The sound of music

The sound of music

mambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2007
Posts
2,371
Reaction score
5,608
Hii ni movie ambayo niliikubali tangu enzi hizo mpaka leo huwa naiangalia sana.
Sehemu nazopenda sana ni pale captain alivyoingia line kwa maria na ugumu wake wote.nyingine pale maria anapowafundisha watoto kuimba doremifasilatido...........
Na jinsi ambavyo alikuwa hamuogopi captain pamoja na ukali wake.

Kama unaipenda hii movie na uka sehemu inayokuvutia let's share.
 
Back
Top Bottom