Kitabu cha THE STATE OF AFRICA. Cha MARTIN MEREDITH sio Kibaya kukisoma Hasa sehemu ya in search of ujamaa. yanaelezea mengi kuhusu Nyerere na Vipi Ujamaa ulishindwa Nchini.