The Top 5 Women's Sexual Facts,,,,,!

The Top 5 Women's Sexual Facts,,,,,!

MR.LEO

Senior Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
129
Reaction score
25
Hellow wadau,,,,'
Leo katika peruzi peruzi yangu nimekutana article ya mtafiti na mwanasaikolojia mmoja anaitwa Prof:Hellen Zsigmond,anasema
katika utafiti wake wa miaka 8 amegundua 20 sex facts lakn top 5 yake ni hii hapa:
1.Women considers Penis size the ninth most important feature for a man while men rate it much more highly in the third place.

2.Women over 40 years of age are more likely to masturbate than any other group.

3.It tends to be easier for women to reach orgasm during ovulation that at any other time in their cycle.

4.While giving birth,17% of women are known to experience orgasm.

5.The average women reach orgasm in about 4 minutes through masturbation while through intercourse it takes 10 to 20 minutes.

Sasa wadau mi naomba tupeane experience,hivi hizi facts zinawagusa hawa wa huku kwetu au ni akina mama wa kizungu zaidi,,,?
 
Mie nakubaliana na hiyo namba 3..! Nyingine sina uzoefu..!!
 
Nimefurahi kuona comment yako Neylu!
Kama namba 3 ni sahihi kwako basi namba 1 pia utakua unaijua zaid!
 
Namba 5 sidhani. Mwanamke ukimpatia hata dakika 7 zinamtosha kufika kileleni.:smile:
 
Nimefurahi kuona comment yako Neylu!
Kama namba 3 ni sahihi kwako basi namba 1 pia utakua unaijua zaid!

Hahahaa... MR.LEO.. Mie nimeonyesha uzoefu wangu kwa namba 3, sasa hiyo ya namba 1 inatoka wapi teena..! Lol
 
Namba 2 ni kweli kabisa hasa vibibi vinapenda hiyo mchezo acha!!
 
Charger,vibibi vya kibongo au vya kizungu? Jamani mi naomba kama kuna nurse au mkunga atupe uzoefu kwenye hiyo namba 4.
 
Hellow wadau,,,,'
Leo katika peruzi peruzi yangu nimekutana article ya mtafiti na mwanasaikolojia mmoja anaitwa Prof:Hellen Zsigmond,anasema
katika utafiti wake wa miaka 8 amegundua 20 sex facts lakn top 5 yake ni hii hapa:
1.Women considers Penis size the ninth most important feature for a man while men rate it much more highly in the third place.

2.Women over 40 years of age are more likely to masturbate than any other group.

3.It tends to be easier for women to reach orgasm during ovulation that at any other time in their cycle.

4.While giving birth,17% of women are known to experience orgasm.

5.The average women reach orgasm in about 4 minutes through masturbation while through intercourse it takes 10 to 20 minutes.

Sasa wadau mi naomba tupeane experience,hivi hizi facts zinawagusa hawa wa huku kwetu au ni akina mama wa kizungu zaidi,,,?

Hiyo namba 4 ni kweli??
 
Ngoja nitaweka timer nikianza kumasterbate halafu nitaleta fidibaki
 
hiyo namba 4 MH!
labda huyo mtoto awe anashushwa!yani we ndani ya labor pain ndo ufikie kilele!
-no 1 haina ukweli since kibamia na tango vyote ni jinsi tu ya ulaji na umenyaji kaama sio ukataji!so sidhani kama kwa mwanamke anayeelewa makitu haya hiyo inaweza kuwa issue saaaaana
-no 5 kweli
-no 3 kweli kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yani kweli mpka basi!
-no 2 sijui since mie bado kasichana ati!lol(watakuja watu hapa watanishushuaje)
 
Back
Top Bottom