The Seleção Brasileira de Futebol, Special Thread

The Seleção Brasileira de Futebol, Special Thread

Wewe kweli mpenzi wa Brazil, I hope safari hii hamtarudia makosa, mlitusikitisha wengi sana.

Niliifahamu Brazil kwanza, halafu ndio nikaifahamu soka.

Pamoja na kuumia kwa kipigo kile, kilikuwa ni funzo zuri ili kuwaamsha wahusika kwa sababu walijisahau na kuamini kwa sababu wameshafika juu, hawastahili tena kufanya ziada.
 
Piga ua mimi na The Selecaos damu damu. Hata wafungwe 100-0 nitaishabikia Brasil hadi kifo.
Niliipenda sana Brasil na namshukuru Mola aliniwezesha kufika huko wakati wa world cup mwaka jana na kujionea nchi hii nzuri na watu wake wema
Obrigado Braseilleros!!!!!!!!!
 
"Brazil hii ya Dunga haifungiki!" - Kocha wa timu ya taifa ya Chile

Kauli hiyo aliitoa baada ya kupokea kipigo cha 1-0 hapo mwezi March katika mchezo wa kirafiki.. Mtanange huo ulichezwa katka dimba la Emirates.
 
o tempo passa!!!unico palavra q eu posso falar para voces!!faiza foxy vp tuko pamoja hapo sister?hongera kwa kuenjoi .
 
Lapa ndiyo tulipofikia. Copacabana na Ipanema lile Gozi langu lilifata kuona mengine tu.

Santa Teresa kule mlimani? tulienda na vile vi train vyao tulipanda. Hapo baraca di Tijuka sipakumbuki. Au ni kule kwenye ile forest? kama ndiyo nilikataa kwenda, nitoke "forest" la Tanzania nikatembelee "forest" lingine? Haiji.

Ni siku nyingi, ispokuwa nnakumbuka Cidade de deus, Rocinha na Vidigal, Pale Santa Teresa sikupanda kwenda kuabudu lile sanamu - kumbuka hilo.

Brazil kuzuri, nnakumbuka mihogo na "brasil" zenyewe (wasiojuwa "brasil" ni nini, ni kama "nuts" fulani hivi. Nilinunuwa pale Lapa, soko kuu la zamani (kama Kariakoo hivi lakini kivingine), mnhh, tasty.

Ukiachana na hiyo Rio, Sao Paulo kubwa jamani, si mchezo.
Ni vile najua wewe sio mnywaji, lakini nilitaka kujua kama ulifika ile bar maarufu inaitwa "Carica Da Gema" .
Una hatari wewe, uliliachia gozi lako kwenda mwenyewe Ipanema na Copacabana?
 
Ni vile najua wewe sio mnywaji, lakini nilitaka kujua kama ulifika ile bar maarufu inaitwa "Carica Da Gema" .
Una hatari wewe, uliliachia gozi lako kwenda mwenyewe Ipanema na Copacabana?

Hapana hiyo bar sijafika, Copacabana tulikuwa tunaenda wote. Kuna "zege", chips mayai, zuri pale limemwagiwa na cheese juu, kwenye vile vibanda vyao vya vyakula.
 
ImageUploadedByJamiiForums1432096417.913988.jpg

Churrasco, Brazilian grilled meat, at the Brazilian Food Festival. Japan.

Que saudade!!!!
 
This 1 was the most painful for me, mainly coz i was a kid and didn't know how to deal but cry. Watching my hero hope-less and sad.

soccer-world-cup-france-98-final-brazil-v-france-630x419.jpg
 
Back
Top Bottom