'The Tanzania We Want' Uchaguzi wa Igunga na Tanzania tunayoitaka

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Leo kuanzia saa mbili usiku katiak ukuimbi wa Sakao Lodge mjini Igunga kutakuwa na mdahalo utakaoshirikisha wagombea ubunge wa jimbo hilo. Mdahalo huu utafanyika katika ukumbi wa Sakao, mdahalo utafanyika kuanzia saa 2:00 - saa 4:00 usiku. Na utarushwa na Star tv jumanne muda utatangazwa baadaye. Kwa walio Igunga karibuni, mimi niko Igunga saa hii
 
kama vp tutupie na picha au up date nani kafanya nini katika mdahalo huo!
 
Leo kuanzia saa mbili usiku katiak ukuimbi wa Sakao Lodge mjini Igunga kutakuwa na mdahalo utakaoshirikisha wagombea ubunge wa jimbo hilo. Mdahalo huu utafanyika katika ukumbi wa Sakao, mdahalo utafanyika kuanzia saa 2:00 - saa 4:00 usiku. Na utarushwa na Star tv jumanne muda utatangazwa baadaye. Kwa walio Igunga karibuni, mimi niko Igunga saa hii

salute mkuu lukansola, naamini mdahalo ulifanyika kwa amani, tudokezee uelewa wa wagombea, katika kujibu maswali nani kaulizwa maswali mengi, ni maswali gani yalionekana kuwasumbua wagombea. yeyote aliyehudhuria aweza toa tathmini.
 
CCM MABINGWA WA KUKIMBIA DEBATE LEO WANATAKA DEBATE KUNA KITU HAPO.
how independent is STAR TV ?? hawa wanaweza kutumiwa especially kama wao ndio watakuwa wapika maswali kama vipi waruhusu wananchi wa post maswali halafu wao ndio waulize na siyo kupika maswali yenye talking point za CCM ili kumbeba Kafumu na sababu ya kusema hivyo ni kwa sababu CCM kinafahamika kwa kukimbia debate leo tu from no where wanataka debate kuna kitu hapo chadema inabidi wawe careful.
 
Back
Top Bottom