The top 10 beers worldwide

The top 10 beers worldwide

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,878
Reaction score
10,515
findthebestbeer.png


Where is TZ?
 
1. Kimpumu
2. Kindi
3. Mapuya
4. Wanzuki
5. Mbege
6. Mnazi
7. Rubisi
8. Ulanzi
9. Togwa
10. Malizia na ww
 
Hii sijawahi kunywa
dadii tamu sana ...inapikwa na ugali ...imepigwa marufuku kwa sababu inatumia mahindi mengi sana so itasababisha njaa nchini ...wanywaji wake wana afya kweli kweli ...full mashavu na vitambi
 
Kuiweka mbege namba tano ni uzalilishaji wa pombe.

ndio nilitaka nimwambie.....hawezi kuweka list namna hiyo........hebu arudie....halafu aongeze pingu na busaa.........
 
Kwangu mimi hakuna beer kama castle lager
nakumbuka siku nilipata kipaimara niliiba moja home nikanywa sikla siku 2 ndo pombe yangu ya kwanza na mwisho .....sijui ndo hiiyo sijui ni tusker ilikuwa
 
Back
Top Bottom