The Tale of Two Brave, Heroic RPF Inkotanyi Battalions

Mzee wa sumu sasa hapo umeongea nini? ebu ongea kiswahili. inawezekana unaongea ki rwanda......LOL
Hoja yako ni nini kwa hiyo post? Mwalimu wako alipata shida sana.

Katika watu ambao huwa siwaelewi wakiandika ni huyu jamaa,kiswahili hujui na English ndio kabisa,jifunze kuandika ueleweke....kila siku mzee wa sumu mzee wa sumu una shida gani wewe?
 
Mkuu Jmali katika post yako kuna jambo nakubaliana na kuna jambo sikubaliani. Mie ni mmoja wa watu ambao nakubali kwa asilimia 100 kuwa mwaka 1994 kulitokea genocide dhidi ya watutsi kwasababu mwaka huo nilifuatilia kwa kina kilichokuwa kinaendelea Rwanda. Lakini pia mie ni mmoja wa watu ninaeamini kuwa Kagame ndiye aliyeprovoke genocide purposely na alitumia strategy ya ukabila ili aweze kupata support ya watutsi na ndio maana RPF imeua wahutu wengi kuliko genocide ilivyoua watutsi. Kwahiyo kuna facts ambazo umeandika kuhusu Kagame nakubaliana nazo hasa zile zinazoonesha jinsi alivyoprovoke na alivyoexploit genocide, ila sikubaliani kuwa "There is no justification for genocide" mie nadhani genocide haina mjadala ilitokea mchana kweupe. Dawa ya Rwanda ni kuwa na demokrasia kamili na ambayo inaweza kuanza kujengwa baada ya Kagame kuondoka madarakani maana hawezi kukubali demokrasia ichukue mkondo wake maana anajua madhambi aliyotenda.

Provoke genocide????lazima utakuwa mwehu wewe
 
jMali
tunakupata jmal. hao makaburu weusi iko siku mtafanikiwa kuwaondoa kwenye madaraka sijawahi ona waafrika arrogant kama watutsi. wana kiburi dharau na ubinafsi wa kutisha. wapo baadhi wenye siha nzuri na wanampinga pk na inkotanyi wenzake na pengine siku moja kutakua na rwanda moja.
 
Last edited by a moderator:
Huyu JMALI(interahamwe) anategemea msaada wa SADC ahahahaha...SADC wanaujua mziki wa RDF hawawezi hata chembe kujiingiza katika vita ya interahamwe...na ndio maana jan 2015...kitaeleweka kuhusu akina jmali.
wacha uongo inkotanyi ww. rdf mbele ya sadc si upuuzi tu. jwtz peke yake imewapiga kama mbwa mwizi kule rdc. m23 ilikua kikosi cha rdf ndio ukweli mtupu.
 
Katika watu ambao huwa siwaelewi wakiandika ni huyu jamaa,kiswahili hujui na English ndio kabisa,jifunze kuandika ueleweke....kila siku mzee wa sumu mzee wa sumu una shida gani wewe?

IQ ya Std 7..what do u expect..wafuasi wa interahamwe -in-chief
 
Ahahahhaha, yaani ukisikia wanajitutumua balaaa. Hicho kweli ni kikundi cha mgambo
RDF iite utakavyo,ila hii ndio ilitoa serikali ya Habyarimana madarakani baada ya serikali hiyo kuanzisha mauaji,hii hii ndio ilifanikisha kumtoa Mobutu na kumuweka Kabila, hii hii ndio ndio ilipigana na kuingia nchini Angola na kuuteka uwanja wa ndege wa Kitona (only less than three hundred soldiers):uwanja huu ulikuwa unalindwa na vikosi vya serikali ya Angola.
Hii hii ndio ili pigana namajeshi ya Angola,Zimbabwe,Namibia,Chad,FARDC,Interahamwe,Maimai etc vikosi hivi vikasogezwa mbele hadi kuuteka mji wa Kindu, hapo ndipo serikali ya DRC ilipoomba usuluhishi.
Kikosi hiki hiki, ndicho kinachoheshimika Darfur kati ya majeshi yote yaliyoko huko, uliza askali wenu walioko huko watakuelezea, kikosi hiki hiki ndicho kinalinda sehemu nyeti in Centrafrica ikiwemo ikulu, na kwakiasi kikubwa RDF imefanikiwa kurejesha amani Centrafrica.
So RDF uiite utakavyo ukweli utabaki palepale.
 
..Kitona iko DRC.

..baada ya kutua Kitona, RDF waliungana na askari wa zamani wa Mobutu na kuanza kuelekea Kinshasa.

..RDF na askari wa Mobutu wakateka Inga Dam na kuuzingira mji wa Kinshasa.

..baada ya hapo Kabila Snr akaomba msaada toka SADC, ambapo Angola, Namibia, na Zimbabwe walijitolea askari.

..majeshi ya Angola na Zimbabwe yaliweza kuwasambaratisha RDF ambao walilazimika kukimbilia Angola ktk eneo ambalo lilikuwa la UNITA.

..from Angola wakaweza kuwa evacuated na kurudi Rwanda. Katika shambulizi hili, RDF walikuwa wanasaidiwa na Uganda.

NB:

..the most impressive story ni jinsi Zimbabwe[ZDF] walivyoweza kuzuia DRC isiangukie mikononi mwa Rwanda na Uganda.

cc kmbwembwe, jMali
 
Yaani kama Elvis Msiba (RIP) angekuwa bado yuko hai, I swear I would bet my last dollar that you are him. Kama wewe sio fictional writer then you are in the wrong business.
 
watutsi misifa tu. kupiga jeshi bovu la mobutu ndio ushujaa gani? kama sio akili mbaya unaweza kulinganisha jeshi la angola na RDF inkotanyi. jeshi la mpla lililotoa kipigo kwa makaburu cuito curnavale na kusababisha makaburu kusalimisha ukaburu. ethnicity inawatesa watutsi, historia inaonyesha hivyo. cuito curnavale yao iko jikoni. ukaburu wa kitutsi utawaangamiza wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
..Kitona iko DRC.

..baada ya kutua Kitona, RDF waliungana na askari wa zamani wa Mobutu na kuanza kuelekea Kinshasa.

..RDF na askari wa Mobutu wakateka Inga Dam na kuuzingira mji wa Kinshasa.

..baada ya hapo Kabila Snr akaomba msaada toka SADC, ambapo Angola, Namibia, na Zimbabwe walijitolea askari.

..majeshi ya Angola na Zimbabwe yaliweza kuwasambaratisha RDF ambao walilazimika kukimbilia Angola ktk eneo ambalo lilikuwa la UNITA.

..from Angola wakaweza kuwa evacuated na kurudi Rwanda. Katika shambulizi hili, RDF walikuwa wanasaidiwa na Uganda.

NB:

..the most impressive story ni jinsi Zimbabwe[ZDF] walivyoweza kuzuia DRC isiangukie mikononi mwa Rwanda na Uganda.

cc kmbwembwe, jMali

I admit Kitona iko DRC, i wanted to say Maquela de Zombo ambayo ipo Angola.
Uwanja huu wandege ulikuwa uko mikononi mwa serikali na wala sio UNITA soma historia vizuri.
UNITA ilikuwa imeshindwa kabisa kuuteka uwanja huu.
Katika operation hii we had only 31 Ugandan soldiers,hao askali wazamani wa Mobutu wasingeisaidia RPF wakati ndiyo iliwapiga nakuwaondoa madarakani.
 
..kipigo kutoka kwa Zimbabwe na Angola ndicho kilichosababisha mkakimbilia Maquela de Zombo.

..lengo lilikuwa kukamata Kinshasa na kumuondoa Kabila Snr, sasa mlikuwa mnatafuta nini Angola?

..Rwanda mlishatangulia Congo, sasa ilikuwaje mkapewa mkong'oto na jeshi la Zimbabwe ambao inabidi wawe airlifted, au wakatize Zambia ndipo wafike Congo?

..Rwanda na Uganda zililazimika kuingia ktk mahusiano na makundi ya ajabu-ajabu ikiwemo Unita.

..kwa kifupi operation ya Kamina iliacha matundu mengi sana, na hapo ndipo unapo-question weledi wa James Kabarebe as a military planner and tactician.

..kwa mfano, Raisi wa Angola amenukuliwa akisema hakupata taarifa mapema kuhusu operation hiyo, na hata alipopewa taarifa hakuhakikishiwa usalama wake dhidi ya Unita.

..vilevile, majeshi ya Rwanda yakiongozwa na Kabarebe yalizima umeme ktk mji wa Kinshasa na maeneo mengine ya Congo. Wajuzi wa operation kama hizi huwa hawatengenezi uadui au hofu kwa wananchi wanaojaribu kuwakomboa.

cc jMali, kmbwembwe
 
Last edited by a moderator:
Yaani kama Elvis Msiba (RIP) angekuwa bado yuko hai, I swear I would bet my last dollar that you are him. Kama wewe sio fictional writer then you are in the wrong business.
murutongore usijifanye hujui hizi facts za rpf kucolude na majeshi ya mabutu na unita ya savimbi. the whole objective of kagame and his gang was/is reactionary and not progressive as potrayed by kagame and his tutsi lackeys. ndio maana pk hataki maridhiano ya kitaifa ya kweli na anaendesha sera za nchi kudhibitiwa kisiasa na uchumi na mbari moja yenye hardly 15% ya population. huu ni ukaburu
 
On the contrary, our permanent policy is to be proactive in any threat that might destabilize our hard-earned peace and development. Ndio maana tunamfuata jMali huko kwenye forum zenu ili asilete hizo siasa za chuki huku kwetu. Abaki huko huko kwenu nyie wenye nia ya kuwalea. Watanzania mnanishangaza! Mnasema hamtaki wakimbizi kutoka rwanda halafu mnakumbatia interahamwe kama jMali wenye nia ya kuanzisha machafuko hapa ili vita ianze halafu unajua kitakachofuata? Wakimbizi watamiminika huko karagwe and whether you like it or not mtawapokea tu. Sasa mnataka nini? Wakimbizi? au mtusaidie kum neutralize jMali ili hiyo vita isitokee tena.
 
..kipigo kutoka kwa Zimbabwe na Angola ndicho kilichosababisha mkakimbilia Maquela de Zombo.

..lengo lilikuwa kukamata Kinshasa na kumuondoa Kabila Snr, sasa mlikuwa mnatafuta nini Angola?

..Rwanda mlishatangulia Congo, sasa ilikuwaje mkapewa mkong'oto na jeshi la Zimbabwe ambao inabidi wawe airlifted, au wakatize Zambia ndipo wafike Congo?

..Rwanda na Uganda zililazimika kuingia ktk mahusiano na makundi ya ajabu-ajabu ikiwemo Unita.

..kwa kifupi operation ya Kamina iliacha matundu mengi sana, na hapo ndipo unapo-question weledi wa James Kabarebe as a military planner and tactician.

..kwa mfano, Raisi wa Angola amenukuliwa akisema hakupata taarifa mapema kuhusu operation hiyo, na hata alipopewa taarifa hakuhakikishiwa usalama wake dhidi ya Unita.

..vilevile, majeshi ya Rwanda yakiongozwa na Kabarebe yalizima umeme ktk mji wa Kinshasa na maeneo mengine ya Congo. Wajuzi wa operation kama hizi huwa hawatengenezi uadui au hofu kwa wananchi wanaojaribu kuwakomboa.

cc jMali, kmbwembwe
The base was in Goma and not in Kinshasa,the over all intention was to destabilize Kabila intentions of supporting FDRL kumbuka kipindi hicho FDRL kipindi hicho was still a big threat manake walikuwa bado nasilaha walizokimbia nazo kutoka Rwanda.
Katika vita not any retreat means defeat ungekuwa atleast umepitia JKT nadhani ungeelewa what i mean;
That was technical retreat manake support ya Angola ambayo ni close neighbor to DRC na Zimbabwe haikutegemewa.
Hata kama kikosi cha askali 300 wa RDF kingeteka Kinshasa getting supplies and reinforcement ingekuwa shida kwani Kinshasa ni mbali sana.
Ingekuwa kweli hayo majeshi yana ubavu RDF isingeshikilia uwanja wa ndege for more than three months.
After retreat kumbuka vita iliendelea na miji kadhaa kuendelea kutekwa, kumbuka vita ilisimama baada ya kuuteka mji wa Kindu:
Any way mimi nilikuwa najibu wale wanaotaka kubeza RDF, what Rwandans know ni kwamba RDF inauwezo wa kulinda nchi yao from any enemy regardless where the enemy comes from.
 
On the contrary, our permanent policy is to be proactive in any threat that might destabilize our hard-earned peace and development. Ndio maana tunamfuata jMali huko kwenye forum zenu ili asilete hizo siasa za chuki huku kwetu. Abaki huko huko kwenu nyie wenye nia ya kuwalea. Watanzania mnanishangaza! Mnasema hamtaki wakimbizi kutoka rwanda halafu mnakumbatia interahamwe kama jMali wenye nia ya kuanzisha machafuko hapa ili vita ianze halafu unajua kitakachofuata? Wakimbizi watamiminika huko karagwe and whether you like it or not mtawapokea tu. Sasa mnataka nini? Wakimbizi? au mtusaidie kum neutralize jMali ili hiyo vita isitokee tena.
msijidanganye hiyo peace sio sustainable. inkotanyi, intarahamwe yote ushenzi tu. pk na wenzake hawana nia ya dhati ya maridhiano wamejaa chuki na kisasi. ukaburu hautawapeleka popote. kwa kuanzia maridhiano ya dhati msione haya kuiga katiba ya burundi. jeshi na vyombo vyote vya usalama rwanda ni exclusive tutsi, hapo kuna nchi au time bomb? halafu proxy wars must stop. hii ndio itasababisha sadc tuingie kigali.
 
On the contrary, our permanent policy is to be proactive in any threat that might destabilize our hard-earned peace and development. Ndio maana tunamfuata jMali huko kwenye forum zenu ili asilete hizo siasa za chuki huku kwetu. Abaki huko huko kwenu nyie wenye nia ya kuwalea. Watanzania mnanishangaza! Mnasema hamtaki wakimbizi kutoka rwanda halafu mnakumbatia interahamwe kama jMali wenye nia ya kuanzisha machafuko hapa ili vita ianze halafu unajua kitakachofuata? Wakimbizi watamiminika huko karagwe and whether you like it or not mtawapokea tu. Sasa mnataka nini? Wakimbizi? au mtusaidie kum neutralize jMali ili hiyo vita isitokee tena.

unaulizwa na mwingine unamjibu Jmali, "ungekuwa demu wewe....." (sauti ya shehe kipozeo)
 
Mkuu JokaKuu kipigo cha RDF toka kwa askari shupavu wa Zimbabwe,Angola na Namibia yafaa kianzishiwe uzi wake kwa faida ya wanajamvi wengi.Naambiwa jeshi la Rwanda walikuwa wakikimbia na kutupa silaha hovyo huku wa Uganda wakijuta kijiingiza Congo kichwa kichwa.Baada ya kipigo Museveni akakimbilia kununua Sukhoi 30 ndege za kivita za kirusi,ndege za kivita za jeshi la Namibia aina ya F-7/ J-7 ziliwamiminia makombora askari wa Rwanda na Uganda hawakuwahi kukutana nazo.Hizi fighter za Namibia Tanzania inazo tena toleo jipya kabisa sidhani kama Kagame na vikaragosi vyake watajaribu kutia pua Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom