The vatican changing tone on homesexuality?!

Status
Not open for further replies.

kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Posts
6,467
Reaction score
6,500
Wandugu, mnaonaje issue ya the headquarters of the Catholic Church to go easy on some of its policies against homosexuality. And for divorced couple, that if they remarry they might be allowed to take communion!, what does this do to our African Catholic churches?!

141009213951_pope_francis_624x351_ap.jpg

Papa Francis aliye huru zaidi kuzungumzia mapenzi ya jinsia moja.

Makasisi wanaoshiriki katika mkutano wa maaskofu wanaangazia masuala ya mafunzo ya kanisa katoliki kwa familia ,wametoa mwito kwa kanisa hilo duniani kuwachukulia watu wenye mapenzi ya jinsia moja kwa usawa

Kauli hii inakuja baada ya Maaskofu kuandika ripoti wakati wa mkutano wa synodi ukiendelea huko Vatican na kusema kuwa wapenzi wa jinsia moja wana zawadi na viwango vya kutoa kwenye jumuiya za kikristo hii ikiwa ni ripoti iliyotolewa mapema wiki hii.

Ripoti hiyo haitoi changamoto yoyote kwa msimamo wa muda mrefu wa kanisa hilo juu ya kupinga ndoa za jinsia moja,lakini baadhi ya vikundi vya kutetea haki za wapenzi wa jinsia moja wanachukulia kauli hiyo kuwa ya mafanikio makubwa kwa jamii zao.

Na moja ya makundi yenye kushikilia msimamo mkali kikanisa wametupilia mbali ripoti hiyo na kuuita ya kisaliti.

Zaidi ya maaskofu 200 wa kanisa katoliki wanakutana kwenye mkutano wa synodi tangu mapema mwezi huu,katika mkutano huo ni papa Francis aliyetoa mwito wa kujadili masuala ya utoaji wa mimba,vidonge vya uzazi wa mpango,mapenzi ya jinsia moja na talaka.

Papa Francis amewataka viongozi wa juu wa kanisa hilo kuzingatia Zaidi suala la wapenzi wa jinsia moja chanya kuliko kuwa kinza na amefanikiwa kuwateka maaskofu wanaohudhuria mkutano huo wa sinodi.

Mwaka uliopita katika ripoti aliyo itoa papa Francis kuhusiana na mwenendo wa kanisa katoliki kuwa waumini walio wengi waliliacha mkono kanisa hilo kutokana na mafunzo yahusianayo na ngono na dawa za uzazi wa mpango.

Papa huyo anazichukulia ndoa hizo za jinsia moja kama zisizo na utaratibu akiinukuu ripoti ya kanisa katoliki iliyochapishwa mwaka 1986,wakati Papa Francis alipokua mshauri mkuu wa masuala ya teolojia ya kanisa katoliki wa hayati papa John Paul wa pili.

Nguvu kubwa ya vikundi vya kutetea haki za watu wenye mapenzi ya jinsia moja ni juu ya kauli ya papa Francia aliyoitoa mwishoni mwa mwaka wa jana alipokuwa kwenye kambi ya vijana wa kanisa hilo huko Rio

de Jeneiro alitoa kauli kua kama mtu anamtafuta Mungu na ana nia njema ,yeye ni nani wa kuhoji?
Papa Francis anaingia katika historia ya kanisa katoliki ulimwenguni kutumia jina (hasha kum si matusi) -homoSexual hadharani kuliko kutumia neno wapenzi wa jinsia moja.

Chanzo: BBC Swahili
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Gays are human beings as well.

Whatever happened to god being the only judge?

So much for this god nonsense.
 
Binafsi bado natafakari kuhusu conspiracy theorists nazo zisikia kuhusu huyu M-jesuits.. lets wait and see
 
Gays are human beings as well.

Whatever happened to god being the only judge?

So much for this god nonsense.

By "god" you mean....wanaojifanya miungu?!, as in human beings?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Gays are human beings as well.

Whatever happened to god being the only judge?

So much for this god nonsense.

Mkuu, for now homosexuality seem to be forced down the throat of our beloved continent with the Western World POLITICALLY, and we're not taking it lightly, and now the discussion is being moved "to the church"?!
 
Y'all accepted their religion, right?

And just an FYI, homosexuality has been there (in Africa) since time immemorial.

So to act like it's something foreign to us is the height of hypocrisy!
 
If it was there, it was NEVER and I doubt if will EVER be accepted!, kama makanisa yalishaanza chomwa moto we should expect more to come!

It's not a matter of "If".

It was there, it is there, and it will continue to be there.

To act otherwise is hypocrisy!
 
141009213951_pope_francis_624x351_ap.jpg

Papa Francis aliye huru zaidi kuzungumzia mapenzi ya jinsia moja.

Makasisi wanaoshiriki katika mkutano wa maaskofu wanaangazia masuala ya mafunzo ya kanisa katoliki kwa familia ,wametoa mwito kwa kanisa hilo duniani kuwachukulia watu wenye mapenzi ya jinsia moja kwa usawa

Kauli hii inakuja baada ya Maaskofu kuandika ripoti wakati wa mkutano wa synodi ukiendelea huko Vatican na kusema kuwa wapenzi wa jinsia moja wana zawadi na viwango vya kutoa kwenye jumuiya za kikristo hii ikiwa ni ripoti iliyotolewa mapema wiki hii.

Ripoti hiyo haitoi changamoto yoyote kwa msimamo wa muda mrefu wa kanisa hilo juu ya kupinga ndoa za jinsia moja,lakini baadhi ya vikundi vya kutetea haki za wapenzi wa jinsia moja wanachukulia kauli hiyo kuwa ya mafanikio makubwa kwa jamii zao.

Na moja ya makundi yenye kushikilia msimamo mkali kikanisa wametupilia mbali ripoti hiyo na kuuita ya kisaliti.

Zaidi ya maaskofu 200 wa kanisa katoliki wanakutana kwenye mkutano wa synodi tangu mapema mwezi huu,katika mkutano huo ni papa Francis aliyetoa mwito wa kujadili masuala ya utoaji wa mimba,vidonge vya uzazi wa mpango,mapenzi ya jinsia moja na talaka.

Papa Francis amewataka viongozi wa juu wa kanisa hilo kuzingatia Zaidi suala la wapenzi wa jinsia moja chanya kuliko kuwa kinza na amefanikiwa kuwateka maaskofu wanaohudhuria mkutano huo wa sinodi.

Mwaka uliopita katika ripoti aliyo itoa papa Francis kuhusiana na mwenendo wa kanisa katoliki kuwa waumini walio wengi waliliacha mkono kanisa hilo kutokana na mafunzo yahusianayo na ngono na dawa za uzazi wa mpango.

Papa huyo anazichukulia ndoa hizo za jinsia moja kama zisizo na utaratibu akiinukuu ripoti ya kanisa katoliki iliyochapishwa mwaka 1986,wakati Papa Francis alipokua mshauri mkuu wa masuala ya teolojia ya kanisa katoliki wa hayati papa John Paul wa pili.

Nguvu kubwa ya vikundi vya kutetea haki za watu wenye mapenzi ya jinsia moja ni juu ya kauli ya papa Francia aliyoitoa mwishoni mwa mwaka wa jana alipokuwa kwenye kambi ya vijana wa kanisa hilo huko Rio

de Jeneiro alitoa kauli kua kama mtu anamtafuta Mungu na ana nia njema ,yeye ni nani wa kuhoji?

Papa Francis anaingia katika historia ya kanisa katoliki ulimwenguni kutumia jina (hasha kum si matusi) -homoSexual hadharani kuliko kutumia neno wapenzi wa jinsia moja.

Chanzo: BBC Swahili
 
Unashangaa nini, MziziMkavu?

Alikalia kiti na kujikuta amezungukwa na wapenda mambo ya mtandao. Kesi na malalamiko ya unajisi wanaofanya "wachunga" dhidi ya watoto wa watu zimemzidi kimo. Anatafuta pakutokea.

Hivi karibuni kuna mmoja ya mtu ya vatican alisema wamemsubiri Yesu kwa miaka karibu 2000, amejiridhisha kuwa hatarudi tena...sasa wanataka kuhalalisha "uchafu". Walishaubariki na hatua inayofata ni kuuhalalisha.

Vatican Gay Lobby

Jesus is NOT Coming BACK – Roman Catholic Leaders SAID |

BBC News - Gay church 'marriages' set to get the go-ahead

Cardinal says Catholic Church will never bless gay marriage
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom