Nadhani mwaka jana marekani na UK walilalamika kuwanyambizi za kirusi zilikuwa zinazunguka katika pwani zao je kuna ukweli wadau,pia duniani nchi gani inaongoza kwa kuwa na nuklia heads naombeni msaada jamani
We need facts my friend
Mbona mnajichanganya wenyewe? ..................................
.......... Russia inaendesha kampeni ya kijeshi Syria kwa kutumia ndege za sikhoi 34 na mig 28 zenye kutumia marubani, wenzake wa magharibi wanatumia pilotless jets, na drones kwa kutumia remote control, mwendeshaji amekaa melini baharini anaangalia picha zinarushwa kwenye computer yake kutoka kwenye camera iliyo chini ya ndege, ndipo anaamua kubonyeza kombora kwa remote, nyie watu mnaongea nn?
Si ndio hapo mkuu, kuna watu wanakuja hapa wakieleza Saud Arabia ilivyo mahili kwa kutumia latest silaha kutoka Merikani, hivi wanaweza kutueleza mpaka hivi sasa silaha hizo zimewasaidia kufanikisha nini huko Yemen - mwaka umekatika na hakuna mafanikio yoyote ya kujivunia wanatolewa kamasi na wanamgambo - halafu wasivyo na akila wajifanya wanaweza kupigana na Iran na Syria at a go!Wanajitokeza watu humu wanashauri watu eti habari za kuaminika zinapatikana kwenye URL za wikipedia!! Hawajui kwamba kila mtu anaweza kuandika au kurekebisha articles zilizo andikwa kwenye kwenye Wikipedia - mambo mengi ya geopolitics yako biased sana,mambo ya kweli niya technical i.e engineering sekta zote, medical hao hawana mambo ya longologo na upuuzi mwingine wa masuala ya ujasusi yenye lengo la kuzuga watu ili wawafanye wasomaji wahanze kusujudu mataifa fulani without questions asked - wapo watu mpaka wanafikia hatua ya kuwa hysterical,kisa? hawataki kusikiliza a balanced comments hasa hasa linapokuja suala la silaha za kisasa, wabishi wengi hawana technical background wanabeba vitu RAW bila ya kuvi-digest kwanza! Si hilo tu hawajui vile vile kutoa mchango wao kwa lugha ya kistaarabu wamejaa kejeli na viburi sijui kwa nini - hapa tunabadirishana mawazo, mwenye kujua zaidi topic fulani anajieleza wasio hafikiana nae wanatoa data mbadala without offending anyone. Nataka niwakumbushe sio kwamba sisi wengine sio kwamba hatujui kutumia TIRADES kuwazodoa watu- tanajua sana, tukianza ku retaliate hapa hapatakalika - narudia kusem tujifunze kuheshimiana.War
Warship 9 za Saudi Arabia zimeshazamishwa na Houthis rebels wa Yemen, Saudi led coalition forces na silaha zao nzito wamewashindwa waasi wa Yemen, nadhani ni sahihi kusema nchi kama Saudi ina stock nzuri ya Silaha ila si jeshi bora.
Hujui chochote kaa tu kimya tu ndugu, s_400 ni silaha ndogo? Syria ingekua ni vita ndogo russia ingepeleka bombers na fighter jet za kisasa?Ile vita ya kule Syria ni ndogo sana, usitarajie Urusi au hata USA kupelekea siraha nzito kule, kuhusu kutumia drone inategemeana na drone ni kwa vita ndogo ndogo usizani Drone inaweza kubeba makombora ya Nuclear
Hamjui chochote kuhusu mambo ya kijeshi kaeni kimya, watu tunahitaji analysis na sio ngonjera,aSi ndio hapo mkuu, kuna watu wanakuja hapa wakieleza Saud Arabia ilivyo mahili kwa kutumia latest silaha kutoka Merikani, hivi wanaweza kutueleza mpaka hivi sasa silaha hizo zimewasaidia kufanikisha nini huko Yemen - mwaka umekatika na hakuna mafanikio yoyote ya kujivunia wanatolewa kamasi na wanamgambo - halafu wasivyo na akila wajifanya wanaweza kupigana na Iran na Syria at a go!Wanajitokeza watu humu wanashauri watu eti habari za kuaminika zinapatikana kwenye URL za wikipedia!! Hawajui kwamba kila mtu anaweza kuandika au kurekebisha articles zilizo andikwa kwenye kwenye Wikipedia - mambo mengi ya geopolitics yako biased sana,mambo ya kweli niya technical i.e engineering sekta zote, medical hao hawana mambo ya longologo na upuuzi mwingine wa masuala ya ujasusi yenye lengo la kuzuga watu ili wawafanye wasomaji wahanze kusujudu mataifa fulani without questions asked - wapo watu mpaka wanafikia hatua ya kuwa hysterical,kisa? hawataki kusikiliza a balanced comments hasa hasa linapokuja suala la silaha za kisasa, wabishi wengi hawana technical background wanabeba vitu RAW bila ya kuvi-digest kwanza! Si hilo tu hawajui vile vile kutoa mchango wao kwa lugha ya kistaarabu wamejaa kejeli na viburi sijui kwa nini - hapa tunabadirishana mawazo, mwenye kujua zaidi topic fulani anajieleza wasio hafikiana nae wanatoa data mbadala without offending anyone. Nataka niwakumbushe sio kwamba sisi wengine sio kwamba hatujui kutumia TIRADES kuwazodoa watu- tanajua sana, tukianza ku retaliate hapa hapatakalika - narudia kusem tujifunze kuheshimiana.
@caxton, sijui kwa nini una maneno ya kujeli na dharau kiasi hiki kwa watu ambao hawaja kudharau kwa chochote, ila sio mbaya, binadamu tu tofauti wengine huu ndio ustaarabu wao.Hamjui chochote kuhusu mambo ya kijeshi kaeni kimya, watu tunahitaji analysis na sio ngonjera,
Ni muhimu mtu kuwa honest unapokuja kwenye hadhara ya watu kama humu, just imagine mtu anakuja hapa kusema eti houthi rebels wamezamisha meli 9 za Saudia, khaa hii ni kichekesho cha mwaka
hebu nenda uka search mitandao yote kama utapata habari kama hiyo
Meli ya kivita inaweza kuzamishwa na meli nyingine au ndege angani kwa kuidondoshea bomu, sasa houthi rebels wana meli au ndege ya kuzamisha meli saudia?
Sasa mtu kama huyo unaweza kuongea nae nini? Ni wazi kuwa hajui chochote kuhusu mambo ya kijeshi
Ushauri wangu kwenu
Msikasirike bali muende mtafute taarifa sahihi na za ukweli, ukija hapa upo full nondo, hata kama ww ni pro Russia hakuna shida, mradi tumefaidika na uchambuzi wako
Humu ndani kuna watu kama sisi ambao hatuna upande isipokua ni wafuatilia wazuri wa mambo ya kijeshi duniani, hivyo ukija na taarifa ambazo zina mashaka lazima tukupinge. Uwe ni pro America, au uwe pro Russia
Huwezi kukuta taarifa kama hii kwenye cctv, Russia today, aljazeera, france24, bbc, press tv iran, siku watu wa jf mkipata taarifa kutoka walau hata Russia today basi nitawaelewa maana nina uhakika vyombo vyote hivi nilivyoorodhesha havitoa taarifa ambayo haijathibitishwa na wizara ya ulinzi ya marejani Pentagon ndipo vinairusha
Habari zenu mnatoa kwenye vijarida vya online mfano wa magazines za udaku ambavyo vinaandika kuvutia watu
Fact
Ukweli ni kuwa hali ya russia navy ni mbaya kutokana na sababu za kiuchumi, hivi sasa ndio wanajaribu kui mordenise, walishalipia siku nyingi meli ya kivita ya kwanza generation ya amphibious kutoka France inayoitwa mistral class ili kuongeza nguvu kwenye fleet yake
France hadi sasa haijaikabidhi urusi meli hiyo kutokana na objection ya marekani na uingereza, ingawa urusi ilishalipia siku nyingi
Sasa urusi kama taifa kubwa linalojizatiti kijeshi linawezaje kwenda kununua meli ya kivita toka mwanachama wa nato france?
Meli za amphibious kama hizo marekani anazo karibu mia 200, hapa sijazungumzia air carriers ambazo marekano anazo mia mbili na, mrussi hana moja ndio maana ndege zake kwenda Syria zilipitia angani badala ya kubebwa kwenye viwanja vya ndege vinavyoelea majini almaaruf kama air craft carriers, sasa hapo kweli kama una akili timamu unaweza kulinganisha haya mataifa mawili?
Ni kweli Russia anazo submarines lakini hata wenzio wa magharibi wanazo na vitu vya kawaida sana kwa nchi za magharibi na hizo kubwa kama china na Russia, lakini usidanganywe na mtu eti za Russia zinazidi za marekani, inawezekaje? Marekani imewekeza billions of dollars kwenye silaha ikiwemo submarines, kila kitu ni pesa sasa hivi
Hivi mnadhani Russia hapendi kuwa na viwanja vya ndege vinavyoelea baharini? Anatamani ila hana pesa hizo, china alianza kuitengeneza air craft carrier moja tangu 1994 ndio ameikamilisha moja juzi anaendelea kuifanyia majaribio
Shida iliyopo ni kuwa hizi tawala za kidicteta kama Russia silaha yao kubwa ni propaganda kama hizi, mara tumetengeneza ndege hii inazidi ya marekani, mara tumetengeneza air defense kali kushinda zote s_400 wakati haijajaribiwa kwenye ya aina yoyote ile ni maneno tu, cha kushangaza marekani amekua akipiga na kuzishinda silaha hizi hizi za mrusi sehemu mbali mbali duniani
Kumbukeni robo tatu ya dunia tunatumia silaha za mrusi, na ndizo marekani amezipiga sehemu mbali
Israel amesumbua majirani zake kijeshi kwa miaka na wote wanamuogopa, why? Kwa kuwa wao waarabu walikua wakitegemea silaha za mrusi mwenzao anatumia za marekani, ndio maana baadae Egypt akaona huu ni ushenzi akaachana na silaha za mrusi na kuanza kununua za marekani na sasa Egypt ndio jeshi bora kuzidi yote africa, na la pili baada ya Israel katika middle east, baadae akafuata uturuki na Jordan wote wananunua marekani sasa
Cc,
wote wanaojifariji kuwa mrusi ni zaidi ya mmarekani
Ubishi wa facts ndio tunao utaka..sio mtu unabisha kitu huku hujui hata unacho ongea..big up @agathe jean claudia
Facts zipi mkuu?? Kwamba mmarekani ana Aircraft carrier 200??? Na wewe jamaa kakupata??
Kuw na base nying sio ndio kuw na jesh kubw. Kw sabab base za nnje uwez ukawek siraha nzito kw sabab ya ofu ya ulafik wa mashak baina ya nchi