Umslopagas
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 214
- 157
..unaweza kutuletea habari za waziri au mbunge Mtutsi aliyeomba radhi kwa Mhutu au Wahutu?
..mimi nadhani it is a good program ikiwa itahusisha Wanyarwanda wote bila kujali kabila wala nafasi zao.
..pia nadhani ni muhimu wote waliohusika na mauaji na uporaji nchini Congo wakafikishwa mbele ya mahakama ya kimataifa.
..zaidi, serikali ya Rwanda iache kutoa hifadhi na misaada kwa makundi ya waasi wa Congo kama vile m23.
Bwana/Bibi Joka kuu
Uporaji katika Afrika ni kitu cha kawaida sana hata Bongo huo uporaji upo saana, nchi nyingi za Afrika zina prorwa mchana kweupe. So it is not an issue, ningekusifia sana kama ungeshuparia wanaopora Bongo yako. na kuhusiana na makundi ya waasi, kama Congo inahifadhi waasi wa Rwanda unategemea Rwanda ifanye nini?