AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 954
Uzuri wa Brazil ziko talents za kumwaga watarudi kwenye form tu na kuanza kutawala soccer
True story, jamaa wapo kila sehemu. Ntakuwa nawafanyia profiling na kuwaleta humu kila nikipata muda.Uzuri wa Brazil ziko talents za kumwaga watarudi kwenye form tu na kuanza kutawala soccer
Uzuri wa Brazil ziko talents za kumwaga watarudi kwenye form tu na kuanza kutawala soccer
Game yangu ya kwanza kabisa ya m'pira ilikuwa June 10, 1998 vs Scotland. Nafahamu kwa uhakika kuanzia hapo coz nimetazama karibia games zao zote.moja ya game nayoikumbuka na ilikuwa tough kwa Brazil ingawa waliibuka na ushindi ni semi final world cup 1994 pale Marekani. Game ilikuwa dhidi ya Uholanzi. Uholanzi ikiwa na kina Denis Beckamp koeman. na wenziwe walipiga game ya kufa MTU. Mpaka center half wa Brazil Branco alipotandika free kick na kuwapa ushindi wa goal 2-1 na kuwapeleka fainali walipokutana na #italia .
Bado nakumbuka zile goli 7 za mapema hadi naumia
It's only natural, wachezaji karibu wote wanaounda kikosi wanacheza Ulaya.Brazil timu ninayoipenda nakuishabikia toka enzi,sasa hv naona tunaiga sana soka la ulaya ndio maana inakuwa rahisi kupoteza michezo ya mashindano
Nilizima simu na kukaa mbali na internet karibu wiki 2. Nilikosa amani sana mwenyewe, halafu bado trolls wanaonijua hawakuniacha niwe.
Mwenyewe niliamini Ujerumani mwisho wao semis kama kawaida yao, nilikuwa na doubts kidogo tu baada ya performance ya ajabu vs Colombia + Neymar's absense ila niliamini tungewamudu.Kabla ya mechi yalitokea mabishano nikasema sisi (Brazil )
Twashinda ile mechi. Nilikuwa hotel nikiangalia magoli yaliingia nikashindwa lia nikaanza cheka. Tokea hapo sijaangalia mechi zao tena hadi leo nakumbuka yale magoli tu.
Iliniuma sana tena uwanja wa nyumbani.
Mashabiki walilia sana maana bora lingekuwa goli moja tungejua sababu ila magoli 7 dah.
Nilitoa mfano tu, Fred hayuko kwenye nafasi ya kuchezea timu ya Dunga kwa sasa. Na nikirejea mfano wangu, Fred huyo ndio alihusika kuiua Spain 2013, sio m'bovu kiasi hicho.
Uzuri wa Brazil ziko talents za kumwaga watarudi kwenye form tu na kuanza kutawala soccer
Hili ndilo linaloipa Brazil nafasi kubwa ya kuendelea kuwa tishio kubwa la soka duniani. Sasa wajipange pia kuhakikisha kwenye defence pia wanakuwa wazuri sana sana na yale yaliyotokea Brazil kwenye kombe la dunia kutundikwa 7-0 hayajirudii tena siku za usoni.
Mexico 1980 game iliisha 3-2 walipigwa 2-0 the orange wakachomoa ndo blanco akamaliza shughuli.Marcio Santos beki mstaarabu akamgeuza Baggio ndani ya 18 zimebaki dakika 5 hiyo fainali matata..Uzuri vipaji vipo vingi kuviunganisha ndo tatizo.
Mexico 1980 game iliisha 3-2 walipigwa 2-0 the orange wakachomoa ndo blanco akamaliza shughuli.Marcio Santos beki mstaarabu akamgeuza Baggio ndani ya 18 zimebaki dakika 5 hiyo fainali matata..Uzuri vipaji vipo vingi kuviunganisha ndo tatizo.
Hawa ndio baadhi ya wachezaji walioiwakilisha Brazil 1994 pale Marekan
Tafarelli, Marcio Santos, Jorginho, Aldier, Blanco, Mazinho, Leonardo, Mauro Silva, Bebeto, Romario, Dunga, Rai, Zinho, Cafu, Viola, na wengine siwakumbuki...