The Ugly Truth: Wanaume Wote ni Malaya na Wasaliti

Mkuu unahasira sana japo umetoa asilimia 99% kwa wanawake kutokusaliti ila umejiuliza hii 99% ya wanaume wanapiga wapi kama sii kwa hawo watakatifu wako ambao umedai sii wasaliti, punguza asira maana wewe umezaliwa pekeako na ujue mwili wako utaitumiaje....vingine mwaachie mwenza wako ajue mwenyewe
Kaandika kwa jazba Sana mtoa mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli Mi mwenyewe pia nashangaa ametuchukuliaje yaan
emoji4.png


Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anafaa tumnyungulilo..😂
Ha ha ha...
Ndo kufanyaje hivo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi kupiga nyungu..? Sasa kumnyungulilo ni kumfanya yeye kuwa dawa Sasa..😂
 
Back
Top Bottom