The Truth behind aliens

GreetinGs...!

Nimekuwa nikishangazwa na jinsi huyu kiumbe (not real sure kama ni kiumbe) jinsi uwezo wake ambavyo umekuwa ukielezewa na haswa wanasayansi. Kuwa ni kiume mwenye akili ya ajabu ambapo kumekuwepo na theories kukihusu kuwa wapo mbali sana kiakili, technological basis na infrastructural means na inasemekana wana makazi yao anga za mbali.

Wengine wamefika mbali na kusema Aliens ndio wametengeneza/kuumba binadamu nikabaki mdomo wazi coz aliens wenyewe they have got an ugly face how come wamaeumba viumbe vizuri kuliko wao? But that's not a case my question is nani aliumba hawa viumbe tunaoambiwa wameumba binadamu?
 

Attachments

  • gettyimages-516553246-1024x1024.jpg
    39.3 KB · Views: 33
mkuu how do you define beuty at looking....??

Una uhakika kuwa unachokiona kipo katika dimension reality au unaona katika ilusion reality...??

Kwanza lazima utambue kuwa macho yako yanaona katika dimension illusion na sio katika dimension reality...

Huwezi ukaconclude ukasema kuwa beuty at looking ndo nzuri kuliko view nyingine...

Is beuty more important than Intellingence...??

Hivi unatumia kigezo cha sura kusema kuwa kitu ni kizuri....?? seriusly....??


You are here to survive coz of intelligence we posses and not the beuty we own...!!

What is the beuty purpose you deserve ...??

Intelligence matters most na sio sura kama ulivyokomaaa...halafu unashangaza sana.....

Hata tembo na wanyama wengine wanadeserve kuwa na maumbo yale kuliko sisi binadamu,wanatuona kama viumbe wa ajabu sana tunaotumia two limbs kuwalk huku wao wakitumia four limbs kuwalk..

Kila species ina Intelligence yake katika kurecognize how beuty things posses....

Hebu kuwa mtu mzima basi ambae unaweza kujudge mambo sio kwa kigezo hicho...

They modify beutifulness unayodeserve kwa sababu ndo tool pekee kubwa inayoleta illusion kwa mwanadamu...

Eti Aliens wabaya...daaaah...you are here to judge beutifulness and not intelligence...umeshangaza sana...

kila species ina illusion yake iliyowekewa ili kumkeep busy kiumbe yule na mazingira....

Wanyama wanaenjoy kula majani kuliko nyama ila wewe unaenjoy kula nyama kuliko majani...thats how intelligence difference occur...

Usijudge mambo katika lowest dimension kiasi hicho mkuu...

Note that.....



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hujaelewa kabisa au umeelewa sehemu ndogo sana ya concept ya kilichoandikwa, it's not about looking or beauty of Aliens it's about who created Aliens. Dig deep and understand what is written and come up with concrete answers and evidance if there is any!.
 
kuna matabaka mbalimbali ya beings...kila tabaka lina Intelligence continnum yake...

Aliens wapo katika class tofauti kulingana na intelligence trend...
kuna mamlaka zingine zinazotawala Aliens race kulingana na Anga walipo...Am sure na hiki kitu...

Anga ambalo lipo karibu na sisi ndo liliinteract na mazingira ya huku na kusababisha kutengenezwa kwa kiumbe mwingine kwa kazi maalumu...

it is difficult kuhoji mamlaka kubwa wakati upo shimoni huoni nje pakoje mkuu...hilo lazima ulielewee ...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanasema Aliens wameumba watu, na kuwapa supeiorty kama unayowapa but the same people wana question who created GOD? I think haipaswi kuwa difficult kuhoji who created Aliens.. Scientist told us how this globe was formed, the formation of universe why they can't tell us where do aliens came from? I think You're curious about it as well why can't you open up your mind to find out the answers?
 
kabla ya kulalamika kuwa hawataki kuweka uwazi juu ya ukweli huo bais hoji kwanza advantage ya kuficha ukweli...

Usilaumu kwanini wanaweka usiri juu ya hiyo kitu pengine kupitia usiri huo wew ndo unaendelea kupata civilization tofauti tofauti...
Jaribu kureason behind in the importance of hiding the truth ndo utajua reality ilivyo....hao sio wapumbavu kiasi hicho cha kuexpose haya mambo naamini mlango wa kutokea ni mdogo hivyo inapasa watu wachache wachomoke...

bais nahisi utakuwa umepata kity mkuu..hakuna haja ya kulumbana eti kuwalaumu kwanini wanaficha ,ila tunapaswa kufind out importance of hiding the true information kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mkuu nimepata pa kuanzia umenipa concept mpya. I need to findout kwanini wanaficha.
 
Ahsante mkuu nimepata pa kuanzia umenipa concept mpya. I need to findout kwanini wanaficha.
yani mkuu hicho ndo kitu pekee ambacho you should never keep blaming kulalamika kila siku kuwa kwanini wanaficha...find out the postive findings and importance of hiding haya mambo ndo utaweza procced mbele huko la sivyo hapa jukwaaani tutakuwa tunaoneshana uwezo wa kujua lakini there si something we lag behind hasa kujua faida ya kuto expose haya mambo ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwepo wa aliens hauna tofauti na story za uchawi zote ni story za kusadikika.
Uchawi upo kila pande ya dunia kila sehemu wana story za uchawi kutokana na matukio mbalimbali,sasa hao Aliens story zao zinatoka sehemu moja tu na hatuoni matukio yenye kuambatana na uwepo wa hao viumbe.
 
Kwahiyo mkuu hawa tunaowaona kwenye movie na picha ndio mfano halisi wa hao Aliens walivyo?
 
sijajua kama wanaportary real figure yao...ila hao viumbe wapo katika sura tofauti tofauti kulingana na race zao pia...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyokuwa unajadiliana na jamaa hapo kuhusu suala la Aliens kuumba binaadamu na maumbo mazuri au muonekano ila wao wenyewe Aliens wana muonekano mbaya nikafikiri labda kweli hawa viumbe tunaowaona kwenye movie ndio mfano halisi wa Aliens.
 
Je kuna mtu alishawaona hao viumbe na kama hamna picha zao wanazitoa wapi msaada tafadhali
 
Ila mie najiuliza hizi habari za Aliens kwa hiki kiasi ambacho watu wanakijua wamepata wapi?maana zile point muhimu ambazo watu wanataka kuzijua wanapohoji ndio tunaambiwa habari zao ni siri ila mengine ya kuwapamba kuhusu uwezo wa hao viumbe kwamba hadi sisi binaadamu tumeumbwa na wao ndio sio siri sana ndio maana tunajua.
 
hakuna braza! ni story kama za marvel comics tu
 
Hakuna uhai kwenye sayari ya Mirihi (Mars). Hii imani ilianza wakati watu waliona mistari kwenye darubini usoni mwa Mirihi kwenye karne ya 19. Waliamini kumbe ni mefereji ya umwagiliaji.
Tangu kupata darubini nzuri zaidi na tangu kutembelea sayari kwa vipimaanga inajulikana hakuna mistari wala mifereji wala uhai wowote.

Kuna dalili kwamba Mirihi -ambayo leo hii ni jangwa tupu- ilikuwa na maji na mito miaka milioni iliyopita. Sasa kuna mpango kuwa Marsrover (gari lenye vifaa vya uchunguzi) inayoandaliwa sasa kutumwa Mirihi itachimba shimo na kufanya utafiti wa udongo kama kuna dalili za bakteria za zamani.
 
Umesoma mpango wa Space X na mission yao huko Mars. Ulilosema bado halijathibitishwa pia. Ila amini ndani ya miezi 24 ijayo binadamu wa kwanza atatua Mars
 
Umesoma mpango wa Space X na mission yao huko Mars. Ulilosema bado halijathibitishwa pia. Ila amini ndani ya miezi 24 ijayo binadamu wa kwanza atatua Mars
Mkuu nilichosema imethibitishwa mara nyingi. Tangu Mariner 4 (NASA) kwenye mwaka 1964 vipimaanga vimepita karibu na Mirihi. Viking 1 (NASA) ilikuwa chomboanga cha kwanza kutua kwenye Mirihi. 1997 Mars Pathfinder ilipeleka rover ya kwanza. Mars Express ya Umoja wa Ulaya ilizunguka Mirihi tangu 2003. Mwaka uliofuata, Marekani ilipeleka tena marover 2 (magari madogo ya kupiga picha na kupima mazingira) huko, yaliitwa Spirit na Opportunity.
Pamoja na hayo, nina uhakika hakuna binadamu atakayefika pale katika miezi 24 ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…