Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Siyo suala la mara ngapi suala ni hamu kwa mkeo/mumeo na muda kama unaruhusu. Kama hata mnafanya kazo karibu na nyumbani na hakuna bughudha unaweza kumpigia simu mwenzio na kumwambia mwende "mkashitue"! Kwanini mpange muda wskati kila mmoja ana uhuru na mwili wa mwenzie ndiyo chanzo cha kuenda kuiba nje kama muda haujafika!!!Kujamiana ni tendo lililobarikiwa ndani ya ndoa lakini upo utata mkubwa wa mjamiaane mara ngapi kwa wiki au mwezi.
Wako wanaoona hakuna formula ila mjisikiiapo lakini pia Tupo tuonapo siyo suala la kujisikia tu bali ni kujinyima pia
Mara nyingi hupunguza ubora na thamani ya tendo lenyewe na mara chache mno huwaweka mbali kihisia wanandoa.
Je uonavyo yafaa iwe mara ngapi na kwa nini?
Karibu
Maswala ya ratiba ni mbaya sanaNadhani mara3 kwa wiki ili kuleta ile kumisiana kuongeza utamu lol
Ila sio kwamba ndio sheria,ninapojiskia anytime au mwenzangu anapojiskia muda wowote hatuna budi kufanyana.
Umeona eeh,mnaeza jifanya watu wa ratiba then vikiwapanda mnafanyaje? Mtaangaliana msubiri siku ya ratiba!Maswala ya ratiba ni mbaya sana
Kuna wakati naonaga nitake risk nikubebe hivyohivyo na uchagga wako, ila nikofikiria remote ya mamamkwe kutoka kibosho kwenye familia yangu nakosa tena hamu...Zikipanda tu hapo hapo hakuna formular
Wasitubague mwee .. Utafikir siyo hatunaga genyeUmeona eeh,mnaeza jifanya watu wa ratiba then vikiwapanda mnafanyaje? Mtaangaliana msubiri siku ya ratiba!
Afu ujue tumevamia Uzi ulikua unawalenga wanaume
Ha ha haKuna wakati naonaga nitake risk nikubebe hivyohivyo na uchagga wako, ila nikofikiria remote ya mamamkwe kutoka kibosho kwenye familia yangu nakosa tena hamu...
Kama mnanyege mbona huwa mnazuga kujifanya sitakinataka eti mpaka muombwee..!Wasitubague mwee .. Utafikir siyo hatunaga genye
Hiyo ratiba czani kama Kuna wanandoa wameipanga na kuibandika ukutani.,...lasivyo wakapimwe akili kunakitu kinaitwa muhemuko/nyege ebana hii kitu ni hatar huwez niambia anko j kasimama na tupo ndani ya shuka eti nisubr ratba inavyosema., raha ya show ipgwe anytime bana...Umeona eeh,mnaeza jifanya watu wa ratiba then vikiwapanda mnafanyaje? Mtaangaliana msubiri siku ya ratiba!
Afu ujue tumevamia Uzi ulikua unawalenga wanaume
Utamu wa dushe uwe kama unaiba hivi au kama hutaki ndiyo unogaKama mnanyege mbona huwa mnazuga kujifanya sitakinataka eti mpaka muombwee..!
Kabisa ya nini kujibana bana bwana! Vikipanda anytime tunaingia uwanjaniHiyo ratiba czani kama Kuna wanandoa wameipanga na kuibandika ukutani.,...lasivyo wakapimwe akili kunakitu kinaitwa muhemuko/nyege ebana hii kitu ni hatar huwez niambia anko j kasimama na tupo ndani ya shuka eti nisubr ratba inavyosema., raha ya show ipgwe anytime bana...
Hebu weitar lete lager baridiii..