The Truth behind aliens

Nilichogundua wewe kidogo una idea kwa mbali ya haya mambo ya space..hawa "great thinkers" wengine wanazingua.
Ask me anything about space and aliens
 
The only planet which support life ni earth tu

Alien ni hoax news



Funny fact kuna planet ina miamba ya Almasi
 
Unakanda mkuu hadi naona aibu
 
Mkuu kuna usanii mwingi sana Duniani,na idea ya Aliens ni usanii kama usanii mwingine ambao the unsuspecting World citizens are exposed to.The truth is wenzetu wa nchi za magharibi wanapewa technologies nyingi sana na the so called Aliens.Lakini ukweli ni kwamba aliens is nothing but Fallen Angels au Mashetani or Demons if you wish as indicated in the Bible.Unajua nini,wanaona aibu kusema ukweli kwamba ni Demons,kwa hiyo wameyapa the fancy name of Aliens,the truth however is that Aliens are Demons.
 
Unaweza kutumia kigezo kipi kutudhihirishia usemacho mkuu?
 
Hebu angalieni kinacho endela sayari ya Mars sasa hivi now LIVE
 
Kuhusu kuwasiliana na aliens , tizama series moja inaitwa @falling sky
 
Unaweza kutumia kigezo kipi kutudhihirishia usemacho mkuu?
Kigezo authentic ni cha Biblia,ingawa yapo machapisho mengi yanayothibisha hili.Mkuu Biblia haizungumzii uwepo wa viumbe vingine vyenye roho vikivyoumbwa na Mungu isipokuwa Fallen Angels a.k.a.Demons and Humans. Naomba ufahamu kwamba Demons wana tabia ya kuweza kujipa any form,hata inayofanana na tunayoaminishwa kuwa ni Aliens.So to me Aliens are Demons given the fancy name of Aliens inorder to hide their true identity.The word "alien" infact means foreign or not native.The truth however is that Demons are not foreign to this World,they are here with us.So you see,ni utapeli tu.
 
Inamana hivi vidudu huwa vinatua US pekee tu....mbona huku bongo hatuvioniiii!!???

Au pengine labda vina uhusiano flani na US!!??

By the way Kuna viumbe vya aina nyingi sana hapa duniani na sayari zingine....ni vile tu tumeamua kuwa kalia kooni hao alliens.
 
Ok saw mkuu,, hiyo nikulingana na kile unachoamini. [emoji1537]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…