limited,kila uamuzi wa mzungu ni mwema na wenye nia njema.....wasamehe kabisa....mimi pia nataka Gadafi aondoke zake,nisichotaka ni huu utaratibu wao wa kuua watu kwa propaganda za humanitarian concerns,democracy na american policy.....jamaa ni waongo sana:washing:
 
Mimi siyo kwamba nasifia lakini nasema ukweli tu. Hata Waafrica ni waoga tu, ni mpaka wakasirike ndiyo wanauana! Waafrica tunafanya uamuzi kwenye hasira. Inabidi tuangalie dunia inaendaje lakini Marekali kwa haki za binadamu ni bora kuliko China na Urusi.
 
anababaika sana Obama,kuna kiongozi kutoka Republican amesema kwa analofanya wanaweza kumu-impeach,mwingine toka democrat anasema watamnyima Obama na seriakali yake hela za ku-fund operation ya Libya.....ana hali mbaya kisiasa,alifikiri hili litamuinua ila ndo limeharibu reputation yake kabisa......kila siku ana jipya,leo we are in Libya for humanitarian issues...protect cilivilians,kesho Gadafi is a dictator we want democracy,kesho yake its US policy......leo katika CNN hiyo hiyo kuna kiongozi kasema Obama kampa Sarkozy the presidency of the free world ambayo waga ni nafasi ya marekani na hili ni tusi kwa wamarekani......he is in bad shape politically :drum:

Point of correction, aliyesema Obama kuamuru majeshi ya Marekani kuanza mashambulizi dhidi ya Ghadafi bila idhini ya Congress kuwa ni impeachable offense ni Dennis Kucinich, a Democrat from Ohio...not a Republican!!!
 
thanks for correction.....my point remains clear.....hakuwa na idhini ya Congress kufanya hayo anayofanya,hakukuwa na haja ya hii vita!!!:washing:
 
Yani dogo huyo Obama anaimba na hio ndo inapotezea heshima sasa duniani. Matatizo hajui history z anchi za kiarabu, angejua asinge ingia.

I belive Ghadafi will win, american will most probably fail again.

Over the longer term kama unatumia akili vizuri, Ghadaffi atashinda mana dalili inaonyesha vile, na ikianza vita vya ndan tu, kumbukeni Gadhafi's superior weapons and better trained troops.

Mana hao hawawezi vita vya mda mrefu na Ghadaffi si mjinga kiasi vile atao silaha zote zote katika open area.

Yani huyo dogo obama asahau kupita mwaka 2012!
 
Huyu ndio Mmarekani halisi na anaimba sera ya mmarakan

"It is American policy to safegurd its interest at any rate.
If negociation fails violence is inevitable to make sure USA interests are being met."

Obama hajachemka wamarekani wataingia popote wanapoona wanfaidika au kwa majadiliano na majadiliano na ujanja wao vikifail wataingia kinguvu.
Utajiri wa Libya na mafuta ni interest ya USA kubwa!

N a hii iko katika sera yao ya nje na ndani ya nchi
 
Mimi najiuliza which US Policy is that which states that Gaddafi has to go? Or because Utajiri wa Mafuta wa Libya ndio policy yao
 
Mimi najiuliza which US Policy is that which states that Gaddafi has to go? Or because Utajiri wa Mafuta wa Libya ndio policy yao

Mafuta ndio interest kubwa ya wamarekani na policy yao inasema mahali popote marekani atakapokuwa na interest pataingiliwa kwa njia yoyote kidiplomacia na kama diplomacia itashindwa wataingia kwa nguvu.

Hiyo ndio USA policy mkuu!
 
Yani dogo huyo Obama anaimba na hio ndo inapotezea heshima sasa duniani. Matatizo hajui history z anchi za kiarabu, angejua asinge ingia.

I belive Ghadafi will win, american will most probably fail again.

Over the longer term kama unatumia akili vizuri, Ghadaffi atashinda mana dalili inaonyesha vile, na ikianza vita vya ndan tu, kumbukeni Gadhafi's superior weapons and better trained troops.

Mana hao hawawezi vita vya mda mrefu na Ghadaffi si mjinga kiasi vile atao silaha zote zote katika open area.

Yani huyo dogo obama asahau kupita mwaka 2012!

mi naomba wala asijaribu kugombea.....:smash::juggle:
 
Mimi najiuliza which US Policy is that which states that Gaddafi has to go? Or because Utajiri wa Mafuta wa Libya ndio policy yao

my brother,hilo liko wazi kabisa.....Americans interests comes first and by any means possible :smash::washing:
 
Mafuta ndio interest kubwa ya wamarekani na policy yao inasema mahali popote marekani atakapokuwa na interest pataingiliwa kwa njia yoyote kidiplomacia na kama diplomacia itashindwa wataingia kwa nguvu.

Hiyo ndio USA policy mkuu!
Mkuu najaribu kujiuliza kama Obama is playing his cards right when we are going towards the election next year
 
Mkuu najaribu kujiuliza kama Obama is playing his cards right when we are going towards the election next year

Kwa wa USA wanao ielewa policy yao he is in the right trck...
 
Back
Top Bottom