The US Navy just issued an eerie report outlining Russia's naval capabilities

Erijo

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
453
379
US Navy wametoa ripot inayoonyesha uwezo mkubwa wa jeshi urusi (Russian Naval Forces)

.
The_US_Navy_just_issued-e28d584ac8142c47901c50aecdbf5416
(Pavel Rebrov/Reuters)
A Russian warship firing during celebrations for Navy Day in the Black Sea port of Sevastopol, Crimea, on July 26.

A 68-page US Naval Intelligence report, titled "The Russian Navy: A Historic Transition," outlines the rising credibility and threat of Russia's navy.
The report details a situation in which Russia's navy, behind only those of the US and China in size, may soon be capable of denying the US Navy access to the Black and Baltic seas.

Russia's landgrab in Crimea as well as its enclave in Kaliningrad could lock US forces out of the Black or Baltic seas.

US Lt. Gen. Ben Hodges spoke to this in a Pentagon news briefing earlier this month, saying the nearly 25,000 Russian troops illegally stationed in Crimea had "the ability to really disrupt access into the Black Sea."

The_US_Navy_just_issued-173875a88e710fd6eb8213f4c5ca7ee3

(Google Maps/Amanda Macias/Business Insider)
Earlier this year, Russia's defense ministry announced plans to revive and increase the size and scope of the country's Black Sea submarine fleet.

The new submarines are designed to excel at warfare in shallower water while being arguably the quietest submarines in the world.

"The new submarine and ship classes will incorporate the latest advances in militarily significant areas such as: weapons; sensors; command, control and communication capabilities; signature reduction; electronic countermeasures; and automation and habitability," the report states.

.
The_US_Navy_just_issued-300ae270045aa0c3c1c107c1afa9b991

(Thomson Reuters)
Russia's diesel-electric submarine Rostov-on-Don being escorted by a Turkish Navy Coast Guard boat in the Bosphorus, on its way to the Black Sea, in Istanbul.

The report also describes Russia's Kalibr missiles, which were put on display in October when Russian boats in the Caspian Sea fired missiles at ground targets in Syria.

The report also speculates that Russia's fifth-generation aircraft, the PAK FA aka T-50, could be ready for deployment as soon as 2016.

The increased stealth capabilities of the plane, as well as its potential role aboard a new Russian aircraft carrier, could spell big problems for the US.

.
The_US_Navy_just_issued-cc1025c28d2f3e22f674361795041bcd

(Wikimedia Commons)
According to the report, Russia is "reorganizing its personnel structure to more accurately reflect the needs of modern warfare" and will do so by attempting to transition to an all-volunteer force.

The report acknowledges that Russia is under heavy financial strain because of sanctions and historically low oil prices, but the country is nonetheless determined to create a modern navy that is capable of undermining the military superiority of the West.

1-64256f7ff2.jpg

Source: Business Insider
 
Ninawaonya kila siku hamsikii, nitashukuru ukituletea taarifa kutoka chombo kama russia today, tv hii inaheshimika sana urusi, huwezi kukuta pumba hizi kwenye hii media house, ulichokileta vitu vya kuokota mitandaoni vinavyoandikwa na waandishi biased
 
Hivi Business Insider ni chombo cha habari cha Kirusi? Waadishi wake wapo biased? Kinapigia promo propaganda za kirusi? kina mrengo wa kirusi au kimagharibi? Hebu angalia jibu hapa Business Insider - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Last edited:
Warusi huwa nawaelewaga aisee,,,,,,,,,maana wao hawana propaganda za huku na mara kule,,,,,,,,,,,,,wao ni kazi tuu!
 
US Navy wametoa ripot inayoonyesha uwezo mkubwa wa jeshi urusi (Russian Naval Forces)

.
The_US_Navy_just_issued-e28d584ac8142c47901c50aecdbf5416
(Pavel Rebrov/Reuters)
A Russian warship firing during celebrations for Navy Day in the Black Sea port of Sevastopol, Crimea, on July 26.

A 68-page US Naval Intelligence report, titled "The Russian Navy: A Historic Transition," outlines the rising credibility and threat of Russia's navy.
The report details a situation in which Russia's navy, behind only those of the US and China in size, may soon be capable of denying the US Navy access to the Black and Baltic seas.

Russia's landgrab in Crimea as well as its enclave in Kaliningrad could lock US forces out of the Black or Baltic seas.

US Lt. Gen. Ben Hodges spoke to this in a Pentagon news briefing earlier this month, saying the nearly 25,000 Russian troops illegally stationed in Crimea had "the ability to really disrupt access into the Black Sea."

The_US_Navy_just_issued-173875a88e710fd6eb8213f4c5ca7ee3

(Google Maps/Amanda Macias/Business Insider)
Earlier this year, Russia's defense ministry announced plans to revive and increase the size and scope of the country's Black Sea submarine fleet.

The new submarines are designed to excel at warfare in shallower water while being arguably the quietest submarines in the world.

"The new submarine and ship classes will incorporate the latest advances in militarily significant areas such as: weapons; sensors; command, control and communication capabilities; signature reduction; electronic countermeasures; and automation and habitability," the report states.

.
The_US_Navy_just_issued-300ae270045aa0c3c1c107c1afa9b991

(Thomson Reuters)
Russia's diesel-electric submarine Rostov-on-Don being escorted by a Turkish Navy Coast Guard boat in the Bosphorus, on its way to the Black Sea, in Istanbul.

The report also describes Russia's Kalibr missiles, which were put on display in October when Russian boats in the Caspian Sea fired missiles at ground targets in Syria.

The report also speculates that Russia's fifth-generation aircraft, the PAK FA aka T-50, could be ready for deployment as soon as 2016.

The increased stealth capabilities of the plane, as well as its potential role aboard a new Russian aircraft carrier, could spell big problems for the US.

.
The_US_Navy_just_issued-cc1025c28d2f3e22f674361795041bcd

(Wikimedia Commons)
According to the report, Russia is "reorganizing its personnel structure to more accurately reflect the needs of modern warfare" and will do so by attempting to transition to an all-volunteer force.

The report acknowledges that Russia is under heavy financial strain because of sanctions and historically low oil prices, but the country is nonetheless determined to create a modern navy that is capable of undermining the military superiority of the West.

1-64256f7ff2.jpg

Source: Business Insider
Huwezi kukuta taarifa kama hii kwenye cctv, Russia today, aljazeera, france24, bbc, press tv iran, siku watu wa jf mkipata taarifa kutoka walau hata Russia today basi nitawaelewa maana nina uhakika vyombo vyote hivi nilivyoorodhesha havitoa taarifa ambayo haijathibitishwa na wizara ya ulinzi ya marejani Pentagon ndipo vinairusha
Habari zenu mnatoa kwenye vijarida vya online mfano wa magazines za udaku ambavyo vinaandika kuvutia watu

Fact
Ukweli ni kuwa hali ya russia navy ni mbaya kutokana na sababu za kiuchumi, hivi sasa ndio wanajaribu kui mordenise, walishalipia siku nyingi meli ya kivita ya kwanza generation ya amphibious kutoka France inayoitwa mistral class ili kuongeza nguvu kwenye fleet yake
France hadi sasa haijaikabidhi urusi meli hiyo kutokana na objection ya marekani na uingereza, ingawa urusi ilishalipia siku nyingi

Sasa urusi kama taifa kubwa linalojizatiti kijeshi linawezaje kwenda kununua meli ya kivita toka mwanachama wa nato france?
Meli za amphibious kama hizo marekani anazo karibu mia 200, hapa sijazungumzia air carriers ambazo marekano anazo mia mbili na, mrussi hana moja ndio maana ndege zake kwenda Syria zilipitia angani badala ya kubebwa kwenye viwanja vya ndege vinavyoelea majini almaaruf kama air craft carriers, sasa hapo kweli kama una akili timamu unaweza kulinganisha haya mataifa mawili?

Ni kweli Russia anazo submarines lakini hata wenzio wa magharibi wanazo na vitu vya kawaida sana kwa nchi za magharibi na hizo kubwa kama china na Russia, lakini usidanganywe na mtu eti za Russia zinazidi za marekani, inawezekaje? Marekani imewekeza billions of dollars kwenye silaha ikiwemo submarines, kila kitu ni pesa sasa hivi
Hivi mnadhani Russia hapendi kuwa na viwanja vya ndege vinavyoelea baharini? Anatamani ila hana pesa hizo, china alianza kuitengeneza air craft carrier moja tangu 1994 ndio ameikamilisha moja juzi anaendelea kuifanyia majaribio

Shida iliyopo ni kuwa hizi tawala za kidicteta kama Russia silaha yao kubwa ni propaganda kama hizi, mara tumetengeneza ndege hii inazidi ya marekani, mara tumetengeneza air defense kali kushinda zote s_400 wakati haijajaribiwa kwenye ya aina yoyote ile ni maneno tu, cha kushangaza marekani amekua akipiga na kuzishinda silaha hizi hizi za mrusi sehemu mbali mbali duniani

Kumbukeni robo tatu ya dunia tunatumia silaha za mrusi, na ndizo marekani amezipiga sehemu mbali

Israel amesumbua majirani zake kijeshi kwa miaka na wote wanamuogopa, why? Kwa kuwa wao waarabu walikua wakitegemea silaha za mrusi mwenzao anatumia za marekani, ndio maana baadae Egypt akaona huu ni ushenzi akaachana na silaha za mrusi na kuanza kununua za marekani na sasa Egypt ndio jeshi bora kuzidi yote africa, na la pili baada ya Israel katika middle east, baadae akafuata uturuki na Jordan wote wananunua marekani sasa

Cc,
wote wanaojifariji kuwa mrusi ni zaidi ya mmarekani
 
halafu Us and allies wapo kiwogawoga tu.

aaa mkuu hivi unaikumbuka USSR iliyosambaratika miaka ya tisini?
 
Yap naikumbuka ilikua na nguvu sana, lakini bahati mbaya marekani ilitumia mashirika ya kijasusi kuihujumu na hatimaye kusambaratika

Hata vita urusi ilizoshinda huko nyuma ilikua ni ussr na.Russia pekee kama ilivyo leo nguvu ilipungua sana ndio anajaribu kujijenga tena kutafuta washirika na kadhalika
 
Hongera sana Mkuu,hawa Pro Russia kazi yao kubwa ni propaganda tuu hapa kwa kuchukua udaku kutoka mitandaoni na kuleta hapa. Russia bado sana kwa Marekani na muda si mrefu India atampiga bao.
 
Ila ingekua kununua siraha za marekani ndio kuwa na nguvu Saudi Arabia ingekua na nguvu sana kivita pia hata media zilizotajwa zipo kimlengo Fulani mfano press TV,almanara,rt huwezi kuta zinasifia west
 
We need facts my friend
Mbona mnajichanganya wenyewe?

Kununua silaha za kisasa kutoka.usa sio ishu? What are you talking about?
Mataifa mengi duniani ya dunia ya pili ambayo chumi zake zinakua kwa kasi yanapigana vikumbu ku acquire silaha kutoka marekani ambazo ni bei ghali sana, sisi dunia ya tatu tunanunua silaha za urusi za china ambazo ni affordable lakini mdebwedo

Nimetoa mfano, Israel imewasumbua majirani zake miaka nenda rudi kwa kutumia silaha za marekani dhidi ya waarabu ambao kwa miaka wame rely on russian arms,

Saudia imetajwa kama namba tatu katika middle east kwa ubora wa jeshi after Israel, Egypt then saudia ndipo yanafuata maitaifa mengine

Je unajua criteria inayotumika kuzipanga nchi kwa ubora wa majeshi yao? I guess you dont know
Jibu ni, wanaangalia stock yako ya silaha, arsenal yako, air force, infantry, navy etc, ndipo linakuja suala la discipline na mengine, ndio maana saudia inatajwa huko juu maana ina psses f_ 16 challenger tanks from. Britain, patriot missiles etc

Russia inaendesha kampeni ya kijeshi Syria kwa kutumia ndege za sikhoi 34 na mig 28 zenye kutumia marubani, wenzake wa magharibi wanatumia pilotless jets, na drones kwa kutumia remote control, mwendeshaji amekaa melini baharini anaangalia picha zinarushwa kwenye computer yake kutoka kwenye camera iliyo chini ya ndege, ndipo anaamua kubonyeza kombora kwa remote, nyie watu mnaongea nn?
 
War

Warship 9 za Saudi Arabia zimeshazamishwa na Houthis rebels wa Yemen, Saudi led coalition forces na silaha zao nzito wamewashindwa waasi wa Yemen, nadhani ni sahihi kusema nchi kama Saudi ina stock nzuri ya Silaha ila si jeshi bora.
 
Kaka usichanganye mambo, hakuna nchi iliyowaweza waasi na kuwashinda kirahisi, assad anahangaika na waasi mwaka wa tano sasa bila kuwashinda, huku yy ana zana nzito kuwashinda wao, ana vifaru wao hawana, ana ndege angani wao hawana etc

Waasi wa Chechnya wameisumbua urusi miaka nenda rudi, mfano mwingine ni ISIL anachangiwa na wababe wote wa dunia lakini yupo tu

Unajua ni kwa nn?

Waasi wote duniani wanatumia gorilla warfare na sio conventional warfare, wanavizia, hawataki kupambana uso kwa uso,

Tunachokizungumzia hapa ni conventional warfare, nchi na nchi, usichanganye habari, huyo dada uliemjibu ana data za kutosha za kijeshi, nilidhani ungemjibu kwa analysis, kinyume chake unajibu vi sentence viwili visivyo na utafiti

Wachunguzi na watu wa vita wanaangalia silaha kwanza ndipo mengine yanafuata, russia, china, USA, NATO etc tunawasifu kwa silaha walizonazo, bila silaha hizo hawana tofauti na mataifa mengine, that is why Israel inawekwa namba moja ktk middle east, Egypt then saudi arabia,

Sijui ni kwa nn mnakuja kwenye mada nzito kama hizi huku hamna data
 
We need facts my friend
Mbona mnajichanganya wenyewe?

Kununua silaha za kisasa kutoka.usa sio ishu? What are you talking about?
Mataifa mengi duniani ya dunia ya pili ambayo chumi zake zinakua kwa kasi yanapigana vikumbu ku acquire silaha kutoka marekani ambazo ni bei ghali sana, sisi dunia ya tatu tunanunua silaha za urusi za china ambazo ni affordable lakini mdebwedo

Nimetoa mfano, Israel imewasumbua majirani zake miaka nenda rudi kwa kutumia silaha za marekani dhidi ya waarabu ambao kwa miaka wame rely on russian arms,

Saudia imetajwa kama namba tatu katika middle east kwa ubora wa jeshi after Israel, Egypt then saudia ndipo yanafuata maitaifa mengine

Je unajua criteria inayotumika kuzipanga nchi kwa ubora wa majeshi yao? I guess you dont know
Jibu ni, wanaangalia stock yako ya silaha, arsenal yako, air force, infantry, navy etc, ndipo linakuja suala la discipline na mengine, ndio maana saudia inatajwa huko juu maana ina psses f_ 16 challenger tanks from. Britain, patriot missiles etc

Russia inaendesha kampeni ya kijeshi Syria kwa kutumia ndege za sikhoi 34 na mig 28 zenye kutumia marubani, wenzake wa magharibi wanatumia pilotless jets, na drones kwa kutumia remote control, mwendeshaji amekaa melini baharini anaangalia picha zinarushwa kwenye computer yake kutoka kwenye camera iliyo chini ya ndege, ndipo anaamua kubonyeza kombora kwa remote, nyie watu mnaongea nn?

Ile vita ya kule Syria ni ndogo sana, usitarajie Urusi au hata USA kupelekea siraha nzito kule, kuhusu kutumia drone inategemeana na drone ni kwa vita ndogo ndogo usizani Drone inaweza kubeba makombora ya Nuclear
 
Yap naikumbuka ilikua na nguvu sana, lakini bahati mbaya marekani ilitumia mashirika ya kijasusi kuihujumu na hatimaye kusambaratika

Hata vita urusi ilizoshinda huko nyuma ilikua ni ussr na.Russia pekee kama ilivyo leo nguvu ilipungua sana ndio anajaribu kujijenga tena kutafuta washirika na kadhalika

Russia nguvu zake ziko pale pale tangu ankiwa USSR alikuwa ni namba mbili kwa nguvu za kijeshi duniani na kwa sasa yuko hapo hapo namba mbili, Urusi ananguvu kubwa mno za kijeshi, tafuta habari za makombola kama SATAN, BULAVA na mengineyo. Na Russia ana advantage ya kuwa kiongozi katika maombora, ukija kwenye swala la makombora Russia hana mpinzani
 
halafu Us and allies wapo kiwogawoga tu.
aaa mkuu hivi unaikumbuka USSR iliyosambaratika miaka ya tisini?

Well said ndio maana Merikani umekusanya vinchi nchi chungu mzima wanafikiri hilo tu litawasaidia kuipiga vita vya kisaikolojia Urusi in other words wanadhani genge lao litamtisha Mrusi - what a wishful thinking?

Kama Merikani inajiona ni mbabe wa vita na silaha kwa nini haisimami peke yake na kumtunishia misuri R.F. wanaishia kwenye masuala ya kuiwekea vikwazo Urusi na mambo mengine ya kitoto.

Mapema mwaka jana submarine ya Merikani ikiwa Meditteranian ilivurumisha makombora mawili kwenda mji mkuu wa Syria, mbona Warusi waliyalipua yakiwa angani na cha kushangaza zaidi makombola ya kuyalipua yalifyatuliwa kutoka kwenye aridhi ya Urusi,mbona Wamerikani walikaa kimya - maneno TU kazi ku exaggerate uwezo wa kijeshi wa Merikani.

Mkuu ukipitia yaliyo andikwa na jamaa anaonekana wazi wazi ame-copy RAW kutoka kwenye propaganda za DoD ikishirikiana na MSM kueneza disinformation kuhusu Taifa la Urusi, propaganda hizi zimefanikiwa sana kuwateka akili baadhi ya binadamu Duniani ambao as far as they're concern the WORLD is AMERICA ni ajabu sana.
 
Hivi Business Insider ni chombo cha habari cha Kirusi? Waadishi wake wapo biased? Kinapigia promo propaganda za kirusi? kina mrengo wa kirusi au kimagharibi? Hebu angalia jibu hapa Business Insider - Wikipedia, the free encyclopedia

Mkuu haina haja ya kuwapa link ya Business Insider, hapa chini ni link ya USA Office of Naval Intelligence walioandika hiyo report na unawawezi kuipakua kama faili aina ya pdf. Hii ripoti ni mali ya umma (USA) kwa hiyo ni bure na haina copyright restrictions.

Document: Office of Naval Intelligence Report on Russian Navy - USNI News

cc. @agathe jean claudia
 
Back
Top Bottom