The Truth behind aliens

Picha ya eneo kwenye Mirihi, ilchukuliwa na kipimaanga Mars Global Surveyor
Picha kama hizi zimeleta hoja kuwa maumbo yanyaoonekana ni ya delta, yaani mdomo wa mto unapoishia katika ziwa au bahari. Hapa asili ya imani Mirihi ilikuwa na maji ya kutiririka kwenye uso wake, miaka milioni iliyopita.
 
Propaganda tu za wamarekani, hakuna kitu kama hicho,

Jiulize kwanini hao aliens waonekane marekani tu?!

Inamaana nchi nyingine hawapendi kuja ni marekani tu?!

Hebu tuache kuchotwa akili na hawa jamaa, naona wanapenda sana kutu brainwash sana!
 
concept zangu nyingi zinakuja kuharibika napo sikia dunia ni duara yan na choka kufikiri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kali kuliko
 
it's a fact
 
Tutahamsha kiasi cha maji kupeleleka huko. Binadam huwa hatukubali kushindwa.
 
Mnasumbuka tu. Msichokijua ni kwamba hao Aliens ndo walimtengeneza binadamu na ndio wanam control hadi leo. Rejea kwenye biblia kitabu cha Mwanzo pale akina Mungu (aliens) wakisemezana "tumuumbe mtu kwa mfano wetu"

Binadamu wa asili(original) ni mweusi. Hao wazungu wamepatikana kwa wana wa Mungu (aliens) kuwaingilia binadamu na kuzaa nao. Kilichopatikana ni hao wazungu na ndo maana wako intelligent na wanajiita wateule.[emoji57][emoji57][emoji57]

Soma Mwanzo 6

1 Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,
2 wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
3 BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.
4 Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile; tena, baada ya hayo, wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu, wakazaa nao wana; hao ndio waliokuwa watu hodari zamani, watu wenye sifa.


Wewe hujiulizi hao wana wa Mungu waliozaa na wanawake binadamu ni akina nani? Maana tunajisema wana wa Mungu ni sisi binadamu, sasa hao wengine wana wa Mungu ni viumbe gani?? Kiufupi ni alliens.
 
Khiiiiiii!!! Aaahaaaa[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Yaani jinsi universe ilivyo kubwa kwa asilimia kadhaa nadhani hatupo peke yetu.

Far far far away kwenye galaxy kadhaa kutakuwa na viumbe.
 
sawa. dunia na duara au tambarale? kwako kashasha
 
Nilichogundua wewe kidogo una idea kwa mbali ya haya mambo ya space..hawa "great thinkers" wengine wanazingua.
Ask me anything about space and aliens
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…