jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
Hivi Inkotanyi ni ki mdudu gani hicho? murutongore MUKAMASIMBA mchambawima1 Koba JokaKuu jMali Ngongo
inkontanyi iko hivi:
inkotanyi maana yake halisi/original ni askari wa mfalme wa kitutsi King Rwabugili aliyetawala karne ya 19, waliokuwa wanatumika kuwapiga wahutu into submission. Kwenye akili ya mhutu yoyote neno inkotanyi ni neno baya sana kihistoria, Kagame deliberately akaamua kutumia the same word kwa jeshi lake la watutsi la RPA, ambao:
1. Most of them like himself came from royal tutsis families that ran into exile in 1958-59. kagame's Aunt was QUEEN Rosalie...So calling themselves that horrible name was like saying "wafalme wenu tunarudi kuwatawala"
2. RPA since 1990 walikuwa wanafanya guerilla attacks against Hutus, acting the same just like the original Inkotanyi did back in 19th century na kuwezesha utawala wa mabavu wa watutsi over the Hutu for all those years. So what were Hutus supposed to think?
3. Baada ya wahutu kukubali power-sharing kwa kulazimishwa.... na ndege ya rais wao ikatunguliwa.....So any young interahamwe Hutu surely thought: "sisi wahutu ni majority, tumepigwa na jeshi la watutsi since 1990 mpaka 1994, tumelazimishwa power-sharing with minority 15% of the population tumekubali, na sasa rais wetu katunguliwa na wanaofanya yote hawa ni jeshi la watutsi wanaojiita Inkotanyi of all names? the same name of tutsis waliotutawala kikoloni for 400 years!" Since wahutu raia hawana bunduki za kupambana na RPA, wao wakaamua kumalizia hasira zao kwa "inkotanyi" wanaowaweza ambao ni majirani zao, ndugu zao watutsi wa kawaida kwa mapanga na visu. (genocide against tutsis).
Neno lingine Inyenzi (Mende) lilitungwa na muasi wa kitutsi Aloys ngurumbe ambaye alikuwa anapigana na serikali ya mapinduzi ya wahutu toka miaka ya 1960's. Watutsi walijiita inyenzi kwa kujifananisha na mende ambao wanapiga usiku na mchana hawaonekani. RPA nao pia walianza kujiita Inyenzi na kutishia wahutu kupitia radio yao, Radio Muhabura operating from Uganda kuwa "Inyenzi leo tunakuja kijiji fulani " etc, causing terror na displacement ya wahutu for those 4 years. Matokeo yake hata watutsi walio ndani ya Rwanda wakaanza kutaniwa kuwa nao ni Inyenzi, mwaka 1994 utani ukageuka chuki!
Aloys Ngurumbe aliyelianzisha hili neno Inyenzi alikamatwa miaka ya 80 na kuhukumiwa jela, mwaka 1994 Kagame (Inyenzi/Inkotanyi) mwenzie akamuachia huru!!!
Only extremist-Tutsis ndio hawataona kuwa ingawa there is no justification for genocide regardless ya nani kapanga, but surely it was Kagame that calculated it by making calculated provocations like these. Not to mention the FACT that the leader of the interahamwe was a TUTSI robert Kajuga who pretended to be a Hutu (sorta like making sure genocide against his people really happens so kagame can claim to "stop it" ?) Inkotanyi na Inyenzi may be heroes to any extremist-tutsi, but are they heroes to Hutus and twa as well? Hivi kuna mtanzania yoyote atayekubali waarabu wa zanzibar wenye damu ya sultani waanze kuadhimisha "heroic" slave traders names leo hii?